miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maisha ya miaka mitatu, Mtusi na Mnyaturu mkoani Morogoro

    TRUE STORY Hello members nipo hapa kushare true story inayonihusu mimi na mrembo wangu tuliopendana sana na jinsi tulivoishi kwa miaka mi3 morogoro mjini na mpka tulipoishia. Karibuni. Nitakuwa natumia codes za aina tofauti kulingana na ambacho nitatakiwa kuhide na mm nitatumia jina Camavinga...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini mnawaacha watu wafikishe miaka 30 bila kujua kusoma?

    .
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe: Ili Mkurugenzi wa Halmashauri ateuliwe anatakiwa awe amefanya kazi miaka 12 Utumishi wa Umma

    "Nakupongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Hongera sana. Hii kwasababu una uwezo mkubwa sana na umetuheshimisha sana" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai. "Namshukuru Mheshimiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Bifu maarufu la Shah Rukh Khan na Sunny Deol lililodumu kwa miaka zaidi ya 20 mpaka kuisha kwake mwaka huu, tuna la kujifunza hapa

    Miongoni mwa mabifu yaliyowahi kutikisa nchini India basi bila shaka utazungumzia bifu lililokuwepo baina ya Shah Rukh Khan ukipenda muite King Khan au SRK na mbabe Sunny Deol. Hili bifu lilianzia kwenye Ile filamu ya Darr iliyotoka mwaka 1993 iliyowakutanisha Sunny Deol aliyecheza kama...
  5. JamiiForums Tanzania Mliokuwepo miaka ya 70s mtuambie el nino ilianzaje, tuchukue tahadhari

    Wakuu, wazee, hivi hata El nino ya 70s nayo ilikuwa inanyesha kidogo kidogo kwa mda mrefu kama hii ya dar? Tusimulieni kidogo jinsi mlivyoiona huku mkiifananisha na hii tuchukue tahadhari.
  6. JamiiForums Tanzania Serikali: Elimu ya msingi mwisho darasa la sita kuanzia 2027

    Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, leo Bungeni ijini Dodoma alisimama kutoa taarifa kuhusu kuidhinishwa kwa sera ya elimu na mafunzo ya Elimu 2014 toleo la 2023, amesema sera ya Elimu na mafunzo imefanyiwa mabadiliko kwenye maeneo kadhaa kulinganisha na sera iliyopita na maeneo hayo...
  7. JamiiForums Tanzania Hakika UKIMWI ni ugonjwa wa maskini. Magic Johnson kaishi nao miaka 32

    Huyu mcheza kikapu maarufu ambaye hivi juzi ametangazwa kuwa bilionea ameishi na ngoma kw miaka 32. Aligundulika na UKIMWI mwaka 1991. Akatangaza hadharani kuwa kaukwaa. Hadi leo mwaka wa 32, akiwa na miaka 64 bado anadunda nao. Tajiri hafi kwa ngoma.
  8. JamiiForums Tanzania Biashara haramu kwa miaka mitano mtu anastaafu sawa na Daktari bingwa

    Habari za saa hizi wana jamvi, hongereni wana Dar es Salaam kwa mvua, sasa hamna kisingizio cha kutokupeana. SIASA: Ukiacha biashara haramu ya madawa ya kulevya, biashara ya Siasa ndiyo inayolipa kuliko zote. Wakati kila uchao maghorofa na biashara mpya zikifunguliwa, siasa ni biashara mpya...
  9. JamiiForums Tanzania Ivi ni lazima ukipenda mtu, u-date nae kwa miezi 6 - miaka 3?

    Hili ndilo swali naulizwa na wanaume wengi huku jamii forum kwani nikimpenda mwanamke lazima ni date nae miaka mingi ndio nimuoe? kwanini nisimuoe tu fasta, yaani nimempenda, napeleke washenga nyumbani kwao nachukua chombo hii mambo ya dating and kufahamiana ndio inachochea dhambi nyingi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Najuta kurudi Tanzania baada ya kuishi ughaibuni miaka 28

    Jamani wanajamiiForums, kwanza na wasalimia kwa heshima zote. Leo nakuja na story moja ya ukweli ya mzee mmoja aliye amua kurudi nyumbani baada ya kuishi nchini Marekani kwa zaidi ya miaka 28. nimekutana na huyu mzee akiwa kijijini kwake huko mkowani Shinnyanga, kwenye kimji kidogo kina itwa...
  11. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu anachomokaje kifungo cha miaka 10 hapa?

