Wazungu vs watu weusi in social media

Wazungu vs watu weusi in social media

Joined
Oct 25, 2017
Posts
36
Reaction score
32
Kuna tofauti kubwa sana kati ya sisi watu weusi especially tunavyotumia social social media na wenzetu . hilo group lipo USA na angalia post za mtu anatka msaada anavyoandika jamii forum. wazungu sio kama wana akili sana ila community zao zinafanya mtu anajua kujielezea na fanya watu waweze msikiliza. matatizo mengi sio siasa ila tatizo linaanza mtu hajui kujielezea na mbaya zaidi katika black society hasa tanzania people do not give f()()k hata iweje unakufa na shida zako.

Kuna watu wanajitahidi sana give value katika community sana nimeweka hizi page zao. na mifano bora ya matumizi ya social media . tanzania sio kwamba hakuna smart people wa sikiliza ila tatizo watu wengi hawajui kujielezea.

Huku katika commercial issue ndoo kuna matatizo mengi sana .hasa katika utoaji wa taarifa ya kina yenye usahihi.mimi nimeweka page ya malisa lengo sio siasa ila watu waweze kuwa na kujua muwe mnaelezea vitu vinavyoeleweka sasa mtu anasema anataka fikisha mil25 je ni bangi au madawa ya kulevya unauza.

WhatsApp Image 2026-07-21 at 9.56.41 AM.jpeg
WhatsApp Image 2026-07-21 at 10.08.18 AM (1).jpeg
WhatsApp Image 2026-07-21 at 10.08.18 AM.jpeg

 
Back
Top Bottom