mikataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Stergomena na Balozi Mingjian watiliana Saini Mikataba ya Msaada ya Kijeshi

    Alhamisi ya Januari 18, 2024, Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Lawrence Tax na Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian kwa pamoja wamesaini mikataba miwili baina ya Wizara ya Ulinzi na JKT ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Ulinzi ya Jamhuri ya Watu wa China. Mkataba...
  2. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Serikali inaingia Mikataba Mibovu na ya Siri, Rasilimali zetu zinanufaisha Wageni

    "Licha ya Mafanikio makubwa tuliyoyapata katika kipindi cha miaka 62 ya Uhuru na miaka 60 ya Mapinduzi bado atujafanikiwa kuwapiga na kuwashinda maadui hawa Ujinga, Maradhi na Umasikini kwa asilimia 100. Nitataja baadhi ya changamoto ambazo zinarudisha nyuma jitihada za nchi yetu kukuza uchumi...
  3. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Dkt. Biteko ashuhudia utiaji Saini mikataba ya kuwezesha upatikanaji wa Gesi Asilia

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameshuhudia uwekaji saini Mkataba wa Mauziano ya Gesi Asilia itakayozalishwa katika eneo la Ntorya Kitalu cha Ruvuma na uwekaji saini hati ya Makubaliano kwa ajili ya kuanzisha mahusiano ya kujenga miundombinu ya kusambaza Gesi Asilia kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Lissu: Hatutakiwi kuruhusu ukuwadi wa Nchi yetu, Tunapaswa kuhoji mikataba ya Rasilimali zetu imeandikwa nini

    Akizungumza kwa Ukakamavu huko Segerea , Mkoani D'Salaam , Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Amedai kwamba. Ni vema Wananchi wakajiepusha na Ukuwadi wa Rasilimali za Nchi , Bali wanapaswa kuhoji ili Kujua kilichomo ndani ya mikataba ya Rasilimali zetu. Amedai kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania & Romania Zatia Saini Mikataba ya Ushirikiano

    Tanzania & Romania Zatia Saini Mikataba ya Ushirikiano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis wakati wakishuhudia utiaji saini wa Mikataba mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi hizo iliyotiwa saini na Waziri wa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mikataba ya $300 ya kuwa Housegirl Uarabuni haina tija kwa nchi

    Serikali inatia aibu wakati mwingine. Imejikita kuwasaidia madada wa Tanzania kuwa housegirls huko Uarabuni badala ya kuwasaidia diaspora ambao wanafanya kazi za maana na wenye uwezo wa kusaidia nchi kama sheria zikiwekwa sawa. Hatutaweza kuendelea kwa $300 kwa mwezi! Na unyanyasaji na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini mikataba ya LNG and hii ya DP World ni ya siri?

    Serikali inasema kwasasa wanamalizia mazungumzo ya mkataba wa LNG wakati huo huo DP World wamesaini mikataba mingine. Sasa ni kwanini hiyo mikataba haiendi bungeni na kuwekwa wazi? Juzi tu hapa tulikuwa tunawaambia wabunge wawe makini sasa mnaona hata wenyewe hawajaona mikataba zaidi ya ule...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mikataba ya Tsh. Bilioni 43.3 kuboresha Taasisi 661 ili kurahisisha Huduma kwa Wananchi

    Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeingia mikataba miwili yenye thamani ya Shilingi Bilioni 43.3 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya kimtandao kwenye Taasisi 661 za Serikali ili kurahisisha huduma kwa Wananchi ambao walikuwa wanakutana na changamoto kubwa wanapohitaji...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Eng. Ezra Chiwelesa: Watumishi wa Umma kuanzia ngazi ya Wakurugenzi wapewe kazi kwa mikataba ya miaka 5

    Akichangia hoja bungeni Mbunge Eng. Ezra Chiwelesa amesema Watumishi wa Umma kuanzia ngazi ya Wakurugenzi wasiwe wanapata nafazi zao siziwe hazina ukomo, badala yake wapewe mikataba ya miaka mitatu au mitano na kazi hizo zitangazwe wenye vigezo waombe ili kuleta uwajibikaji katika utendaji wa...
  10. JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali: Kusainiwa Mikataba DP World Haikuwa Siri

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi, amesema utiaji saini Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji na Uendeshaji wa sehemu ya Bandari ya Dar es Salaam, baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kampuni ya DP World ya Dubai kwenye hafla...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto utalaaniwa milele na uzao wako kwa kuwadhalilisha/kuwadhihaki walioalikwa Ikulu utiaji wa saini mikataba ya Bandari

