Nyimbo kali ambazo hazikupewa nafasi katika mainstream media

music mimi

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
441
758
Nakutajia baadhi ya nyimbo kali ambazo zilistahili kuwa kubwa lakini hazikupewa nafasi kwenye mainstream.

All my love - Ryan Leslie
Never die- DJ Drama
Going down- DJ Drama
Hiphop - DJ Khalid
All aboard- Romeo Santos ft Lil Wayne
Not that simple - Mike Posner
Reminded - Tyga ft Adele
Mirage- Chris Brown
Murder to excellence - Jay Z & Kanye
Made in America - Jay Z & Kanye
History - One direction
Marvin room - Drake

Nitajie zako kama unazo....
 
hata za bongo
Ni kwel mkuu unaweza ikuta nyimbo kali balaa ila haina coverage kwenye media, afu nyimbo ya kawaoda imefh
Unika hiyo kali.

Mfano bongo
1. Wimbo wa Diamond -ukilala lala salama, nauelewa kuliko nyimbonzake zote ila hata mwenyewe hakuutengenzea video

2. Wimbo wa lucky dube, unaongelea alimuona msichana njina na baadae wakapotezana, nimesahau jina lake, ila hauvumi kama mama told me na zinginezo.
 
Sent using Jamii Forums mobile app

Nimeupata unaitwa how will i know

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kijana namkubali Sana Huu wimbo ndio nausikiliza Mara nyingi kuliko wimbo wowote anaitwa Future jnr wimbo visawani enjoy it.
 
Back
Top Bottom