membe

Bernard Kamillius Membe (born 9 November 1953) is a Tanzanian ACT-Wazalendo politician who was Minister of Foreign Affairs of Tanzania from 2007 to 2015. He served as a Member of Parliament for Mtama constituency from 2000 to 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. tpaul

    JamiiForums Tanzania Musiba amemponyoka Membe lakini Shangazi na mama wa hela ya mboga wamemng’ang’ania; hana pa kuchomokea, anadaiwa jumla ya Tsh bilioni 15.58!

    Subiri kwanza, bado mapema. Cyprian Musiba Majura Muingereza popote alipo anaweza akawa anachekelea kuwa Membe kafariki, hivyo amenusurika kulipa mabilioni aliyokuwa anadaiwa. Anajidanganya sana. Hii ni sawa na kuchekelea kuruka majivu halafu ukatua motoni. Hii ngoma bado mbichi sana! Hukumu ya...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Familia: Membe amefariki kifo cha kawaida, puuzeni uzushi

    Daktari wa Familia ya aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Camilius Membe, Prof.Harun Nyagori, ameongelea kifo cha Membe kilichotokea leo katika Hospitali ya Kairuki Jijini Dar es salaam ambapo amesema Membe amefariki kifo cha kawaida na kuwataka Watu...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wakili: Deni la Membe kwa Musiba liko palepale

    Wakili Jonathan Mdeme, aliyekuwa akimwakilisha mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Bernard Membe (69) kwenye kesi dhidi ya mwanahabari Cyprian Musiba, amesema deni la waziri huyo wa zamani wa mambo ya nje kwa Musiba liko palepale na msimamizi wa mirathi ataendelea alipoishia. Membe ambaye...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Hayati Membe kwa kutojilimbizia mali wala kuwaingiza watoto wake kwenye siasa

    Nimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani. Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna mwanafamilia aliyepachikwa kwenye siasa kwa kubebwa. Amekuwa mtu wa kutokukuiweka familia yake mbele na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Bernard Membe: Ufafanuzi kuhusu Madai na Malipo ya Mdaiwa aliyefariki

    Anaandika Ibrahim Mkamba Inna lillahi wa inna lillahi raj'ughn, Bernard Camillius Membe ametutoka. Taarifa ilipopatikana tu, mara moja maswali yamekuwa mengi endapo sasa mtu aliyemdai hatalipa kwa sababu madai yalikuwa yanahusu mdai kukashfiwa na huyo mkashfiwa ameshafariki. Najibu hapa ili...
  6. ChatGPT

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Bernard Membe na John Magufuli Baada ya Kukutana Mbinguni

    Mara tu baada ya kuwasili mbinguni, Bernard Membe anakutana na Rais John Magufuli wanasalimiana na kuanza kuzungumza, ila punde si punde Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere anawajoin. Membe alimuuliza Mwalimu Nyerere kama alikuwa amefurahishwa na jinsi Tanzania ilivyokuwa ikiendelea tangu...
  7. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amelazimika kukatisha ziara yake nchini Korea Kusini ili kuwahi msiba wa Membe

    Nimepenyezewa taarifa kuwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete amelazimika kukatisha ziara yake Korea Kusini ili kuja kuhudhuria msiba wa aliyekuwa Waziri wake wa Mambo ya Nje ndugu Bernard Membe aliyefariki leo asubuhi. Iliwahi kuvumishwa wawili hawa kuwa wana undugu lakini Rais Kikwete alikanusha na...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Musiba lazima ujue Membe ana wategemezi, wana haki ya kufungua mirathi na kukufilisi

    Kwa umri wa Membe hatuwezi kusema kuwa amekufa mapema au ghafla, na hatuwezi kukihusisha na madai yake kwa Musiba. Warithi wake wakiamua kuendelea kumkaba kohoni Musiba hawezi kuchomoka. Musiba alikuwa mtoto aliyelelewa vibaya. Ni mithiri ya mtoto wa chief wa kijiji aliyewatukana wanakijiji...
  9. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rasmi ugomvi wa Membe na Musiba umeamuliwa na Mungu, Mungu fundi

    Hakika Mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyatolea uamuzi kwa namna anavyoona yeye ikimfaa. Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamuliwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umeamuliwa na Mungu 😅. Mungu fundi nyie!
  10. Hamduni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Ndugu Bernard Membe

    "Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Ndugu Bernard Membe. Kwa zaidi ya miaka 40, Ndugu Membe alikuwa mtumishi mahiri wa umma, mwanadiplomasia, Mbunge na Waziri aliyeitumikia nchi yetu kwa weledi. Pole kwa familia, ndugu, jamaa & marafiki. Mungu amweke mahali pema. Amina" Mhe. Dkt...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kufuatia Kifo cha Bernard Membe, Je, nini Kitatokea kwa Cyprian Musiba?

