Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 4,738
- 17,955
Kuna mwanajeshi mhaya alisema yeye Kwenye Kozi hakupiga doso(mazoezi makali), baba yake alikuwa mstaafu wa jeshi, alitoa fungu mtoto wake akawa anadoji doso tu.
Sasa najiuliza tu, Vita vikizuka mwanajeshi Kama huyo si atakuwa wa kwanza kufa?
Chuo nilichosoma Mimi, Kuna mzee(Dean of students) alikuwa anafundisha masomo mawili. Alikuwa anatufelisha kwa makusudi alafu anamtuma mwanafunzi tuchange laki moja moja atuachie kwenye mtihani wa sup, tukigoma tuna Carry. Wanafunzi wa kike walikuwa hawadaiwi hela Bali ngono.
Ofisi yake imejitenga, ipo mbali kidogo na Ofisi za staff wenzake. Alikuwa akimpenda Mtoto wa kike anamtafutia sababu waonane ofisini(anaweza asimjazie coursework) Mtoto wa watu akimfuata anamuambia "rudishia mlango". Baada ya hapo anafungua zipu ya suruali anamuambia njoo ninyonye uume. Mbaya zaidi huyo mzee anasadikika ana UKIMWI. Sasa Mtoto wa watu akiwaza Hali ngumu ya maisha ya nyumbani na uwezekano wa ku Carry endapo atagoma, anawaza atapatia wapi gharama za kuishi chuoni mwaka ujao, anaamua kunyonya uume yaishe.
Wanafunzi waliwahi kumuwekea mtego, wakapata ushahidi na wakaenda TAKUKURU, mkuu wa chuo hicho ni Mwanasheria, akaingilia hiyo kesi ikafutwa kwa kigezo cha kwamba hazikufuatwa taratibu za kisheria na wanafunzi.
Wakuu, msishangae law school inavyowala vichwa wanafunzi. Kuna uwezekano hao wanafunzi walipata degree zao kwa mtindo wa kuwachangia hela wakufunzi.
Pote utakapogusa katikati nchi hii, pameoza.
Miaka ya nyuma, Kuna mtendaji wa kijijini aligoma kuniandikia barua ya utambulisho kwa sababu amenidai elfu 10, nilipomtaka anieleze hiyo hela ni ya Nini na je nitapata receipt? Akaanza kunitukana eti niache dharau, najifanya Nina Elimu kubwa Kuliko yeye wakati yeye Yupo kwenye Ofisi yake. Kwa kuwa barua ilikuwa ya muhimu Sana Ilibidi nimpe tu hiyo Hela.
Kwa nukta hizi, tusitarajie Maendeleo ya kweli hivi karibuni. Fake professionals, fake students, fake certificates, fake soldiers, fake local government leaders, fake politicians, fake fake... fvck up fake development
Nchi ngumu sana hii.