miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini Nchi hii hatutaendelea hata Miaka Milioni 1 ijayo

    Kuna mwanajeshi mhaya alisema yeye Kwenye Kozi hakupiga doso(mazoezi makali), baba yake alikuwa mstaafu wa jeshi, alitoa fungu mtoto wake akawa anadoji doso tu. Sasa najiuliza tu, Vita vikizuka mwanajeshi Kama huyo si atakuwa wa kwanza kufa? Chuo nilichosoma Mimi, Kuna mzee(Dean of students)...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Muungano kama Muungano

    Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, je, ni namna gani tunasherehekea Muungano huu? Tunasikia kauli za wanasiasa wakipongeza na kusifia Muungano, namsikia Waziri Jafo akilielezea hatua kubwa iliyopigwa katika kutatua "kero za Muungano"! Lakini siwasikii wananchi wa kawaida wakitoa...
  3. JamiiForums Tanzania Kuelekea Mei mosi 2023, nini hatma ya wafanyakazi waliokaa Miaka 9 wakiwa na daraja moja tu?

    Tahadhali naomba kujua ni Nini hatma ya wafanyakazi ambao kutokana na sababu (za awamu iliyopita) walikaa Miaka 9 Bila kupanda daraja achilia mbali nyongeza ya mshahara! Kwa Mfano wale ambao waliajiriwa Mwaka 2014. Walikuja kupanda daraja mwaka 2021. Imagine! Je Nini hatma Yao? Je Kuna namna...
  4. JamiiForums Tanzania Sensa 2022: Matokeo yanaonesha Watanzania wengi "hukata moto" miaka ya 30+. Je, ni hali mbaya ya maisha?

    Ni Kwasababu ya ugumu wa maisha? Au kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza? Au ni kutokana na mtindo wa maisha?
  5. JamiiForums Tanzania Nina miaka 26 sijawahi kuona maiti live uso kwa uso

    Yaani mimi huwa natazama tu kwambali sio kwamba ni uoga, hapana, yaani hata ikitokea msiba watu aanaaga mimi huwa sishiriki kabisa kuaga nakaa zangu kando. Sasa sijajua siku itakapo nitokea hali ya kuona maiti usoni kitanipata nini, sijawahi, sijawahi.
  6. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya Sikukuu ya Eid Miaka ya 1960

    SALUM ABDALLAH NA CUBAN MARIMBA CHACHA BAND "MKONO WA IDDI" Katika utoto wetu tukiisikia nyimbo hii ya Salum Abdallah inapigwa TBC tunajua Iddi imeingia. Watoto wa kike wako uani wanapakwa hina. Jikoni unakandwa unga wa maandazi na matayarisho ya kutengeneza kaimati na mapochopocho mengine...
  7. JamiiForums Tanzania Mchungaji Nurdin Abdallah jela miaka 30 kwa kumbaka mwanaye

    Mchungaji Nurdin Abdallah ambae ni muinjilisti wa vitabu amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka kwa nyakati tofauti binti yake mwenye umri wa miaka 6. Akitoa hukumu hiyo hakimu mkazi mwandamizi Erick Kimaro wa mahakama ya wilaya ya Magu amesema mahakama...
  8. JamiiForums Tanzania Bunge limetangaza nafasi 42 za kazi kwa Watanzania wasiozidi miaka 45

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetangaza nafasi za kazi 42 katika taaluma mbalimbali kwa Watanzania wasiozidi umri wa miaka 45 kuanzia leo Ijumaa Aprili 21, 2023 na mwisho wa kutuma maombi ni Mei 4, 2023. Tangazo hilo la kazi limetolewa leo Ijumaa Aprili 21, 2023 likitoa nafasi kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mtoto ahoji kukaa mahabusu miaka miwili akisubiri kesi

    Mmoja wa watoto wanaohifadhiwa katika mahabusu ya watoto Upanga, jijini Dar es Salaam, amehoji kukaa mahabusu kwa miaka miwili sasa, akisubiri kusikilizwa kwa kesi yake inayomkabili. Mtoto huyo aliyekuwa mahabusu hapo kwa kukinzana na sheria akikabiliwa mashtaka ya mauaji, alibainisha hayo jana...
  10. JamiiForums Tanzania Mbeya: Kijana wa miaka 27 atupwa Jela miaka 30 kwa kumbaka Mwanafunzi wa miaka 12

    Jebras Jaluwa [27] Mkazi wa Kijiji cha Ikukwa Wilaya ya Mbeya vijijini mkoani Mbeya amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mtoto wa miaka 12 ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mshewe. Hukumu ya kesi hiyo ya jinai namba 63/2022 imetolewa Aprili 19, 2023...
  11. JamiiForums Tanzania Kama 77% ya Watanzania ni vijana chini ya Umri wa miaka 35 shida kubwa ya umasikini wetu ni kuongozwa na wazee

