Mdau wa JamiiForums analalamika kuwa alitumia dawa za kutibu Ugonjwa wa Malaria zinazoitwa EKELFIN ambazo baadaye zilimsababishia kupatwa na mchubuko sehemu za siri na midomoni.
Anashangaa kwanini Serikali haitoi taarifa kwa watumiaji juu ya madhara ya dawa hizi kwa binadamu.
Ni kweli kuwa...
Kama haya madhara mnayafahumu kwanini mnapiga kimya hamtoi taarifa kwa watumiaji?
Uume ulichubuka na kutoa usaha
Then nyie mpo kimya tu
Daktari anasema Kuna salfa
Lakini why nyie Viongozi wa dawa za Binadamu hamtoi Mwongozo?
Hawa watu wakati wa JK. Tulisikia kila aina ya matusi bahati baba wawatu alikuwa mpole sana, hata wakitukana anawaita ikulu wanakunywa chai wanaondoka.w Wlikuwa wanaitisha maandamano wanavyotaka.bado wakasema Jakaya ni mbaya sana.
Akawaletea chuma kikalala nao mbele hakuna kufurukuta, wala...
Kumekuwa na mwamko mkubwa wa vijana mitaani kupinga Putin na vita yake Ukraine ambako kumesababisha ugumu wa maisha kwa warusi.Vijana wamekuwa waandamana maeneo mbalimbali kupinga
Putin kaona dawa yao ni kuwaondoa uraiani na kuwapeleka jeshini ambako midomo yao itazibwa .Kule ni kusema Yes...
Kuna mjadala unaendelea ITV hapa kuhusu tatizo la panya road kuibuka tena, watu wanatiririka maoni yao hapa ila muongozaji wa mdahalo ambaye ni mtangazaji Maulid Kambaya ni kama akisikia mtu akitoa maoni ambayo hakubaliani nayo anaanza kumkaba hoja yake kabla hajamaliza
Achani watu watoe maoni...
Naona stephane Aziz ki taratibu anaanza kuirudisha confidence yake na anaanza kuelewana na wenzake, anapofunga goli inazidi kumjengea hali ya kujiamini na utulivu.
Kitu kinachomsumbua kwa sasa ni presha kutoka nje ya uwanja ukizingatia usajili wake ulikuwa mkubwa hivyo anajaribu kuonyesha ubora...
Hivi ni mimi tu labda au kuna mwingine aliyeliona hili kwa Wasomali na midomo yao kwamba haifungi, yaani saa zote meno ya mbele yanaonekana na ni wote, hata kama akifunga mdomo ni lazima meno ya mbele utayaona, …
Kwa upande wangu huwa sifurahishwi kukaa sehemu mmoja na mtu anayenuka mdomo.
Inakuwaje mwanamke, au mke unamuacha mume wako anatoka nyumbani anaarufu ya kunuka mdomo? Yaani unakuta mbaba, au mkaka kwa muonekano ni mstaarabu sana na ananyazifa flan lakin akifungua mdomo wake unatamani kukimbia...
Habari!
Kuna wakati Mimi napingana na sayansi ya mazingira. Mara nyingi hata kwenye mikutano ya kimataifa wanajadili global warming ambayo inasababishwa na shughuli za kibinadamu kama viwanda, kilimo, uvuvi n.k.
Lakini kuna misimu mingine ya baridi kwa maeneo mbalimbali duniani inapita kawaida...
Imekuwa zaidi ya ugonjwa unakuta mtu amependeza hasa aila akikusogele kuongea mdomo wake unato harufu si nzuri.
Nashauri elimu itolewe kwa kila namna kuondoa hili tatizo.
Kwema ndugu zangu watanganyika? Kutokana na mimi kupitia changamoto za kifedha kwa sasa, nilimuomba Wife tupunguze gharama za uendeshaji wa maisha yetu kwa kujibana sana, pendekezo langu la kwanza nilipendekeza Wife anyoe nywele zake alizosuka, akajitetea kwamba nywele zake katumia karibia miaka...
Mwanamume wa kimasai aliingia katika benki moja huko Nairobi Kenya kwa lengo la kuomba mkopo.
Alimwambia afisa wa mikopo kuwa anaenda Dubai kikazi kwa wiki nne na anahitaji kukopa 5,000 Ksh.
Afisa wa benki hiyo akamwambia kwamba benki itahitaji dhamana ya usalama wa mkopo huo.
Mmasai akadai...
Wakubwa nlipitia sana life la Msuba na Chiga nyingi wakati nikiwa na saka life.
Sasa yale maisha nisha ya kacha ila kinacho ni boa lips zimeungua zimekuwa nyeus flan hivi kiasi kwamba kila mtu akiniona ananiambia vipi unavuta bangi asee huwa na boreka kinyamaaaa.
Au ukipiga story ukicheka...
Jana rafiki yangu ambaye ni kabila moja na mimi na Bishop Gwajima pia amenimegea stori ndogo kuhusu Bishop Gwajima kuwa aligoma kujibu maswali yoyote yaliyohusu na mahubiri yake kanisani kwake akisema hayo ni mambo ya kiimani na hawezi kujibia kitu akiwa bungeni.
Ameendelea kuwaeleza kuwa ya...
Watu wanaojulikana kama Surma wanapatikana Ethiopia wanatamaduni ya kung'oa meno na kuchana mdomo wa chini
Zoezi hili hufanyika wakati wa kupevuka. Mwanamke atakayeweka sahani kubwa zaidi hulipiwa ng'ombe wengi kama mahari
Wanaume huchana midomo kuashiria wako tayari kuingi katika ndoa
"I might disapprove of what you say, but I will defend to the death your right to say it"
Siafiki mengi yanayosemwa na wapotoshaji.., lakini sifurahii kuwaziba midomo so called wapotoshaji, sababu kama tukiwaziba midomo leo na kweli wamepotosha uzibaji midomo huo huo unaweza kutumika kesho...
Si ubaya wa umbo la hasha. Wala si tafsiri ya midomo michafu. Uchafu kwa maana ya kutokuwa msafi. Na uchafu kwa maana ya matusi na maneno yasiyo na staha
Tunaishi kwenye jamii ambazo ni jambo la kawaida kusikia kuwa fulani ana mdomo mbaya. Na anaweza kuwa ndugu jamaa rafiki ama hata wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.