Kutumiwa meseji za maombi ya urafiki

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
67,109
173,908
Natumaini mu wazima.

Ni takribani week mbili sasa napokea sms katika mtandao wa whatsapp na namba ngeni tofauti tofauti nyingi zikiwa ni za pisi tofauti wakijitambulisha mimi ni flani tuko pamoja kwenye kundi flani naomba usevu namba yangu wakiuliza na wewe nikusevu nani. Kimsingi huwa sisevu namba zao ila naishia kuwapa moyo tu kuwa nishasevu.

Je, kuna yeyote ambaye nae ashapitia hio situation? Kwangu inakuwa kama kero sasa maana hazipiti siku 2 lazma watakuja wawili au watatu tofauti. Hofu yangu isije ikawa mabaharia wameweka picha za mashori kwa ajili ya kuvuna nauli za hapa na pale kama ukishobokea ngozi 🤣
 
Actually sikuwa naelewa kuwa wananitafuta kwa kazi gani ila nachodhani kuna mmoja nitamtafuna ili iwe fundisho kwa wengine😀😀😀
Usijidanganye kuwa ni pisi zinakutaka mkuu, hao ni watu wa online and network marketing. Ukishasevu namba zao utaanza kuoa status za mambo ya ukiunganisha watu wawili unapata commission...au unakuta ni watu wa forever au bf suma....ndo njia zao za kupata wadau wapya
 
Natumaini mu wazima.

Ni takribani week mbili sasa napokea sms katika mtandao wa whatsapp na namba ngeni tofauti tofauti nyingi zikiwa ni za pisi tofauti wakijitambulisha mimi ni flani tuko pamoja kwenye kundi flani naomba usevu namba yangu wakiuliza na wewe nikusevu nani. Kimsingi huwa sisevu namba zao ila naishia kuwapa moyo tu kuwa nishasevu.

Je, kuna yeyote ambaye nae ashapitia hio situation? Kwangu inakuwa kama kero sasa maana hazipiti siku 2 lazma watakuja wawili au watatu tofauti. Hofu yangu isije ikawa mabaharia wameweka picha za mashori kwa ajili ya kuvuna nauli za hapa na pale kama ukishobokea ngozi 🤣
😀😀😀,
 
Wapo wengi aisee unakuta ile sms anayokutumia anaifoward tu ukishasave jiandae kuview status either anafanya ujasiriamali flan au wale wazee wa platform gani sijui!

Kuna moja nlikutana nae kwenye group ya event flan kutoka "waja leo waondoka Leo" nlisave aisee manzi kali ila ina mambo mengi Kuna siku anaamka na hzo nguo anaweka status vichupi na nguo kibao, Kuna anaamka na maplatform nikataka nimfanyie high pressing akapost status viewers 700 hv nikaterminate mission
 
Back
Top Bottom