Bibi wa miaka 70 ashtakiwa Urusi baada ya kusema Zelensky ni mtanashati

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,651
48,415
Wazungu wa Urusi, ujamaa umewalemaza na kuwafanya kama mazombi, yaani sheria zimebuniwa ukiskika unasema chochote kizuri kuhusu Ukraine unaliwa moja kwa moja, bibi ameshtakiwa kwa kusema Zelensky ni handsome, hilo alilisema huko mtaani kwa mhudumu wa mghahawa....
Kwa sasa watu wanaishi kwa kuchunguzana, mashushushu wapo kote...

Hivi majuzi baba aliswekwa jela kisa mwanaye alichora picha nzuri kuhusu Ukraine.
========================

Olga Slegina was convicted of “discrediting the Russian armed forces” by calling Volodymyr Zelensky a "handsome young man with a good sense of humour", Russia’s human rights group Memorial said.

The 70-year-old was arrested in Nalchik, southern Russia, after making the comment to a waitress in a canteen at the medical centre where she was a guest last Christmas.

The Kremlin introduced sweeping censorship laws shortly after ordering tens of thousands of troops into Ukraine a year ago.

Last month Vyacheslav Volodin, a senior government minister, said he was toughening up the legislation to “ensure the security of our country and our citizens”.

In Russia, "discrediting" the army was punishable by up to five years in prison, while spreading knowingly false information about it could attract a 15-year jail sentence.

Mr Volodin introduced amendments to the law which he said would bring in a maximum of 15 years for both offences.

Mr Zelensky enjoyed a successful career as a comedian before entering politics and winning the presidency in 2019. He had performed on Russian state television, including at a New Year’s Eve show in 2013 before Russia annexed the Ukrainian territory of Crimea.

Ms Sleginam, who also said “everyone used to laugh at his jokes”, was reported to police by three other visitors at the cafe.

President Zelensky (UKRAINIAN PRESIDENTIAL PRESS SER)
 
Wakenya wanaharibu sana Jf yetu.
Kinacho shangaza zaidi ni hasa huyu Mkenya (MK) anaye tumia country code ya taifa lake 254 ana overwhelm folder nzima ya International Forum kwa story zake za ajabu, nyingine hata hazina mantiki hata kidogo eti "bibi kizee anamtamani Zelezensky!!

Alivyo wa ajabu anafikia hatua ya kusema eti Warusi wamelemazwa na siasa zao za kijamaa, nani kakwambia Urusi hivi sasa inafuata siasa ya ujamaa -nani??

Je, nyinyi siasa zenu za kibepari zimewafikisha wapi? Mbona mnakosa mpaka chakula mnakwenda kuhemea mahindi kutoka Tanzania na Zambia, bila sisi mgekuwa wageni wa nani - ubepari umewafikisha wapi zaidi ya majivuno na kujiona nyie ni zaidi??
 
Mmh, una chuki binafsi.
 
😋
EBF5F343-D41B-499D-AA6D-1F510514CD24.jpeg
 
Back
Top Bottom