Siku zote huwa nawaonea huruma sana wafungwa wanaponyongwa ila kwa hili la mtoto albino aliyeuawa na kukatwa viungo huruma imenitoka. Mheshimiwa Rais wakithibitika mahakamani ukiletewa karatasi weka saini wanyongwe.
Kama sehemu tu ya huruma yangu naomba wasinyongwe kwa kamba. Kiti cha umeme (elecrtic chair) au sindano ya sumu ( lethal injection) iwe ndiyo humane punishment. Vinginevyo walistahili kupewa adhabu tunayompa mbuzi ambaye hana hata kosa!