Umuhimu wa kufundisha watoto kuogelea kuanzia miezi mitatu

Anita Kajembe

JF-Expert Member
Jun 29, 2021
215
485


Mtoto huwa anaishi kwenye maji ndani ya placental. Hujigeuza na huzoea mazingira yake. Anapozaliwa humchukua muda mfupi kuzoea hali ya duniani, kipindi hiki mtoto analia sana hasa akihisi baridi ya usiku.

Miezi mitatu mtoto anakua amepashapata chanjo za awali na ameanza kujenga adopted immune system. Si vibaya katika kipindi hiki kuanza kumfundisha kuogelea. Kwani anakua hajasahau kabisa mazingira yake ya tumboni.

Kuogelea ni life skill ambayo kila binadamu anapaswa kuijua. Hijui utaihitaji lini.
 
Mwenzangu umewahi kutaka kuzama baharini, mtoni au swimming pool?
 
Vipi kujifunza kuishi kwenye moto ?

Sababu hujui ni lini unaweza ukaungua...., Wewe mfundishe kama sports huenda ikamsaidia huko mbeleni kwenye Taifa lisilo na ajira wala uhakika wa mtu kupata mkate wake wa kila siku
 
Back
Top Bottom