rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 15,186
- 20,144
Kwa wale mnaofatilia mipira ya nje namaanisha ligi za Ulaya au michuano ya kimataifa, kila baada ya mechi kunakuwa na uchambuzi wa timu na wachezaji binafsi kupewa makisi kutokana na uchezaji wao na wapi walikosea.
Cha ajabu huku kwetu hakuna uchambuzi wa kitaalamu zaidi ya kusifia mchezaji fulani alikuwa nyota au kumtaja mchezaji fulani alidhibitiwa bila kujali hata huyo aliyedhibitiwa alifunga goli au kutoa pasi ya goli.
Sanasana wamekuwa wakiripoti mapenzi binafsi kwa kifupi inabidi wabadilishe namna ya kutathimini mechi