media

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna Media inakumbushia yaliyowahi tokea Zanzibar. Ina maana gani?

    Kuna mada hapa niliweka Moderator unaweza kurudisha kichwa cha habari kina sema inawezekana ni kulipa kisasi. Kuna media hipo Facebook inakazania matukio yaliyotokea Zanzibar mfano la kupinduliwa na wale waliohukumiwa kifo mbele ya wananchi. Maandamano ya kupinga uchaguzi kipindi cha mkapa...
  2. srinavas

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Redio zilitangaza umbeya muda mwingi kulenga Wanawake walio nyumbani, sasa hivi ni Mpira tu, je Wanaume ndio wapo nyumbani au hawana kazi?

    Habari za muda huu wadau, Leo nilikuwa na safari fulani hivyo ikanibidi kupanda daladala kwa umbali mrefu kidogo, Kutoka tegeta mpaka Mbagala. Baada ya kupanda daladala nikiri kwamba nimeshuhudia na kujifunza mambo mengi sana, Kwanzia msongamano, Kugombania na pia kukutana na watu mbalimbali...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye uhakiki kwenye Shule za English medium huko ndio jiko la kuwavua uzalendo vijana

    Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media. Watoto wanakesha shule lakini wengi wa walimu wametoka nje ya nchi wamekuja kutufundishia mambo ya ajabu kwa watoto wetu. Wizara...
  4. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ile movement ya ku unfollow wasanii na media imeishia wapi?

    Kulikuwa na movement za kichonganishi za ku unfollow wasanii na media, nguvu imekata au?
  5. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Media za Magharibi zinatumika kuharibu amani yetu

    Sijawahi kuwaona CNN ,DW wala BBC wakiwa karibu na nchi yetu kiasi hiki Tume kuwa tukifanya mazuri mengi hata mabaya vyombo hivi havijawahi kuonekana kujikita na taarifa za nchi yetu ila wakati huu wamekuwa mstari wa mbele sana kurepoti vya kweli na visivyo vya kweli kwa ukaribu na userious...
  6. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Media zetu ni TAKATAKA unatoaje hii taarifa bila kupost hiyo makala?

    Long way to GO Many miles to GO!! tunahitaji uhuru wa vyombo vya habari nchi hii.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wanaandaa wahaini walioachiwa waje kumshukuru mbele ya camera

    Mnanahangaika sana Hili nalo litaongeza hasira zaidi kwa wananchi, mmewapiga na kuwazalilisha vijana wa watu leo mnataka kuwaweka mbela ya camera kumshukuru na kumpaka mafuta mhaini kwa kuwatoa ndani .?
  8. Koffi Annan

    JamiiForums Tanzania Media uchwara za bongo

    Tusiwaseme sana, hao ni watanzania ndugu zetu tunaishi nao, huyo millard angekua kaka yako ungemshauri vipi? Hii ni kazi yetu sote, hao watu maarufu na media ni wachache kuliko sisi, kila mtu angepaza sauti hapo nyuma tusingefika huku, Tatizo ni kwamba wote tumenyamazishwa midomo na wachache...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania JamiiAfrica (Tanzania), IMS (Denmark) na Splice Media (Singapore) waja na “The Good Commons”

    Good Commons imejitolea kukusanya euro milioni 1.5 kusaidia jamii mbalimbali duniani ambazo zinaunda upya namna teknolojia inavyohudumia umma. Tofauti na kampuni kubwa za teknolojia na mifumo mikubwa ya akili bandia (AI) inayojengwa kwa misingi ya ufuatiliaji wa watumiaji na faida, jamii hizi...
  10. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hivi ndio vizazi vya intaneti, mitandao ya kijamii na dijitali

    Hapo vip! Kuna kizazi hiki kinaitwa Generation- millennia (Y),hiki ni kizazi kilicho zaliwa 1981-1996,wanasema wameitwa hivyo kwasababu ni kizazibkilichozaliwa katika nyakati za internet,technology,social media na digital. wanasema hichi kizazi hakiwezi kuishi nje ya haya mambo. Kizazi kingine...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Balile alipanick Media za Tanzania kupewa taswira ya toilet paper kabla ya uchaguzi. Mbona sasa hivi yuko kimya?

