Asilimia 50 ya wanaume wananuka midomo. Lawama ziende kwa nani?

mangosongoo

JF-Expert Member
Oct 2, 2016
257
456
Kwa upande wangu huwa sifurahishwi kukaa sehemu mmoja na mtu anayenuka mdomo.

Inakuwaje mwanamke, au mke unamuacha mume wako anatoka nyumbani anaarufu ya kunuka mdomo? Yaani unakuta mbaba, au mkaka kwa muonekano ni mstaarabu sana na ananyazifa flan lakin akifungua mdomo wake unatamani kukimbia.

Leo nimekaa na mzee mwenzangu kwenye seminar ya masaa matano aisee harufu yake kwakweli nikali nilitamani muda ufike niondoke, jamani wa mama huko jitahidini kuwakagua waume zenu...
 
Lawama kwa wake zao
 
Hatari watu hawana ustaarabu kabisa .... Bado mtu linaenda kunywa haya masupu ya dar yanapikwa uchafu kwa kweli mtu asiyejipenda hana ustaarabu kwa kweli .

How comes your mouth smell like a rotten meant? Personal hygiene ni kitu muhimu sana mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom