mdogo wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kike kapotea tokea siku ya ijumaa

    Wakuu,,,kichwa kinauma sana,..malezi ya watoto wa kike ni magumu sana. Dogo mara ya mwisho aliga anaenda kujaza fomu shule,...yaani ndio hawa madogo wamemaliza mitihani juzi ya necta. Sasa kutokea ijumaa alivoondoka ndio hadi sasa hajaonekana. Nilivofikishiwa na bi mkubwa hizi taarifa...
  2. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kwa walimu tu; Bachelor of education in special needs vs Bachelor of education in policy planning and management ipi inamfaa mdogo wangu?

    I salute you kinsmen. Mdogo wangu kutoka kijijini alichaguliwa chuo huku mjini na ndio vile alipata ualimu kama mnavyojua maskini yeye ni ualimu ndiyo unamfaa ameona. Alichaguliwa hiyo Bachelor of education in policy planning and management lakini aliomba Bachelor of education in special...
  3. Zacht

    JamiiForums Tanzania Mdogo Wangu anataka nimfungulie biashara hii

    Wakuu habari Nataka nimfungulie biashara mdogo wangu nikamuuliza kwanza biashara gani amefikilia kuifanya kwa mtaji wa chini ya 500,000 kaniambia kuuza ndizi mzuzu ,Yani anaenda kuchukua mizogo kule morogoro (mbingu) afu anakuja kuuza huku kwa reja reja.(Kwa mafungu ) Kuna mambo nataka...
  4. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu anatafuta kazi ya Maabara maeneo ya Dodoma

    Mdogo wangu kamaliza chuo mwaka 2021 kasomea mambo ya Maabara za Hospitali na anayo leseni hai kabisa kwa sasa anapatikana Dodoma. Anaomba kazi ya maabara za hospitali kwa mkoa wa Dodoma. Natanguliza shukrani nduguzanguni.
  5. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kike kaenda mkesha kwenye makanisa ya kilokole ila nina wasiwasi. Je, kesho akirudi nitakuwa sawa kumdadisi?

    Kwema wakuu, Kama mada inavojieleza. Nimepokea taarifa kwa shingo upande kua mdogo wangu kaenda mkesha kwa makanisa ya kilokole, najua kwenda ibadani ni sawa lakini nahisi kuna mambo yanaweza kuendelea huko. Naomba maoni yenu ila sitapendezwa na lugha chafu.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Ali Kamwe jitahidi kadri uwezavyo ulilipe Kiutendaji zaidi Deni la wana Yanga SC wengi Waliokukulia na Kukuamini, ila kaa mbali na Manara

    Binafsi pamoja na kuwa ni Mpinzani wako ( nikiwa mwana Simba SC ) ila nilipenda na nimependa mno ambavyo umeleta Mabadiliko makubwa katika hiyo Idara ya Usemaji wa Yanga SC. Najua kuwa kuna muda huwa Unanikera / Unatukera wana Simba SC kwa Madongo yako ila kwakuwa Sisi ni Wanamichezo na Watani...
  7. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya Mdogo wangu ana shida hii au ile, haifai

    Hapa JF kila MTU anamuombea mdogo wake chuo Kila MTU anamuombea mdogo wake nafasi za ualimu na polisi. Wadogo zetu ndo sisi wenyewe.
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Ajib uliniumiza mno pale ulipokataa kwenda TP Mazembe iliyokuwa ya Moto kwa Signing Fee ya Milioni 350 na Mshahara wa Milioni 15 kwa Mwezi

    Klabu ya Dodoma Jiji imemsainisha kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu kwa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo msimu ujao akitokea Coastal Union ya Tanga. Mmoja wa viongozi wa timu hiyo ameiambia Mwananchi kwamba bado wanaamini Ajibu ana uwezo mkubwa uwanjani hivyo ataongeza nguvu katika...
  9. thephilanthropist

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kumshauri mdogo wangu Course ya Kusoma

    Kapata matokeo mazuri sana, kwa hiyo Competition sizani kama itakua ni tatizo sana, kubwa anataka kujua course mzuri ya Kusoma. Matokeo. Chemistry A, Physics A , Adv Mathematics A .
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hii kesi mdogo wangu ana haki au hana?

