mengi

Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtu mpaka unakuja kuitwa muheshimiwa maghayo au Nyani Ngabu(PhD) unapitia Mengi sana

  2. G

    JamiiForums Tanzania Kukosa desturi ya kuandika Urithi na Wosia na kutowajulisha/husisha watoto kwenye biashara/mali unazomiliki kumesababisha matatizo mengi

    Mtu ni magonjwa na kashafika 60 cha ajabu hajaandaa Wosia wowote wala kuandika Urithi, anaacha kivumbi na kutoelewana pindi akifa. Mtu hawajulishi watoto wake kwamba ana mali fulani, matokeo yake kuna wapangaji wanaweza kujimilikisha nyumba ambazo hawajajenga, watu wanajimilikisha mashamba...
  3. JamiiForums Tanzania Pamoja na mapungufu yanayosemwa na "CCM ya Makonda", CCM imefanya mengi kipindi cha Samia. Kwanini Makonda hajikiti kuyaeleza mbele ya watanzania?

    Kuna jambo linatia tafakari kidogo, CCM pamoja na awamu ya sita, kwa kweli wamefanya mengi sana ya kimaendeleo. Ili kuitendea haki CCM na uongozi wa serikali, lazima yasemwe mikutanoni. Hii ya kutembea na kuaminisha watu kwamba hakuna lililofanyika nadhani si sahihi. Unaita mtumishi mmoja, ana...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Huko Ulaya yalikoanzishwa makanisa mengi makuu, Kuna Nchi yoyote ya kikristo ?

    Kuna nchi yoyote ulaya ya kikristo ? Nimewahi kufuatilia Italia lakini nikaja kugundua wanaruhusu mahusiano yaliyokatazwa pia wanaruhusu kutengeneza filamu chafu
  5. JamiiForums Tanzania Kijana usidharau vijiwe vya kahawa kuna madini mengi sana pale

    Wana Jf kwa mara nyingine tena mwezi huu wa Pili nmeamua kuanzisha Threads hii ya kuhusu vijiwe vya KAHAWA kwa sababu ambazo zina faida nyingi kuliko hasara. Kwa muda sasa nilijiapiza kuzoea katika ya vijiwe vya kahawa ambavyo vitakua Jirani yangu au hata nikiwa katika safari ya ugeni ambao...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna Mambo mengi yanaturudisha nyuma vijana ukitoa Mapenzi 😂

    Kuna Mambo mengi yanaturudisha nyuma vijana ukitoa Mapenzi 😂 Dharau Ujuaji Kukosa Heshima Ubinafsi Chuki/Genye Unafki/Ufitinishaji Majungu/Roho Mbaya Najua huwezi kosa kimoja hapa jitahidi kupunguza sasa 😊
  7. JamiiForums Tanzania Tabia ya kubagua kazi ni kwa sababu ya kutokujua hili

    Mwanadamu umeumbwa kwa mfano wa Mungu. Baadhi ya sifa za Mungu ni kufanya kazi. Tena kwa ufanisi na ubora, huu uwezo kila mtu ameumbwa nao maana kila mtu ameumbwa kwa mfano wa Mungu. Watu wengi wanabagua kazi, na wengine kufanya kazi kwa uvivu bila morali ni kwa sababu wanafikiri dhumuni la...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi watoa kibali cha maandamano kwa CHADEMA. Wawasisitiza viongozi kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani

    SIASA: Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limetoa kibali kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya Maandamano yaliyotangazwa kufanyika Januari 24, 2024 katika baadhi ya Mitaa ya Jiji la Dar Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Kariakoo, Jeshi la...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Maandamano yasiwe ya CHADEMA tu, mambo ni mengi ya kuilalamikia Serikali ya CCM

    Hatimaye imesalia siku moja kufikia 24/1/2024 ambayo ni siku ya kihistoria Tanzania. Ni siku ya mageuzi halisi. Yameandaliwa na kuratibiwa na Chadema kupinga miswada ya sheria za uchaguzi kama ilivyokubaliwa kwenye maridhiano. Hata hivyo tukiweka Kandi lengo la kisiasa tunaomba wananchi hasa wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna dalili mwaka huu 2024 kuwa na majanga mengi ya kiasili.