    Habari kubwa leo ni kifo cha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mhe.Bernard Kamilius Membe, ambaye amefariki dunia katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam. Swali linalogonga vichwa vya watu wengi ni je nini kitatokea kwa ndugu Cyprian Musiba anayejitambulisha kama...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Historia ya Bernard Kamilius Membe 1953-2023

    Bernard Kamilius Membe, (born 9 November 1953- Died 12 May 2023) was a Tanzanian politician. He served as a Minister of Foreign Affairs of Tanzania from 2007 to 2015.He also served as a Member of Parliament for Mtama constituency from 2000 to 2015. Early life and education He was educated at...
  13. Victoire

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki. Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
  14. britanicca

    JamiiForums Tanzania Wanachapana mitandaoni Mwigulu na Makamba itakuwaje Rais akawa Mwinginee kama ilivyotokea kwa Lowassa na Membe

    Nimewaza yale ya Lowassa Vs Membe alafu mwingine ndo akaongoza nchi! Kwa kifupi hawa vijana hawajaiva kushika madaraka makubwa kivile ya nchi wanatakiwa kuwa chini ya Uangalizi, wana familia na kila kitu Ila Uvulana bado unawatawala sana Mtu ambaye umeshakuwa unakuwa na Dalili zifuatazo 1...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Musiba, hayalingani na tamaa ya Membe!

    Sitetei chochote kuhusu yaliyojiri kumhusu mh Membe yakimhusisha mmiliki wa magazeti ya Tanzanite kumdhalilisha mh Membe kwa kumchafua, na sipangani na sheria yoyote ya nchi iliyotumika, ila naiona tamaa kubwa isiyo na mantiki kutoka kwa mh Bernard Membe ya kutaka ujira mkubwa usiolingana na...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

    Salaam Wakuu, Sasa nataka kuona hii ngoma Membe ataichezaje. Bernard Membe Baada ya Mahakama kuu ya Tanzania, masijala kuu Dar Es Salaam kumtaka Cyrpian Musiba kumlipa Bernard Membe TZS 9.9 Bilioni, kwa kosa la kumchafua kupitia magazeti yake, Kampuni ya Yono Auction Mart ilipewa Idhini na...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe ukiacha kuchukua stahiki yako kama Mahakama ilivyoagiza, wewe sio rafiki wa Watanzania!

    Ni haki yako! Ulitukanwa sana na ukadhalilishwa mno! Tafadhali timiza hukumu halali ya Mahakama na chukua fidia dhidi ya udhalimu uliotendewa na Cyprian Musiba. Kumbuka kuwa sio wewe peke yako ulidhalilishwa na Musiba, wewe ni muwakilishi tu, tupo wengi tulioshindwa kwenda mahakamani kumshtaki...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Musiba mpaka Sasa hajaomba msamaha, Membe Shikilia hapohapo

    Kwa mara nyingine tena, Dhalimu baada ya kutenda udhalimu wake badala ya kuukabili uovu wake na kutake responsibility yeye anakimbilia kwa maaskofu ili wamsaidie kubeba udhalimu wake. Iko hivi, Hakuna anayepaswa kubeba uovu wa Mwingine. Hata Kanisani mtu anapoungama, hakuna anayeungama kwa...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kichaa haachiwi fursa ya kufanya maangamizi-Ndugu Bernard Membe ziba masikioni, Mahakama iheshimiwe stay firm.

    Hello JF readers and family. Wazandiki na wanafiki ni wauaji, wakati hao wahuni na wadhenzi wakiandika mengi sana kuhusu senior na historical figure na more specifically a gallant and long serving stateman B. Membe, we didn't hear and see them trying hard and wisely to advise Magufuli and his...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Membe waonee huruma Hawa wake wawili wa Musiba kama umewakatalia viongozi wa dini

    Naomba niseme kwa ufupi sana, Mwera Bernard Membe ana hasira na chuki ya wazi kwa mtukanaji Ciprian Musiba. Hali hii Sasa ni Tete. Yono anatangaza mnada wa mali za Musiba Ijumaa na wanunuzi wameshajaa ofisini kwa Yono na miongoni mwao ni waliotukanwa na Musiba. Membe amekataa ushauri wa kila...
Back
Top Bottom