Migahawa/sehemu zenye michezo ya watoto (amusement parks)

mzeemzima

Senior Member
Apr 14, 2010
122
78
Naomba kufahamishwa sehemu ambazo watoto wanaweza kwenda kucheza michezo mbalimbali, nazifahamu chache kama Fun City na Kunduchi Wet 'n Wild.

Ukiondoa hizo kuna zozote nyingine ambazo zinafanya kazi kwa kipindi hiki ambacho watoto wengine wako likizo fupi.

Natanguliza shukrani
 
Wapeleke Dar es salaam Zoo wakaangalie wanyama wa porini. Watafurahika na kujifunza papo hapo.
 
Back
Top Bottom