Yeah , kujipendekeza kwa watawala, kushangilia mafisadi wakitumia pesa hovyo na hata kukubali kuhongwa baiskeli,pikipiki n.k ambazo obviously zimenunuliwa kwa kodi zetu tunazokamuliwa kila uchao. Mnaweza kuwabagaza walioelimika na wasomi nguli hawajionyeshi wala kujitokeza kwenye majukwaa ya...
Nakaa naangalia video za vituko vya kushangaza vya mke wa "pastor" Tony Kapola..
Simuoni Mungu ndani yake
Sioni uchaji wa kiroho
Sioni unyenyekevu wa kiimani
Sioni kujishusha, kutubu na kujirudi
Kinachoonekana kwenye kila video ni
Majigambo
Maringo
Majisifu
Kujikweza sana na dharau za kila aina...
Unahitaji mfumo wa kutunza kumbukumbu kama bidhaa, faida na n.k. Kuna mifumo miwili mmoja wa kompyuta unawekewa unatunza kumbukumbu humo humo na kuna mfumo mwingine unatunza taarifa kwenye seva ambapo taarifa unaweza weka kwa njia ya mtandao yaani simu au kompyuta na kuzipata taarifa popote...
Wadau habari ya jioni!
samahani kuna dogo aliomba, mkopo mwaka jana alikosa. Sasa anataka kuomba mkopo tena. Lakini ameshalipia elfu 30 lakini akijaribu kulog in mfumo haufunguki. Shida ni nini wadau?
Kwema Wakuu,
Mwezi uliopita nilihama rasmi kutoka kutumia RAV4 mpaka Subaru Forester ya 2011. RAV4 nliokua nikitumia ni "Kili time" ya mwaka 2000, engine 1ZZ, CC 1770, front wheel.
Sasa nimekuja kwenye Subaru, CC 2000 full time 4wd naona kama mambo hayaendi hivi kwa upande wangu. Yaan mazoea...
Na matokeo yake hata mtu mwema aingie kwa kutumia mfumo huu, cha kwanza unamuharibu na kumfanya mtu mbaya sana.
MFUMO NI MCHAFU KIASI KWAMBA HATA UWE NA NDOTO NZURI KIASI GANI, HATA UWE NA NIA NZURI KIAS GANI HUWEZI KUTENDA LOLOTE.
BADILISHENI MFUMO UWE MFUMO MWEMA IBAKI KUWA NI JUKUMU LA MTU...
Habari wanajamvi!
Utaratibu wa ulipaji serikalini wa fedha zote huanza na maombi ya fedha kwa jambo linalokusudiwa mfano manunuzi au posho na haya maombi ya fedha kwa namna nyingine huitwa dokezo.
Maombi yote huenda sambamba na vielelezo (viambata) vinavyohalalisha uwepo wa maombi hayo...
Katika makabila zaidi ya 120 Tanzania, lipo hata moja lililowahi kupata akili ya kugundua maanishi yanaweza kutumika kama njia mbadala ya kuongea maneno kwa mdomo ?
Ni lugha ya maandishi, Sio kuchora au kuchonga vinyago
Ni Kweli MPINA Hauna Mpinzani KISESA hili liko wazi
Ila ilikupasa ukubaliana na Ukweli kua chini ya SAMIA SULUHU hutakiwi kua Mbunge Kwa Namna yoyote Ile .
Angetaka uwe Mbunge ,asingekukata, Angekubakisha CCM, ila alikukata Licha ya yeye kujua ukweli kua unakubalika.
Kilichomfanya akukate...
Trump anapaswa kukumbuka jinsi 'mkono uliokufa' ulivyo hatari," ni maneno ambayo rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev alitumia akihutubia Marekani, suala ambalo liliikasirisha Ikulu ya Whitehouse na kurudisha kumbukumbu za Vita Baridi.
Kauli ya Medvedev, ambaye kwa sasa ni naibu mwenyekiti...
Tanzania mfumo wa Kidikteta unashidwa CCM amkeni TZ sio China wala Cuba. Utamaduni wa Tanzania tunapenda uhuru na hatufananini kwenye imani, elimu, makabila huwezi kufanikiwa kwenye mfumo kama wa CCM wanaoutaka wa Cuba na China. Lakini kingine hata viongozi wa CCM wanapenda maisha ya kifahari...
Kinaoendelea Tanzania ni mfumo wa kifamilia, kifisadi na kiukoo unaovaa kanzu ya "amani na utulivu".
Tuuchambue kwa kejeli kali na ukweli mchungu:
1. Salma Kikwete kapita bila kupingwa
Mama wa kifalme. Si kwa sababu ya uwezo, bali kwa jina tu. Watu wanashangilia kama vile kapita kwa mapenzi...
Ajira portal na serikali yetu mfumo wa ajira ni mgumu sana kuutumia, yaani upo kama roboti hakuna integration na una kinda of conservative mind imagine.
Kwa mfano
1. Mtu amesoma kuanzia Form 1 hadi 6 masomo ya biashara let say form 1 hadi 4 (business studies) then 5 na 6 (ECA) yaan Economics...
China inaendelea kuongoza katika masuala ya teknolojia ya akili mnemba (AI) ndani ya nchi za BRICS ikiwa na 47.2% ya tasnifu zilizotajwa zaidi za AI na kushika nafasi ya juu katika kuweka hataza za AI kimataifa. Ukiungwa mkono na zaidi ya dola bilioni 150 za ufadhili wa serikali, mkakati wa AI...
Kwa muhula wa pili nimefuatilia namna Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na kuwaibia vijana wanaowabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia ufundisha
Habari,
Nawakaribisha wafanya biashara za utoaji mikopo (Microfinance) kuweza kuujaribu mfumo wetu wa usimamizi wa biashara za mikopo.
Login - Peloo
Tunamba feedback zenu ikiwa kuna maboresho mtahitaji yafanyike
Mamlaka ya mapato Tanzania yaani tra ni chombo cha serikali cha kusimamia ukusanyaji wa kodi na mapato ya serikali, ni mamlaka ambayo kwa jicho fulani hivi inayojitahidi kuhimiza watu katika kulipa kodi kwa njia na mifumo halali.
Mamlaka hii imetoa idhini kwa baadhi ya watu au taasisi binafsi...
Jana nilienda ofisi ya kata kukutana na afisa maendeleo. Lengo langu ni kuingizwa kwenye mfumo wa wajasiriamali wadogo wadogo ili niweze kupata kitambulisho ambacho baada ya kusajiliwa unalipia 20,000 kila baada ya miaka mitatu.
Cha kushangaza ni kwamba inatakiwa niende kusajiliwa...
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo kimoja hapa Dar es Salaam, ninasomea Stashahada Mwaka wa Pili..... nilikuwa na changamoto au kero kuhusiana na usajili wa Vyuoni na NACTEVET ambapo hata mimi nimekutwa na hiyo changamoto na mpaka sasa haijafanyiwa kazi.
Vyuoni humu wanatabia ya kutusajili Wanafunzi wa...
Anonymous
Thread
ajira
ajira serikalini
diploma
mfumo
mifumo
nacte
serikalini
system
taarifa
vyuo
wanaosoma
Nani wa kuisaidia kama kila anayestahili kufanya lolote kulinda Nchi anapewa rushwa anyamaze ,asipotii analazimishwa kutii ,wazee wanaotegemewa wamepewa sega wanalamba ,,,wanaothubutu kutokq wanapewa vifungo vya nyumbani na mambo yanaratibiwa na walafi wenye mission zao kwa kulindwa na mfumo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.