mdhalendo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 282
- 273
Tangu mwezi Novemba mwaka jana nimekuwa miongoni mwa wateja wa kwanza wa kutumia huduma za vodacom 5G supakasi ya home internet kwa kutumia device yao mpya ya NOKIA FastMile 5G Gateway 3.1 na leo ningependa nitumie jukwaa hili kutoa uzoefu wangu kama mmojawapo wa wateja wa kwanza wa 5G internet nchini.
Huu ni uzoefu wangu binafsi na nitajitahidi kutokuwa biased kwa jambo lolote:
1. Kwa experience yangu 5G internet is overated....at least kwa sasa. Kasi niliyoipata haitofautiani sana na ile niliyokuwa nikiipata kupitia internet ya 4G LTE. Kwa baadhi ya mataifa tunashuhudia wenye strong 5G wanafikia hadi 1 GB per second download speed.....Mimi tangu nianze kutumia ninacheza kwenye 29 MBps (ofcoz inategemea na package niliyopo lakini kupanda na kushuka ni kwingi sana)
2. 5G Signal ipo very unstable... nimekuwa niki-track stability ya 5G signal kwenye eneo langu kupitia link hii http://192.168.1.1/web_whw/#/ matokeo yake ni kwamba mara moja moja sana signal inasoma 5G, mara nyingi sana inacheza kwenye 4G signal. So basically I'm paying for 5G lakini napata 4G signal muda mwingi. Nilipouliza voda jambo hili walidai kwamba Signal za 5G ni rahisi sana kuzuiwa na ukuta, miti, upepo na hata mvua.
Binafsi naamini, vodacom na watoa huduma wengine bado wana safari ndefu sana ya kwenda kwenye kuboresha huduma hizi. Kama umeamua kuuza 5G ni bora ukahakikisha signal zake ni strong ili usiwauzie watu 4G kwa kinyago cha 5G.
Jambo lingine ambalo vodacom wanapaswa kulifanyia kazi ni kuja na package ndogo ya 10Mps kwa malipo ya 65,000 TZS hadi 70,000 TZS kwa mwezi. Hii itawafaa sana watu wenye kipato cha kawaita. Vifurushi vya 120,000 TZS kwa mwezi vinaweza visiwe rafiki sana kwa watu wengi.
Kama nawe unatumia huduma hii si vibaya ukatoa experience yako hapa ili wadau wajue user experience yako.