mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ccm wote majizi hata Hayati Lowasa alikwenda chadema na mfumo wa kudukua kura angani na chadema wakapokea, jamani twende wapi sisi watakatifu?

    Utafutwaji WA madaraka katika mataifa ya Kiafrica unatumia sana njia haramu hivi ni kwa Nini? Hivi hamkumbuki wakati wa uchaguzi walikamatwa vijana kutoka izraeli walio kuwa maIT wa chadema walio letwa na Hayati Lowasa? Unaambiwa vijana walitoka izraeli, wakafikia hotelini KAZI Yao ilikuwa...
  2. Nijosnotes

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Tofali Smart. Tuwasiliane ili uboreshe biashara yako

    Je, una biashara ya tofali za block? Unapata changamoto hizi? Kupoteza kumbukumbu za uzalishaji Kutojua stock zilizopo Ugumu wa kuhesabu gharama na faida Kukosa ripoti za haraka na sahihi Suluhisho ni TOFALISMART System Mfumo huu unakusaidia: Kusajili na kufuatilia aina zote za tofali...
  3. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Business Tycoon kwa Tanzania mfumo unakulazimisha uwe upande ule

    Yeah kuna mdau nilikuwa napiga naye stori hapa border,akaniuliza swali la kizushi . Mbona wafanyabiashara wakubwa (business tycoons) na/ sio wajasiriamali. Kwamba mbona almost wote hao wapo upande wa chama tawala? Ni baada ya kusikia kuna mtu kasapoti chama kwa bilioni 100.. nikamjibu...
  4. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Hata mfumo wetu wa Elimu ndio umeamua jinsi leo wa Tanzania tulivyo

    Yeah , kujipendekeza kwa watawala, kushangilia mafisadi wakitumia pesa hovyo na hata kukubali kuhongwa baiskeli,pikipiki n.k ambazo obviously zimenunuliwa kwa kodi zetu tunazokamuliwa kila uchao. Mnaweza kuwabagaza walioelimika na wasomi nguli hawajionyeshi wala kujitokeza kwenye majukwaa ya...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tony Kapola naye kaingia kwenye mfumo kama Adam, Samson, mchungaji Hananja nk..! Amekwisha

    Nakaa naangalia video za vituko vya kushangaza vya mke wa "pastor" Tony Kapola.. Simuoni Mungu ndani yake Sioni uchaji wa kiroho Sioni unyenyekevu wa kiimani Sioni kujishusha, kutubu na kujirudi Kinachoonekana kwenye kila video ni Majigambo Maringo Majisifu Kujikweza sana na dharau za kila aina...
  6. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Unahitaji mfumo wa kutunza kumbukumbu kama bidhaa, faida na n.k

    Unahitaji mfumo wa kutunza kumbukumbu kama bidhaa, faida na n.k. Kuna mifumo miwili mmoja wa kompyuta unawekewa unatunza kumbukumbu humo humo na kuna mfumo mwingine unatunza taarifa kwenye seva ambapo taarifa unaweza weka kwa njia ya mtandao yaani simu au kompyuta na kuzipata taarifa popote...
  7. GANG MO

    JamiiForums Tanzania Najaribu ku log in kwenye mfumo wa mikopo HESLB lakini inashindikana

    Wadau habari ya jioni! samahani kuna dogo aliomba, mkopo mwaka jana alikosa. Sasa anataka kuomba mkopo tena. Lakini ameshalipia elfu 30 lakini akijaribu kulog in mfumo haufunguki. Shida ni nini wadau?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kufunga Mfumo wa Gas (CNG) Kwenye Subaru Forester.

    Kwema Wakuu, Mwezi uliopita nilihama rasmi kutoka kutumia RAV4 mpaka Subaru Forester ya 2011. RAV4 nliokua nikitumia ni "Kili time" ya mwaka 2000, engine 1ZZ, CC 1770, front wheel. Sasa nimekuja kwenye Subaru, CC 2000 full time 4wd naona kama mambo hayaendi hivi kwa upande wangu. Yaan mazoea...
  9. winnerian

    JamiiForums Tanzania Kwa lugha ngumu ni kwamba: MFUMO UMEKUWA MALAYA WA UFISADI KUPINDUKIA NA KUKOSA CHEMBE YA HAKI

    Na matokeo yake hata mtu mwema aingie kwa kutumia mfumo huu, cha kwanza unamuharibu na kumfanya mtu mbaya sana. MFUMO NI MCHAFU KIASI KWAMBA HATA UWE NA NDOTO NZURI KIASI GANI, HATA UWE NA NIA NZURI KIAS GANI HUWEZI KUTENDA LOLOTE. BADILISHENI MFUMO UWE MFUMO MWEMA IBAKI KUWA NI JUKUMU LA MTU...
  10. Super Msouth

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa malipoa wa serikalini uboreshwe