    Amemgonga huyu ndege bwana afya na bodaboda mpaka kifo mbele ya mashahidi lukuki. Wanasheria wa mtaani wanadai ana kesi nzito sana hapa ya kujibu. Kwa kuanza tu ametoroka mjini ameenda kujificha.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Reli ya kati DSM - Kigoma; 1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 19014) wakati teknolojia ikiwa duni

    Reli ya kati DSM - Kigoma; 1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 1914) wakati teknolojia ikiwa duni. TAZARA 1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76). Karne ya 21 Reli ya DSM - Moro, only 300Km inajengwa kwa miaka 7. CnP
  13. U

    JamiiForums Tanzania Historia ya Zelothe inaonesha alikuwa RPC akiwa na Miaka 66. Je, ndivyo ilivyo?

    Kila mtu Kila mtaani anajua Umri wa kustaafu Kwa mtumishi wa Umma ni miaka 60, Tena Kwa majeshi Huwa ni kidogo zaidi. Napenda kujifunza , kifo Cha mwenyekiti wa CCM Arusha ambaye alishatumikia jeshi la polisi ngazi za uandamizi kimenofanya nijiulize mambo mawili matatu, wakati wa usomwaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania Miaka michache ijayo Tanzania itaenda kuwa na watu wenye msongo mkali wa mawazo kutokana na madeni

    Ili kuwepo na ustawi ni lazima nchi ikuze hali ya uchumi wa watu wake. Purchasing power lazima iongezeke. Kinyume na hapo ni stress na madeni. Leo kuna viwanja vinauzwa kwa mkopo, kuna wafanyabiashara wanakopesha zana za ujenzi kwa riba, kuna magari ya mkopo na hamna kipato cha uhakika...
  15. JamiiForums Tanzania Uhaba na Ubaguzi kwenye Pesa itakuwa nguzo kuu ya anguko la CCM miaka michache ijayo

    Nguvu ya kiuchumi inabeba ushawishi mkubwa sana katika nyanja mbalimbali za maisha hapa Duniani. CCM itavugika tu pale tu pesa itakapokuwa ni taabu miongoni mwao hasa ubaguzi wa fursa za kiuchumi Nawaibia siri tu shida za kiuchumi, fursa za kiuchumi na kipesa ndani ya CCM ndio silaha kubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanza hapajabadilika kwa miaka 13, bado nyumba zinachungulia kutoka milimani

    Mwaka 2010 nilikaa mwanza kwa mwezi mmoja nikifanya kazi pale TPA. Niliwahi kuja mara kadhaa kwenye mikutano ya siku moja moja hivyo sikuwa nazunguka sana. Sasa nimeingia jana napita mjini pako vilevile, nyakato, miti mirefu, nyegezi, kirumba, capripoint, airport hamna chochote kipya. Gold...
  17. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe: Maonesho ya SIDO Kitaifa Mkoani Njombe Yavutia zaidi Wajasiriamali Kuonesha Bidhaa Zao Ikilinganishwa na Miaka ya Nyuma

    Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda, Exaud Kigahe wakati wa kufunga sherehe za maonesho ya SIDO kitaifa mkoani Njombe ambapo zaidi ya washiriki 628 wameonesha bidhaa zao kwenye maonesho hayo. Kigahe amesema kuwa mikoa yote nchini imeleta washiriki kwenye maonesho hayo kwa siku 10 na kutoa...
  18. JamiiForums Tanzania Ipi ni sababu kuongezeka kwa vizinga siku za karibuni kuliko miaka ya zamani?

    Ukijichanganya kutongoza Mwanamke yoyote tu, hapo utaanza kupigwa vizinga tena Kwa kulazimishwa utadhani anakudai. Hivi kwanini wanawake wamegeuka kua omba omba? Shida imekua nini? Hivi tunawezaje kupata Mwanamke wa kuoa kwenye kizazi hiki Cha omba omba? Juzi nimejaribu kutafuta wapenzi...
  19. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa point za Simba kwa miaka mitano iliyopita kimataifa na harakati za Yanga kumpita

    Mimi huwa napenda sana namba na hesabu Kwani hazidanganyi, haziongopi wala hazipendelei Jinsi Simba alivyojizolea point 35 katika msimamo wa vilabu bora Afrika 1) Msimu wa 2018/2019 aliishia robo fainali Klabu Bingwa hivyo akajizolea point zake 3 2) Msimu wa 2019/2020 alipata point 0 Sijui...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 27, bado nina ndoto ya kuwa Daktari (Médical Doctor)

    Mimi ni kijana wa kiume miaka 27 'nilimaliza Form 4 2013 nikapata division 3 lakini nikakosa nafasi form 5 Since day one ndoto yangu ilikuwa ni kuwa DAKTARI +Business man 2014 nikachomoka Moshi Kuja Dar ku strugle Nimepambana from 2014 up to this moment MUngu akanibariki kiuchumi kwa kiasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…