miezi mitatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amuua mwanaye na kumficha ndani kwa miezi mitatu

    Polisi nchini Kenya wamemkamata mwanamke mwenye umri wa miaka 34 anayedaiwa kumuua mtoto wake mchanga aliyejifungua Julai 16 mwaka huu na kuuficha mwili ndani ya nyumba yake kwa zaidi ya miezi mitatu. Kesi hiyo ilifikishwa polisi na binti wa mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 14, ambaye alidai...
  2. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Dawa ya kutoa mimba ya miezi mitatu

    Wakuu, sheria inasema anayetoa au kutolewa mimba wote hao wanaweza kukabiliwa na kifungo cha mpaka miaka 7+ jela. Mimi kwenye harakati za kupitapita nilipita sehemu isiyopitika, nikakutana na kitoto cha watu nikajilia vyangu. Kitoto kilianza kuumwa umwa tukajua jambo la kawaida, sasa leo...
  3. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Mimi ni muheshimiwa, natafuta njia ya kupotea hata kwa miezi mitatu...

    Wakuu.... Nimeamua kushuka hapa Tinde, nilikua safarini kuelekea huko kijijini kwetu kutoka Daslam nilipo vunja udugu wa dam, baada ya kuona sitendewi haki ugenini. Na baada ya kuuza ng'ombe zangu 12, nikaona niwakomeshe kwa kuenda kulala stendi ili niondoke nyumbani kwao. Sasa lengo na...
  4. DOKEZO

    JamiiForums Tanzania Biashara - faida pande zote kwako na kwangu ndani ya miezi mitatu

    Habari, Iko hivi: Nina gari yangu Toyota Wish ambayo nimekuwa nikiitumia katika biashara ya Taxi mtandao( Uber,Bolt,Ping,Tantaxi,Little ride). Nilipata changamoto ya ghafla ya kifamilia na sikuwa na akiba ya pesa ikabidi niweke bondi hiyo gari.Gari inadaiwa Tsh 1,600,000/=.Nimepambana...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polepole angepewa ubalozi wa Mongolia, Nicaragua au El Salvado ili ajifunze kuheshimu Wakubwa

    Salaam Wakuu, Natumaini kesho Polepole atasusia Kuapishwa. Sababu alisema ubunge ukiisha hagombei tena. Pia alisema ana misimamo yake haiyumbishwi wala hababaishwi na mtu yoyote. Polepole ana bahati. Kakutana na rais Samia ana huruma. Kampeleka karibu hapo Malawi ikitaka kusalimia atapanda...
  6. Mwananchi wa chini

    JamiiForums Tanzania Miezi mitatu nikiwa Jiji la Mbeya. CHADEMA na Sugu wasahau ubunge

    Ndugu Zanguni leo ndio nimehitimisha majukumu yangu ya mradi unaohusisha mambo ya Jamii kupitia shirika lisilo la kiserikali la WORLD VISION. Pamoja na mengine nimekuwa nikikaa kwenye vijiwe, kukutana na wakazi wa Mbeya mjini na viongozi wa vyama vya siasa na viongozi wa dini na waumini wao...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa kujiunga na VETA kwa kozi fupi ya miezi mitatu

    Habari wana JF, Nilikua naomba nipate mwongizo nataka kujiunga VETA koz fup miez 3 ya ICT mwaka huu nahitaji mawasiliano nao veta DSM au mwenye kua na habari wanaanza lin na bei anifahamishe nitashukuru.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

    Wakuu Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa, ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja. Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba. Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu. Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
  9. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KRA imekusanya ksh 476 billion kwa muda ya miezi mitatu. Pesa ambayo TZ inakusanya katika muda wa miezi sita.

    Wadau Kenya inazidi kuonyesha kwamba sisi ndio baba wa ukanda huu hata likija kwenye swala la kukusanya ushuru. Kenya imekusanya ksh 476 billion katika muda wa miezi mitatu tu. Kiwango cha pesa ambacho Kenya inakusanya kwa muda wa miezi mitatu, Inaichukua Tanzania miezi sita kukusanya. Sasa sisi...
  10. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alijenga vituo vya afya 44 kwa miaka mitatu, Rais Samia anajenga 220 kwa miezi mitatu

    RAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3 Ukisoma "Kitabu Cha Hali ya Uchumi Tanzania " cha mwaka 2018 ukurasa wa 60,utaona wakati Rais Kikwete anaondoka madarakani mwaka 2015 vituo vya afya vya serikali vilikuwa 507,Mpaka 2018|19 jumla ya Vituo vya afya...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili yasitisha tozo za Loji, kambi za huduma za kitalii katika Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa miezi mitatu

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk.Damas Ndumbaro amesitisha tozo ya pango ya ardhi kwa loji na kambi za huduma za kitalii katika Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa kipindi cha muda wa miezi mitatu kwa lengo la kutoa ahueni kwa Wadau wanaotoa huduma hizo kukabiliana na athari za ugonjwa wa UVIKO 19...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kufundisha watoto kuogelea kuanzia miezi mitatu

    Mtoto huwa anaishi kwenye maji ndani ya placental. Hujigeuza na huzoea mazingira yake. Anapozaliwa humchukua muda mfupi kuzoea hali ya duniani, kipindi hiki mtoto analia sana hasa akihisi baridi ya usiku. Miezi mitatu mtoto anakua amepashapata chanjo za awali na ameanza kujenga adopted immune...
  13. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania 'Suluhunomics' kwa miezi mitatu tayari karejesha confidence kwenye uchumi 'Bishana na namba'

    Niliwahi kuandika hapa jukwaani na ntazidi kuandika. Ukitaka kukuza uchumi wa nchi tengeneza mazingira ya watu kujisikia wapo huru, hawabughudhiwi, wanajiskia kutendewa haki, hata uzalendo wa watu kwa nchi yao unakuwa mkubwa endapo mtu unahisi kwamba unatendewa haki. Na hi ina apply hata kwa...
  14. Mpandisha mishahara

    JamiiForums Tanzania Mishahara ilipwe kwa mkupuo wa miezi mitatu mitatu

    Habari wanajamvi, binafsi niliwaza na kuwazua ni jinsi gani mishahara inaweza kuwa na uzito kwa mfanyakazi. Majibu niliyopata ni kwamba ifike hatua serikali ipitishe sheria ya kulipa mishahara kwa awamu moja ndani ya miezi mitatu mitatu, Kwa mfano unalipwa take home ya milioni 1. January ml 1...
Back
Top Bottom