    nna mdogo wangu alikua shule moja mkoa wa Dodoma, akakamatwa na simu shuleni na mkuu wa shule akiwa form 6 siku chache kabla ya mtihani.mkuu akakaa na simu hiyo na mdogo wangu alipomaliza shule akadai simu yake lakini mkuu wa shule amegoma kumrudishia na anadai simu imeharibiwa.Ni kweli sheria...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli: Niliacha kazi nikajiunga masters ili nimsomeshe mdogo wangu chuo

    Kisa cha kweli: Niliacha kazi nikajiunga masters ili nimsomeshe mdogo wangu chuo Hiki ni kisa cha kweli ilinitokea mara tu baada ya kupata kazi katika Shirika fulani hapa nchini. Tangu zamani ndoto yangu kubwa ilikua ni kusoma nje ya nchi kwa scholarship. Mara tu baada ya kuhitimu masomo yangu...
  12. Ma mbwa

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Mdogo wangu amekataa shule, nataka nimtafutie fani ya ufundi asiwe mzigo mbeleni

    Naombeni ushauri kuhusu mdogo wangu wa kiume ambaye hajamaliza hata shule ya msingi na sasa amekuwa mzigo, kwani mawazo ya kusoma hana. Nataka nimtafutie fani (ufundi) ili mbeleni asijekuwa mzigo, kumbuka ni miaka 18+. Naombeni ushauri wa fani inayoweza kumfaa na labda pia kama mnajua chuo cha...
  13. lelulelu

    JamiiForums Tanzania Nimeliwa baada ya kutrade forex hela ya matumizi ya nyumba na nauli ya mdogo wangu kwenda shule.

    dah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex. najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Shetta naomba nikukumbushe kitu muhimu sana " Mtoto wa kike huwaga ni mzuri sana kwa baba akiwa bado haja vunja ungo"

    Akisha vunja ungo she will become a stranger to you. Utabaki unashangaa na kujiuliza, hivi huyu ndio binti yangu yule yule alie kuwaga ananisikiliza na kunitii kwa kila jambo alipokuwa na miaka 10-12 au ni nini hiki? Na hapo ndipo utajua kwanini North na South huombana msamaha kila siku...
  15. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Ujinga tulioufanya mimi na rafiki wa Ma Mdogo wangu unanitesa sana

    Serious Issue Wiki kama mbili hivi zilizoisha nilienda nyumbani kutembelea wazee, kama mjuavyo mapokeo ya huko Nanjilinji huwa ni yenye furaha na vifijo, ilikuwa vivyo hivyo kwangu mie Siku ya pili tokea mapokeo yangu, kulikuwa na sherehe ya birthday kwa rafiki wa Ma Mdogo wangu, basi bhana...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliefanana jina la mama yangu ama mama mdogo wangu hachomoki na ananipenda kweli ni hadi mimi nimwache, kuna nguvu za kiroho ?

    nikiwa shuleni kulikuwa na binti anafanana na jina la mamdogo wangu, sijisifii lakini kiukweli alikuwa anafanya sana jitihada tuwe karibu japo nilikuwa domo zegei, alishajaribu kunipa vizawadi kadhaa, kunitetea mara kadhaa, n.k japo nilimuangusha sana wengine wakamchukua Nilipoanza chuo...
  17. hooligan01

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa mdogo wangu kuhusu ajira ya Tutorial Assistant

    Habarini ndugu zangu nilikuwanaomba ushauri kuna dogo langu anafundisha chuo kikuu cha Dar es Salaam kama Tutorial Assistant na kaitwa kufanya interview TRA kama Tutorial assistant. Yuko anauliza je kuna umuhimu wa yeye kwenda TRA kufanya interview na akaachana na UDSM maana salary scale ya TRA...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maombi ya mkopo demographic info (HESLB)

    Msaada wa maombi ya mkopo wa elimu ya juu(HESLB) nilikuwa namuapplyia mkopo mdogo wangu sasa nimefika katika demograhic info nmejaza fomu vizur inalod tu ainipi murejesho naombeni msaada maana nimekwama siwezi endelea mbele.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kamkataa mke mtarajiwa: Baada ya kujua mama yake alizaa na shemeji yake. Dogo anaona kama anaoa laana

    Habari wana FF. Nina ndogo wangu wa kiume hapa ana 27 years. Sasa alikuwa na rafiki wa kike yani yeye aliona huyu ndo mtarajiwa. Mwaka jana mwanzoni dogo aliitaji kufahamiana sana hasa kifamilia na mpenzi wake. Sasa baadae akaja kujua Baba yake haishi na mama yake. Yeye alisema kuwa kwa Baba...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine. Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu...
Back
Top Bottom