    Umedhalilsha Maaskofu na wengine walioalikwa kwenye utiaji sahihi mikataba ya bandari. kama umetumwa na walitoa mwaliko, basi LAANA itakuandamana MILELE NA WATOTO WAKO/UZAO WAKO!
  12. JamiiForums Tanzania Misri, Jordan na Syria waipe muda (ultimatum) Israel kuacha misaada iingie Gaza wakati watu wanaanza kufa kwa njaa na kiu. Wavunje mikataba baina yao

    Kiubinadamu wakati umefika wa kuacha kufikiria waisrael wangapi walikufa wakati wa shambulio la Hamas na wapalestina wangapi wameshakufa tangu Israel ianze kulipiza kisasi. Au majengo mangapi yamegeuzwa kifusi. Kinachotakiwa sasa ni kufikiria watu wanaokufa njaa na kiu kwa kunyimwa chakula na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Katibu wa TEC: Maaskofu wanahitaji kuisoma mikataba iliyosainiwa, walipoitwa hawakuambiwa kulikuwa na nini

    Katibu wa TEC Padre Dr. Kitima amesema Maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, walikuwepo watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila walichosikia ni kuwa Maoni ya Wananchi yamezingatiwa. Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na "Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema. Naye...
  14. JamiiForums Tanzania Je, mikataba ya DP World iliyosainiwa ina kikomo cha miaka 30? Jibu hili hapa

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Wakati wa kusaini mikataba miatatu ya uendelezaji bandari kati ya TPA na waarabu wa DPW tuliaminishwa na serikali kuwa hii mikataba ni ya miaka 30. Je, mikataba hii kweli ni ya miaka 30 au tumepigwa? Nimejaribu kufanya uchunguzi binafsi ndani ya serikali kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mikataba na DP World: Mengi mmeyasema, hili vipi?

    Chimbuko la mikataba mitatu iliyosainiwa jana ni mkataba-tata kati ya Tanzania na DP World. Mkataba huu ulipangwa kuchakatwa; kujadiliwa na kusainiwa sirini. Ulipovujishwa na 'mzalendo', ukaibua mjadala mkali. Wengi waliupinga na kuupiga. Serikali ikaiteka hoja kwa kudai kuwa inaruhusu maoni...
  16. JamiiForums Tanzania Utiaji saini Mikataba ya DP World: Hakukuwa na haja ya kuwatupia vijembe TEC

    Halikuwa jambo la kiungwana. Wahusika mnisikie na kunielewa. Jana, pale Ikulu Chamwino kwenye utiaji saini mikataba mitatu ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam kati ya Serikali/TPA na DP World vilirushwa vijembe kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Tuliofuatilia tunajua kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Wito: Pamoja na kusainiwa kwa mikataba mitatu ya wawekezaji wa Dubai Serikali ibainishe maudhui yake na mabadiliko yaliyofanywa kwenye mkataba wa IGA

    https://youtu.be/mYG3nEK8BZE Sote tunafahamu kwamba, kwa nchi changa duniani, fursa za uwekezaji wa kigeni sio tu kwamba ni chache, lakini pia zinakuja na mashari ya kikatili, kinyonyaji na kikoloni. Na wakati mwingine zinakuja kwa ghrama kubwa sana. Kuna wakati mazingira asilia ndiyo...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Maaskofu wa TEC wamehudhuria utiaji saini wa mikataba 3 ya DP World?

    Kama walihudhuria basi watakuwa wametenda dhambi hizi:- Wamesaliti waraka wao waliousoma kwa majuma 6 mfululizo kupinga uwekezaji huo;:- Wamepofushwa na fedha sh milioni 100 waliopewa hivi karibuni na rais Samia . Wamedharau waumini wao. Kwann kama wameukubali waraka hawajapeleka mrejesho...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali iondoe kesi zote ICSID na kutafuta namna ya kulipa fidia

    Nimefurahi kusikia kuwa Tanzania imeingia maelewano na kufuta kesi ICSID na kampuni ya Winshear Gold Corp. Kesi hii ilitokana na Tanzania kuchukua eneo lao bila kuwalipa fidia. Zipo kesi nyingi za namna hii- siyo fedheha , sisi kama taifa tukiamua kuondoa kesi na kutafuta namna ya kulipa fidia...
  20. T

    JamiiForums Tanzania DAWASA inatesa na kuwanyanyasa vibarua na wafanyakazi wa mikataba

    Nasalimu kwa jina la Jamhuli ya muungano wa Tanzania. Tungependa kutoa dukuduku letu, na malalamiko yetu ambayo yanatokana Manyanyaso na Mateso ambayo yanafanywa na taasisi ya DAWASA (Shirika la Serikali inayo huduma ya Majisafi Dar es Salaam na Pwani). 1. Dawasa inakawaida ya Kutumia Vibarua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…