Nina miaka 26 sijawahi kuona maiti live uso kwa uso

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,746
Yaani mimi huwa natazama tu kwambali sio kwamba ni uoga, hapana, yaani hata ikitokea msiba watu aanaaga mimi huwa sishiriki kabisa kuaga nakaa zangu kando.

Sasa sijajua siku itakapo nitokea hali ya kuona maiti usoni kitanipata nini, sijawahi, sijawahi.
 
yaani mimi huwa natazama tu kwambali sio kwamba ni uoga, hapana, yaani hata ikitokea msiba watu aanaaga Mimi huwa sishiriki kabisa kuaga nakaa zangu kando, sasa sijajua siku itakapo nitokea hali ya kuona maiti usoni kitanipata nini, sijawahi, sijawahi.
Safiri safari ndefu utawaona bdbd waliogongwa maana siku hizi haipiti siku hawajapigwa na magari njiani
 
Nenda mochwary yeyote ilee sema nimekuja kutafuta ndugu yangu amepotea wiki sasa na vituo vyote vya polisi nimetembea na sijamuona na sijapata taarifa yake yoyote .. alaf utaona unachokitaka mkuu, amani iwe nawewe kama unaona sifa hiyo
 
Nikiwa na miaka 12+ nilishuhudia mwili wa mama yangu akiwa ameaga dunia.
Ni picha ninayo mpaka leo.
Aliniagiza sokoni nikamnunulie parachichi, nimerudi nakutaka ameaga dunia pembeni amelala na mdogo wangu!
Ni picha siisahau mpaka kesho.
Pole sana mkuu 😔
May her soul RIP forever
 
Wanaposema kua uyaone halafu wanamalizia Sio Maghorofa, Wanamaanisha na Mambo kama hayo. Ombi Lako linaweza kutimizwa kwa namna ambayo hutakaa uisahau maishani.

Msiba Hauna machungu kama ni wa jirani daima.
 
Nikiwa na miaka 12+ nilishuhudia mwili wa mama yangu akiwa ameaga dunia.
Ni picha ninayo mpaka leo.
Aliniagiza sokoni nikamnunulie parachichi, nimerudi nakutaka ameaga dunia pembeni amelala na mdogo wangu!
Ni picha siisahau mpaka kesho.
Mimi nikeshuhudia sura mama ameondoka nikiwa na 12 years hiyo picha ninayo akili till today,huwa siangalii maiti,nakwenda naaga lakin napiga jicho pembeni,kuepuka kubaki na picha za marehemu akilin mwangu🙏
 
Back
Top Bottom