Yanga haijaishinda Simba katika Ligi ya Bara kwa miaka miwili sasa

Opaque

JF-Expert Member
Oct 24, 2008
1,359
719
Takwimu zinaonyesha kwamba mara ya mwisho Yanga kuishinda Simba katika mechi ya Ligi ya Bara ni tarehe 03/07/2021. Hii ina maanisha kwamba Yanga imeshindwa kuifunga Simba na imekuwa mnyonge wa Simba katika Ligi ya Bara kwa muda wa miaka miwili mfululizo

03/07/2021: Simba 0-1 Yanga
11/12/2021: Simba 0-0 Yanga
30/04/2022: Yanga 0-0 Simba
23/10/2022: Yanga 1-1 Simba
16/04/2023 Simba 2-0 Yanga
 
Yaani mtu unaamua kujitoa akili kabisa, kwahiyo kabka ya mechi ya jana Simba ilikuwa inachukulia sare kama ushindi kwenu? Yaani mechi zimeisha kwa sare lakini unasema Yanga alikuwa mnyonge.
 
Takwimu zinaonyesha kwamba mara ya mwisho Yanga kuishinda Simba katika mechi ya Ligi ya Bara ni tarehe 03/07/2021. Hii ina maanisha kwamba Yanga imeshindwa kuifunga Simba na imekuwa mnyonge wa Simba katika Ligi ya Bara kwa muda wa miaka miwili mfululizo

03/07/2021: Simba 0-1 Yanga
11/12/2021: Simba 0-0 Yanga
30/04/2022: Yanga 0-0 Simba
23/10/2022: Yanga 1-1 Simba
16/04/2023 Simba 2-0 Yanga
Kweli tafsiri ya mnyonge siku hizi imebadilila yaani hata mkishindwana kumfunga mwenzako kumbe siku hizi ni mnyonge kwa mwenzako.
 
Takwimu zinaonyesha kwamba mara ya mwisho Yanga kuishinda Simba katika mechi ya Ligi ya Bara ni tarehe 03/07/2021. Hii ina maanisha kwamba Yanga imeshindwa kuifunga Simba na imekuwa mnyonge wa Simba katika Ligi ya Bara kwa muda wa miaka miwili mfululizo

03/07/2021: Simba 0-1 Yanga
11/12/2021: Simba 0-0 Yanga
30/04/2022: Yanga 0-0 Simba
23/10/2022: Yanga 1-1 Simba
16/04/2023 Simba 2-0 Yanga
Inonga aondoke nchini anafunga magoli ya kikatili mno
 
Kwa nini unataka kuiondoa mechi ya jana wakati mimi nimesema 'hadi sasa'?
Uliposema miaka miwili mfululizo, unajua maana ya neno mfululizo? Haya lete matokeo ya Simba kuifunga Yanga mfululizo yako wapi?
 
Utasikia kwa wachambuzi na vyura wenzao wakisema Simba miaka yote alikuwa myonge kwa Yanga.... kumbe zaidi ya match tano Yanga kashinda mara moja zote zilikuwa draw
 
Attachments

  • Screenshot_20230417_100044.jpg
    Screenshot_20230417_100044.jpg
    56.2 KB · Views: 4
Takwimu zinaonyesha kwamba mara ya mwisho Yanga kuishinda Simba katika mechi ya Ligi ya Bara ni tarehe 03/07/2021. Hii ina maanisha kwamba Yanga imeshindwa kuifunga Simba na imekuwa mnyonge wa Simba katika Ligi ya Bara kwa muda wa miaka miwili mfululizo

03/07/2021: Simba 0-1 Yanga
11/12/2021: Simba 0-0 Yanga
30/04/2022: Yanga 0-0 Simba
23/10/2022: Yanga 1-1 Simba
16/04/2023 Simba 2-0 Yanga
sasa nani mnyonge hapo??kweli RAGE hakukosea
 
Back
Top Bottom