    Mwezi Julai 2025, aliyekuwa mtangazaji wa Clouds FM na kipindi cha Power BreakFast, Masoud Kipanya, alichora Cartoon ambayo mtu yupo chooni alafu Toilet paper imeandikwa MEDIA, akiwa na maana kuwa Media zinatumika vibaya kwa maslahi ya wachache na si kwa maslahi ya jamii nzima kutokana na...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Polisi waliokuwa wanalinda Wasafi Media wameondoka

    Wananchi walipanga kuvamia Ofisi na Studio za Wasafi maeneo ya Mbezi Beach, lakini walishindw sababu ya Ulinzi ambao Uliwekwa pale. Wengi waliishia kanisa la Katoliki na Maeneo ya Shoppers... Ndo maana Diamond hakiweza kusema chochote kuhusu Maandamano.. Alishindwa awe uoande gani. Upande wa...
  13. President of China

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The revolution planned by Mr. PAKA, with the support of four European countries during the elections in Tanzania using Kenyan media outlets

    The revolution planned by Mr. PAKA, with the support of four European countries during the elections in Tanzania using Kenyan media outlets and activists to tarnish Tanzania’s image failed Either Kenyans are being used knowingly or unknowingly. The Kenyan media is being used to spread a plan...
  14. The introvert

    JamiiForums Tanzania Wakazi: Media zinatakiwa kuonewa huruma na sio kubezwa. Mnaozilaumu media mlijinunulia vyakula mkajifungia ndani, hamkuandamana!

    Anaandika rapa Wakazi kupitia ukurasa wake wa Instagram: Kauli ya Katibu Mkuu wa UN (Antonio Gutierres) “WHEN JOURNALISTS ARE SILENCED, WE ALL LOSE OUR VOICES” tafsiri yake ni kwamba “Wana Habari wakinyamazishwa, sote tunapoteza Sauti” Tunawalaumu wao kwa sisi kupoteza sauti zetu, ila...
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Media za Tanzania zilivyoripoti matukio ya Uchaguzi Mkuu 2025; Je, tatizo ni uwezo wa Wanahabari au uhuru umesiginwa?

    Wakati Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ulipofanyika tarehe 29 Oktoba 2025, huku Huduma za Mtandao wa Intaneti zikiwa zimezimwa, Vyombo vya Habari vikuu (Mainstream Media) kama televisheni na redio, pamoja na Vyombo vya Habari vya Mtandaoni, vilitarajiwa kutoa taarifa sahihi na zenye uwiano kuhusu yale...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hasira za wananchi kwa Media za Tanzania kukaa kimya kuhusu Mauaji na vurugu zilizokuwa zinaendelea Uchaguzi Oktoba 29

    Media za Tanzania zinapaswa kulaumiwa sanaa kwa kilichotokea na kinachoendelea kutokea haiwezekani media za nje ndiyo zitoe ripoti kuhusu maovu na mauaji yaliyotokea kwa vijana wetu, uchafu unaofanywa na serikali ya huyu mama lakini media za ndani zipo kimya kazi kupaka mafuta Kwa hali hii...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mainstream Media zinafanya upotoshaji kwa kuripoti zoezi la kupiga kura ili watu wasijitokeze barabarani

    Wakuu, KInachoendelea wakati huu media hizi kubwa kubwa zinapost taarifa wakati huu zikiripoti hali na shwali na zoezi la kura linaendelea vizuri, wengine wanasema polisi wamezuia waandamanaji wakati sio kweli. Taarifa zinasambazwa ili umma ujue wananchi hawajatoka barabarani kuzuia uchafuzi...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamtandao mkuu alipotea kwa media kama siku 5 baada ya kutekwa kwa Polepole

    JF Baada ya abduction ya Polepole. Upande wa pili, tukashangaa kiongozi wa wanamtandao ghafla kapotea kwa uso wa Tanzania, mpaka kuzushiwa kuwa kaaga. Tukumbuke mashambulizi ya Polepole yalimlenga zaidi kiongozi mkuu. Anajua ukweli.? Alienda kumwona .? Anajua alipo .? Baada ya kuibuka, ndio...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Police Force has Deployed Over 4,000 Police Officers to Educate Public on Responsible Social Media Use

    The Tanzania Police Force, through its spokesperson, the Deputy Commissioner of Police (DCP) David Misime, has revealed the deployment of more than 3,900 officers across Mainland Tanzania and 388 in Zanzibar to conduct public education on the responsible use of social media Speaking to the...
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa media kutoripoti kero za wasafiri wa Mwendokasi, lakini media zote zimeripoti mabasi mapya UDART

    Media zetu Tanzania zinatusaliti au ni waoga? Sikusikia wala kuona vyombo vya habari vilivyosajiliwa wakihabarisha kero za wasafiri wa Mwendokasi. Taarifa nyingi zimetufikia kupitia Social Media na hapa JamiiForums. Lakini baada ya serikali kutoa mabasi mapya ya UDART, tunaona vyombo vikuu vya...
Back
Top Bottom