    Habari wanajamvi! Utaratibu wa ulipaji serikalini wa fedha zote huanza na maombi ya fedha kwa jambo linalokusudiwa mfano manunuzi au posho na haya maombi ya fedha kwa namna nyingine huitwa dokezo. Maombi yote huenda sambamba na vielelezo (viambata) vinavyohalalisha uwepo wa maombi hayo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna kabila lolote Tanzania lililowahi kubuni mfumo wake wa maandishi

    Katika makabila zaidi ya 120 Tanzania, lipo hata moja lililowahi kupata akili ya kugundua maanishi yanaweza kutumika kama njia mbadala ya kuongea maneno kwa mdomo ? Ni lugha ya maandishi, Sio kuchora au kuchonga vinyago
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mpina kafanya kosa kubwa sana kuhama ACT. Aliyemkata jina CCM, ndio huyo huyo atakeyemkata kuwa Mbunge

    Ni Kweli MPINA Hauna Mpinzani KISESA hili liko wazi Ila ilikupasa ukubaliana na Ukweli kua chini ya SAMIA SULUHU hutakiwi kua Mbunge Kwa Namna yoyote Ile . Angetaka uwe Mbunge ,asingekukata, Angekubakisha CCM, ila alikukata Licha ya yeye kujua ukweli kua unakubalika. Kilichomfanya akukate...
  13. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Dead Hand: Mfumo hatari wa Urusi wanaoutumia kumtishia Trump

    Trump anapaswa kukumbuka jinsi 'mkono uliokufa' ulivyo hatari," ni maneno ambayo rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev alitumia akihutubia Marekani, suala ambalo liliikasirisha Ikulu ya Whitehouse na kurudisha kumbukumbu za Vita Baridi. Kauli ya Medvedev, ambaye kwa sasa ni naibu mwenyekiti...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania mfumo wa Kidikteta unashidwa CCM amkeni TZ sio China wala Cuba

    Tanzania mfumo wa Kidikteta unashidwa CCM amkeni TZ sio China wala Cuba. Utamaduni wa Tanzania tunapenda uhuru na hatufananini kwenye imani, elimu, makabila huwezi kufanikiwa kwenye mfumo kama wa CCM wanaoutaka wa Cuba na China. Lakini kingine hata viongozi wa CCM wanapenda maisha ya kifahari...
  15. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna mfumo wa kifalme uliovaa suti ya kidemokrasia

    Kinaoendelea Tanzania ni mfumo wa kifamilia, kifisadi na kiukoo unaovaa kanzu ya "amani na utulivu". Tuuchambue kwa kejeli kali na ukweli mchungu: 1. Salma Kikwete kapita bila kupingwa Mama wa kifalme. Si kwa sababu ya uwezo, bali kwa jina tu. Watu wanashangilia kama vile kapita kwa mapenzi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira Portal upo kama Roboti, hauwezi ku-synchronize sifa katika qualifications za elimu

    Ajira portal na serikali yetu mfumo wa ajira ni mgumu sana kuutumia, yaani upo kama roboti hakuna integration na una kinda of conservative mind imagine. Kwa mfano 1. Mtu amesoma kuanzia Form 1 hadi 6 masomo ya biashara let say form 1 hadi 4 (business studies) then 5 na 6 (ECA) yaan Economics...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya BRICS yaunda mfumo wa ikolojia wa AI huru

    China inaendelea kuongoza katika masuala ya teknolojia ya akili mnemba (AI) ndani ya nchi za BRICS ikiwa na 47.2% ya tasnifu zilizotajwa zaidi za AI na kushika nafasi ya juu katika kuweka hataza za AI kimataifa. Ukiungwa mkono na zaidi ya dola bilioni 150 za ufadhili wa serikali, mkakati wa AI...
  18. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha dar es salaam na mfumo wa unyonyaji

    Kwa muhula wa pili nimefuatilia namna Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na kuwaibia vijana wanaowabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia ufundisha
  19. H

    JamiiForums Tanzania Karibuni kujaribu mfumo wetu wa Usimamizi wa Biashara za Mikopo

    Habari, Nawakaribisha wafanya biashara za utoaji mikopo (Microfinance) kuweza kuujaribu mfumo wetu wa usimamizi wa biashara za mikopo. Login - Peloo Tunamba feedback zenu ikiwa kuna maboresho mtahitaji yafanyike
  20. Mwenekaya Nkulu

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya mapato Tanzania na mfumo wa internet

    Mamlaka ya mapato Tanzania yaani tra ni chombo cha serikali cha kusimamia ukusanyaji wa kodi na mapato ya serikali, ni mamlaka ambayo kwa jicho fulani hivi inayojitahidi kuhimiza watu katika kulipa kodi kwa njia na mifumo halali. Mamlaka hii imetoa idhini kwa baadhi ya watu au taasisi binafsi...
Back
Top Bottom