President William Ruto Fires Back at Standard Media Over Government Criticism

President William Ruto Fires Back at Standard Media Over Government Criticism

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
440
Reaction score
269
Screenshot_20260624_104818_Instagram.jpg


President William Ruto ameonekana kujibu kwa ukali kile alichokitaja kama "continuous attacks" kutoka Standard Media Group kuhusu utendaji wa serikali yake.
Kupitia ujumbe uliosambaa mtandaoni, Ruto alisema kuwa headlines za Standard ambazo zimekuwa zikiangazia changamoto za serikali yake ni propaganda na haziwezi kuzuia ajenda ya maendeleo ya Kenya Kwanza administration.
Kauli hiyo inakuja wakati Standard imekuwa ikichapisha stories mbalimbali zinazokosoa serikali kuhusu masuala ya uchumi, cost of living, taxation, unemployment, healthcare, corruption allegations na utekelezaji wa ahadi za kampeni.
Ruto alisema kuwa Kenya ni ya wananchi wote na si ya taasisi moja ya habari, akisisitiza kuwa serikali yake itaendelea na agenda ya maendeleo licha ya ukosoaji unaotolewa na baadhi ya vyombo vya habari.
Hata hivyo, critics wanasema media ina jukumu la kuhold government accountable kwa kuangazia changamoto zinazowakabili wananchi. Wanaamini kuwa reports za Standard ni sehemu ya watchdog role ya vyombo vya habari katika demokrasia.
Mjadala huo umeibua maoni tofauti mitandaoni, huku baadhi ya Wakenya wakimuunga mkono Rais wakisema media inapaswa pia kuangazia mafanikio ya serikali. Wengine wanasisitiza kuwa criticism ni muhimu ili viongozi wawajibike kwa wananchi.
Je, Standard Media inaikosoa serikali kwa misingi ya ukweli au ni kampeni dhidi ya administration? Maoni yako ni yapi?
Source: buzzroomkenya
 
Back
Top Bottom