mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Unahitaji mfumo wa kutunza kumbukumbu kama bidhaa, faida na n.k

    Unahitaji mfumo wa kutunza kumbukumbu kama bidhaa, faida na n.k. Kuna mifumo miwili mmoja wa kompyuta unawekewa unatunza kumbukumbu humo humo na kuna mfumo mwingine unatunza taarifa kwenye seva ambapo taarifa unaweza weka kwa njia ya mtandao yaani simu au kompyuta na kuzipata taarifa popote...
  2. GANG MO

    JamiiForums Tanzania Najaribu ku log in kwenye mfumo wa mikopo HESLB lakini inashindikana

    Wadau habari ya jioni! samahani kuna dogo aliomba, mkopo mwaka jana alikosa. Sasa anataka kuomba mkopo tena. Lakini ameshalipia elfu 30 lakini akijaribu kulog in mfumo haufunguki. Shida ni nini wadau?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kufunga Mfumo wa Gas (CNG) Kwenye Subaru Forester.

    Kwema Wakuu, Mwezi uliopita nilihama rasmi kutoka kutumia RAV4 mpaka Subaru Forester ya 2011. RAV4 nliokua nikitumia ni "Kili time" ya mwaka 2000, engine 1ZZ, CC 1770, front wheel. Sasa nimekuja kwenye Subaru, CC 2000 full time 4wd naona kama mambo hayaendi hivi kwa upande wangu. Yaan mazoea...
  4. winnerian

    JamiiForums Tanzania Kwa lugha ngumu ni kwamba: MFUMO UMEKUWA MALAYA WA UFISADI KUPINDUKIA NA KUKOSA CHEMBE YA HAKI

    Na matokeo yake hata mtu mwema aingie kwa kutumia mfumo huu, cha kwanza unamuharibu na kumfanya mtu mbaya sana. MFUMO NI MCHAFU KIASI KWAMBA HATA UWE NA NDOTO NZURI KIASI GANI, HATA UWE NA NIA NZURI KIAS GANI HUWEZI KUTENDA LOLOTE. BADILISHENI MFUMO UWE MFUMO MWEMA IBAKI KUWA NI JUKUMU LA MTU...
  5. Super Msouth

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa malipoa wa serikalini uboreshwe

    Habari wanajamvi! Utaratibu wa ulipaji serikalini wa fedha zote huanza na maombi ya fedha kwa jambo linalokusudiwa mfano manunuzi au posho na haya maombi ya fedha kwa namna nyingine huitwa dokezo. Maombi yote huenda sambamba na vielelezo (viambata) vinavyohalalisha uwepo wa maombi hayo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna kabila lolote Tanzania lililowahi kubuni mfumo wake wa maandishi

    Katika makabila zaidi ya 120 Tanzania, lipo hata moja lililowahi kupata akili ya kugundua maanishi yanaweza kutumika kama njia mbadala ya kuongea maneno kwa mdomo ? Ni lugha ya maandishi, Sio kuchora au kuchonga vinyago
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mpina kafanya kosa kubwa sana kuhama ACT. Aliyemkata jina CCM, ndio huyo huyo atakeyemkata kuwa Mbunge

    Ni Kweli MPINA Hauna Mpinzani KISESA hili liko wazi Ila ilikupasa ukubaliana na Ukweli kua chini ya SAMIA SULUHU hutakiwi kua Mbunge Kwa Namna yoyote Ile . Angetaka uwe Mbunge ,asingekukata, Angekubakisha CCM, ila alikukata Licha ya yeye kujua ukweli kua unakubalika. Kilichomfanya akukate...
  8. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Dead Hand: Mfumo hatari wa Urusi wanaoutumia kumtishia Trump

    Trump anapaswa kukumbuka jinsi 'mkono uliokufa' ulivyo hatari," ni maneno ambayo rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev alitumia akihutubia Marekani, suala ambalo liliikasirisha Ikulu ya Whitehouse na kurudisha kumbukumbu za Vita Baridi. Kauli ya Medvedev, ambaye kwa sasa ni naibu mwenyekiti...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania mfumo wa Kidikteta unashidwa CCM amkeni TZ sio China wala Cuba

    Tanzania mfumo wa Kidikteta unashidwa CCM amkeni TZ sio China wala Cuba. Utamaduni wa Tanzania tunapenda uhuru na hatufananini kwenye imani, elimu, makabila huwezi kufanikiwa kwenye mfumo kama wa CCM wanaoutaka wa Cuba na China. Lakini kingine hata viongozi wa CCM wanapenda maisha ya kifahari...
  10. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna mfumo wa kifalme uliovaa suti ya kidemokrasia