    Kwanini wazee wenye umri mkubwa ndio wanatuongoza lakini si vijana ambao ndio wengi katika Taifa letu?
  12. JamiiForums Tanzania Bibi wa miaka 70 ashtakiwa Urusi baada ya kusema Zelensky ni mtanashati

    Wazungu wa Urusi, ujamaa umewalemaza na kuwafanya kama mazombi, yaani sheria zimebuniwa ukiskika unasema chochote kizuri kuhusu Ukraine unaliwa moja kwa moja, bibi ameshtakiwa kwa kusema Zelensky ni handsome, hilo alilisema huko mtaani kwa mhudumu wa mghahawa.... Kwa sasa watu wanaishi kwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Suala la mwanaume kuoa miaka hii ni gumu, labda mtu ujilipue tu

    Mitaani kuna mabinti wachache sana ambao wanafaa kuwa wife materials, ila wengi ni shida..nimeona ili mwanaume upate mke inabidi aidha umwombe Mungu sana, au ukubaliane na ujinga wa mwanamke Kama vile 1)Ukimtongoza leo kesho akikuomba hela, ingawa unajua hii ni red flag, we mpe kama unayo, kama...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Marekani: Apigwa risasi baada ya kugonga mlango usio sahihi

    Maandamano yalizuka katika Jiji la Kansas, Missouri, mwishoni mwa juma baada ya mwenye nyumba kumpiga risasi mbili kijana mweusi ambaye aligonga kengele ya mlango wao kimakosa. Ralph Yarl mwenye umri wa miaka 16, alitumwa na wazazi wake kuwachukua kaka zake kutoka katika nyumba ya rafiki yao...
  15. JamiiForums Tanzania Kilwa Lindi: Miaka 30 jela kwa kukiri kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

    Mahakama ya Wilaya ya Kilwa masoko mkoani Lindi imemuhukumu Muharami Ngayoma maarufu Kibwege (30) kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile. Hukumu hiyo ya kesi namba 27 ya mwaka 2023 imetolewa Aprili 17,2023 na hakimu mkazi wa mahakama hiyo Carolini Mtui...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Natafuta mchumba, nna miaka 26 naishi mwanza, awe anaishi mwanza, umri, 20-24. Mawasliano 0624298059
  17. JamiiForums Tanzania Yanga haijaishinda Simba katika Ligi ya Bara kwa miaka miwili sasa

    Takwimu zinaonyesha kwamba mara ya mwisho Yanga kuishinda Simba katika mechi ya Ligi ya Bara ni tarehe 03/07/2021. Hii ina maanisha kwamba Yanga imeshindwa kuifunga Simba na imekuwa mnyonge wa Simba katika Ligi ya Bara kwa muda wa miaka miwili mfululizo 03/07/2021: Simba 0-1 Yanga 11/12/2021...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya Maranatha: DC Jokate ashiriki ibada, aomba viongozi wa dini kuombea serikali

    MIAKA 20 YA MARANATHA DC JOKATE ASHIRIKI IBADA, AOMBA VIONGOZI WA DINI KUOMBEA SERIKALI. Na Miko Luoga Tanga Mkuu wa wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Jokate Mwegelo amewaomba viongozi wa dini na waumini wilayani humo kuwaombea viongozi wa serikali na ardhi ya Tanzania ili Taifa liendelee kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ulawiti adhabu yake ni miaka 30 jela bado Spika anasema anataka hiyo irekebishwe

    Eti irekebishwe iwe kali zaidi. Hayo sasa ni masihara. Ile sheria ni kali sana kwa vitendo vya ulawiti. Ile sheria inapinga hata mwanamke kulawitiwa. That is how mean that law is. Sasa unataka kuifanyia marekebisho gani? Kwa sababu ukianza kusema unataka sheria iwe taiti zaidi ndio utawaibua...
  20. JamiiForums Tanzania Abdelhak Nouri staa wa Ajax aliyelazimika kustaafu soka akiwa na miaka 20

    Mwanzoni mwa mwaka 2017 katika shule ya soka ya Ajax kulikuwa na kipaji maridhawa ambacho mtendaji mkuu wa Ajax ndugu Edwin Van Der Sar alikuwa ana uhakika baada ya miaka miwili mitatu watapata pesa ndefu kutokana na mauzo ya kinda huyo hatari ambaye si mwingine bali ni Abdelhak Nouri. Abdelhak...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…