    Tujiandae kisaikolojia,hali sio nzuri kwa upande wetu..dalili zimeshaanza kujionesha toka mwaka jana mwishoni. Mimi sio mtaalam wa mambo ya hali ya hewa..lakini unaweza kuzingatia nilalosema au ukapuuza..
  11. JamiiForums Tanzania CCM ya Rais Samia, Dkt. Nchimbi na Mwenezi Makonda tuishauri lipi? Mengi yametekelezwa

    WanaJf, Salaàm! Kero nyingi za watanzania zimetatuliwa kupitia UTEKELEZAJI wa Ilani ya uchaguzi. Umeme upo Maji yapo Barabara zipo Mikopo kwa wanafunzi ipo Uwezeshaji wanawake, walemavu, na wazee umefanyika Ajira kwa vijana zimeongezeka Ruzuku ya kilimo ipo Michezo imefadhiliwa nk nk Sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Ameniorodhoshea mahitaji mengi utafikiri mimi ni babaake

    Nilimtongoza kwa Nia ya kumuoa, jobless aneorodhesha mahitaji mengi Hadi nikamchukia ghafla. Mtu alikuwa kwao hana mishe yeyote lakini anataka anataka maisha ya kifahari wakati kwao ni maskini. 1. Simu ya laki saba 2. Kusuka mtindo wa elfu 70 3. Begi la laki moja 4. Kiatu cha elf 50 5. Bundle...
  13. JamiiForums Tanzania Vifo vya watanzania wenzetu vyaacha maswali Mengi

    Vifo vya Watanzania wenzetu Joshua na Clemence vya acha maswali mengi yenye kuhitaji ufafanuzi toka pande zote nne:- 1. Serikali ya Tanzania 2. Serikali ya Israel 3. Serikali ya Palestine 4. Chama cha Hamas Kwa kuanza na taarifa rasmi ya mwanzo kabisa ya Israel kuhusu vijana wetu iliyo toka...
  14. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Iran hali mbaya, wabunge wapiga chini bajeti kwa ilivyo na mapungufu mengi

    Wametoa sababu nyingi ikiwemo bajeti kupunguza utegemezi wa mafuta na kuhamia kwenye kuongeza kutegemea kodi ambayo yenyewe imewakaba wananchi kwenye koo, pia wastaafu wametupwa mbali, bajeti haina mpango nao, yaani matatizo lukuki. Nahisi ndio maana Iran imejinyamazia huku Gaza ikifanywa...
  15. JamiiForums Tanzania Kama makanisa mengi hayafati sheria za agano la kale ni kwanini wanazifata amri 10 za agano la kale

    Kuna sheria kibao ambazo ziliwekwa na Mwenyezi Mungu mwenyewe moja kwa moja kwenye agano la kale. Sheria za wanyama wa kula alituamuru tusile nzi, vinyonga, punda, mbwa, paka, pweza, popo, nguruwe, nyani, mbu, n.k. Sheria za mavazi alituamuru tuvae mavazi ya kusitiri, wanawake wasivae suruali...
  16. JamiiForums Tanzania Maneno mengi kwa wanaojifanya wachambuzi, lengo ni kuivuruga Yanga

    Nimeona watu humu jukwaani, na mitandao mengine kumlaumu kocha wa Yanga kutofanya rotation. Mshabiki wa Yanga mwenye akili timamu hawezi kulilia kocha afanye rotation kwenye mechi ngumu tena ni za klabu bingwa. Mechi ngumu huchezwa na wachezaji wanaoaminika na kocha, lakini watu wanajifanya...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna umuhiu gani wa UN kama mataifa mengi yamepiga kura vita ya Gaza isitishwe lakini bado Israel inaendelea kisa Marekani kapiga kura ya kumpa ruksa?

    Licha ya mataifa makubwa kama Canada, Uingereza, Australia, Ujerumani na mataifa mengine ya ulaya hayakupiga kura lakini Marekani ilipiga kura wazi wazi kuisapoti Israel kuendeleza operesheni za kivita ukanda wa Gaza. Hali hii ilileta matokeo ya kura nyingi hasa kutoka mataifa ya kiarabu kuamua...
  18. JamiiForums Tanzania Watesi wa Chongolo wameshinda: Mengi yaja

    Novemba 28, 2023 nilianza kuona fununu za aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo kujiuzulu. Nikiri ilikuwa nimetokea msibani Bukoba ambako nilikaa siku nne, hivyo sikuwa na taarifa za kinachoendelea mtandaoni. Novemba 29, 2023 nilisafiri kwenda Nairobi, na hatimaye...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wakati nikiwa mchunga ng'ombe Hanang nilifanikiwa kujua kumbe mlima Hanang una kitambi

    Katika hatua za ukuaji wangu nikiwa mdogo zamani! Nilibahatika kupata kazi ya kuchunga ng'ombe huko wilaya ya Hanang! Nikiwa huko porini nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana yakiwemo mbinu za kulinda mifugo, madawa za mitishamba ya binadam, ishara ya mmea kuashilia matukio ya njaa au hatari...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Tutashuhudia mengi kabla ya 2025

    "Kwakuwa ni mwanamke,Ni Muislamu na anatoka Zanzibar itakuwa rahisi kukabiliana naye." Hayo siyo maneno yangu bali ni kauli ya kimya ya wasaka urais. Inaonekana taasisi ya Urais ni tamu sana kwani wasaka urais huwa ni waru wa kuchanganyikiwa kwelikweli kwani wako tayari kufanya lolote ilimradi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…