    Kinaoendelea Tanzania ni mfumo wa kifamilia, kifisadi na kiukoo unaovaa kanzu ya "amani na utulivu". Tuuchambue kwa kejeli kali na ukweli mchungu: 1. Salma Kikwete kapita bila kupingwa Mama wa kifalme. Si kwa sababu ya uwezo, bali kwa jina tu. Watu wanashangilia kama vile kapita kwa mapenzi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira Portal upo kama Roboti, hauwezi ku-synchronize sifa katika qualifications za elimu

    Ajira portal na serikali yetu mfumo wa ajira ni mgumu sana kuutumia, yaani upo kama roboti hakuna integration na una kinda of conservative mind imagine. Kwa mfano 1. Mtu amesoma kuanzia Form 1 hadi 6 masomo ya biashara let say form 1 hadi 4 (business studies) then 5 na 6 (ECA) yaan Economics...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya BRICS yaunda mfumo wa ikolojia wa AI huru

    China inaendelea kuongoza katika masuala ya teknolojia ya akili mnemba (AI) ndani ya nchi za BRICS ikiwa na 47.2% ya tasnifu zilizotajwa zaidi za AI na kushika nafasi ya juu katika kuweka hataza za AI kimataifa. Ukiungwa mkono na zaidi ya dola bilioni 150 za ufadhili wa serikali, mkakati wa AI...
  13. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha dar es salaam na mfumo wa unyonyaji

    Kwa muhula wa pili nimefuatilia namna Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na kuwaibia vijana wanaowabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia ufundisha
  14. H

    JamiiForums Tanzania Karibuni kujaribu mfumo wetu wa Usimamizi wa Biashara za Mikopo

    Habari, Nawakaribisha wafanya biashara za utoaji mikopo (Microfinance) kuweza kuujaribu mfumo wetu wa usimamizi wa biashara za mikopo. Login - Peloo Tunamba feedback zenu ikiwa kuna maboresho mtahitaji yafanyike
  15. Mwenekaya Nkulu

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya mapato Tanzania na mfumo wa internet

    Mamlaka ya mapato Tanzania yaani tra ni chombo cha serikali cha kusimamia ukusanyaji wa kodi na mapato ya serikali, ni mamlaka ambayo kwa jicho fulani hivi inayojitahidi kuhimiza watu katika kulipa kodi kwa njia na mifumo halali. Mamlaka hii imetoa idhini kwa baadhi ya watu au taasisi binafsi...
  16. nusuhela

    JamiiForums Tanzania KERO Mapungufu ya mfumo wa kusajiri wajasiriamali wadogo wadogo

    Jana nilienda ofisi ya kata kukutana na afisa maendeleo. Lengo langu ni kuingizwa kwenye mfumo wa wajasiriamali wadogo wadogo ili niweze kupata kitambulisho ambacho baada ya kusajiliwa unalipia 20,000 kila baada ya miaka mitatu. Cha kushangaza ni kwamba inatakiwa niende kusajiliwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyuo havi-update kwa wakati taarifa za Diploma kwenye Mfumo wa NACTE. Ukiomba ajira Serikalini, mfumo haukutambui

    Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo kimoja hapa Dar es Salaam, ninasomea Stashahada Mwaka wa Pili..... nilikuwa na changamoto au kero kuhusiana na usajili wa Vyuoni na NACTEVET ambapo hata mimi nimekutwa na hiyo changamoto na mpaka sasa haijafanyiwa kazi. Vyuoni humu wanatabia ya kutusajili Wanafunzi wa...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Kinachoitesa Nchi ni mfumo wa Urais Usiodhibitika na yeyote wala kuhojiwa

    Nani wa kuisaidia kama kila anayestahili kufanya lolote kulinda Nchi anapewa rushwa anyamaze ,asipotii analazimishwa kutii ,wazee wanaotegemewa wamepewa sega wanalamba ,,,wanaothubutu kutokq wanapewa vifungo vya nyumbani na mambo yanaratibiwa na walafi wenye mission zao kwa kulindwa na mfumo...
  19. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa email air Tanzania haufanyi kazi

    Mfumo wa email wa air Tanzania haufanyi kazi, leo nipo hapa Lubimbashi, nataka kurudi tanzania, nimeshindwa kureset password, ila imeshindikana kwa sababu email hazifiki. Air Tanzania ebu jaribuni kuliangalia hili, hamtaweza kusurvive kwenye soko la usbindani kwa namna hii.
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Napa kama umekaa kutrace watu japo siweki wazi kama programmer

    Kuna mfumo ambao ulianzishawa wakati mifumo ya idara nyingi zinaweza kuwa sehemu zake ila nimeona sababu ya kushtuka sio kila mambo kuweka wazi. Hii App Napa kwa mtindo ambao kama tutamaliza mzozo wa mambo ya katiba na mifumo mibovu ya serikali basi leo msije kusema mpo salama. Mfumo huu...
Back
Top Bottom