mdogo wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Street brain

    Wakuu mdogo wangu kapata div 4 ya 33

    Wakuu mdogo wangu kapata div 4 ya 33. Ana ufaulu huu hapa kisw C, hist,F civ F, geo F, bio F, eng F, math F, Nishaurini anafaa kusomea nini au ni sehemu gani itakayomfaa maana hapa natafakari na yeye kachanganyikiwa maana alitamani akasomee clinical officer but ufaulu haumruhusu nipeni ushauri...
  2. mdukuzi

    Imekuwaje Ibrahim Ajib ana miaka 26 wakati alisoma darasa moja na mdogo wangu mwenye miaka 36

    Huu ni muujiza naweza kusema hivyo Mdogo wangu ana miaka 36,alianza darasa la kwanza na Ibrahim Ajib Ilikuwakuwaje ,na inawezekanaje Ajib awe na miaka 26 Classnate wa primary kupishana miaka kumi????
  3. CK Allan

    Mdogo wangu Nusrat Hanje, kama uko 'serious' ujasiri mkubwa ni kufanya hivi

    Tufanye ni kweli hukujua chochote mpaka baada ya kuapishwa ndiyo ukajua kumbe umeingizwa chaka, na pia unaomba majadiliano nje ya mahakama, kwa haraka ni kwamba kuna mambo umetofautiana na akina Mdee. Kwa umri wako ili kutengeneza tena heshima yako na imani kwa watu wengi basi jiuzulu huo...
  4. Liverpool VPN

    Nisaidieni kuziondoa hasira za mdogo wangu/dada yangu...

    INTRODUCTION Ni mdogo angu (family friend). Kwao ni wa mwisho kuzaliwa (last born). Ana miaka 26 na ana mtoto mmoja wa kike. Yeye na huyo baba mtoto waliachana ila mtoto anatunzwa fresh. SCENARIO Huyu binti Wana JF ana hasira sana. Na hapo mwanzo nilishawahi kumuhoji akasema ""Muda mwengine...
  5. NetMaster

    Kwetu mimi pekee sijaelimika ila useremala unanibeba, kaka na mdogo wangu walioelimika wanasota, nashauri VETA kabla ya chuo

    Sisemi kwamba watu wasisome, La Haha! bali wawe na "back up a.k.a Plan B, Sio vibaya mtu mwenye degree awe na ujuzi wa kushona, ujenzi, useremala, upishi, n.k. huu ujuzi una uhakika zaidi wa kumlisha kuzidi nafasi za kazi ambazo wachache huajiriwa, anapomaliza chuo awe na uhakika wa kuanza...
  6. She Quoted you

    Mdogo wangu anaacha kusoma C.O ili akasome short course ya flight Operator

    Habari humu, mdogo ameshachaguliwa kujiunga C.O pale TTCIH morogoro, ila anataka aache ili akasome short course ya miezi mi3 flight operation pale TCAA uwanja wa taifa. Kwa wanaoifahamu hii kozi, vipi ajira zake ndani na nje? Wanasema Kupata nje dubai ni rahisi. Points za dogo kuacha medicine...
  7. DR HAYA LAND

    Ushauri Mdogo wangu Amepata Disco chuo mwaka huu namsaidiaje?

    Kama picha inavyojieleza nipo katika mtanziko mkubwa baada ya huyu Mdogo angu Kupata Disco mwaka huu je namsaidiaje wakuu ?!! Je utaratibu wa kufata baada ya hii Disco!? Ni upi?
  8. Checnoris

    Nimeacha kwenda kumsalimia nyumbani mdogo wangu kisa mambo haya ya kina katibu

    Haya mambo yasikieni tu. Mwanamke ni nyoka ambayo inafanyakazi wakati wote. Wanawake wakiwa na changamoto iwe ya uzazi atasingizia mumewe. Nyumba ikiwa haina pesa kosa la mwanaume, mwanaume usipotoa show safi kosa. Nimeacha kutembelea nyumbani kwa ndugu kisa hawa wanawake, nashukuru sana ikiwa...
  9. GENTAMYCINE

    Mdogo wangu Msemaji wa Yanga SC Ally Kamwe naona unaanza vibaya na utapotea mapema

    "Kesho nataka kwenda TFF Kumuombea Msamaha Haji Manara na naamini watanisikiliza na kumsamehe" Ally Kamwe Msemaji wa Yanga SC (Clouds FM Sports Extra). *Waliyopanga watu wa kwenda kuigiza Filamu ya Royal Tour na Rais Samia walitakiwa wamjumuishe na Mchezaji bora Tanzania nzima tena akitokea...
  10. Mpwayungu Village

    Mdogo wangu ameoa ilihali hana kazi anakaa kwa wazazi wetu

    Uhali gani wanajamii. Nina mdogo wangu ana miaka 22 ameoa mwezi uliopita kiufupi walichukuana tu baada ya kupendana na mdada mmoja yupo mitaani Sasa ubaya nikwamba hana kazi yoyote yeye na mkewe wapo tu home chumba chenyewe wanalala chumbani Kwangu Sema mimi nina miezi kama saba sijarudi home...
  11. Mmea Jr

    msaada wenu wakuu kwa mdogo wangu

    wakuu katika harakati za kuomba course mbalimbali za kusoma chuo, mdogo wangu alichangua course zimefuatazo UDOM ( nimeziambatanisha kwenye picha) Lakini mbaka first selection zimetoka kwenye profile yake ambayo alitumia kuombea course hamna notification yoyote inayoonesha labda kakosa na...
  12. B

    Mdogo wangu amepata GPA ya 2.9 Shahada ya Sheria, atapata ajira kweli huyu?

    Eti wadau huyu ataajiriwa kweli au aendelee na mambo mengne?
  13. M

    Nina uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wa mdogo wangu wa Kiume

    Hapa juzi nilileta kisa cha kuachana na mchepuko wangu ila nilikatisha baada ya watu kuunganisha matukio na kunijua so nikaona nikiendelea ni kujivua nguo mimi na yule binti. Sasa baada ya kuachana na yule mchepuko nikawa natafuta mwingine wa kureplace mdogo mdogo. Kuna binti mmoja ninajua...
  14. Vhagar

    Namsaidiaje mdogo wangu huyu angalau awe msafi?

    Hello members! Ni mdogo wangu wa mwisho wa kiume miaka 17+ Nashindwa kuelewa ni malezi au nini. Ila mbona sie wengine ndugu zake hatuko hivyo. Naanza kuhofia asije kuona namnyanyasa. Yaani unaweza kurudi home unakuta kakaa na mavyombo machafu hana habari. Vitu viko hovyo, kupangilia kila kitu...
  15. Mbeya Girl

    Naomba ushauri: Nahisi mdogo wangu ana matatizo

    Habari zenu Nina mdogo wangu wakike umri ni early 20s, amemaliza chuo mwaka jana mpaka sasa yupo tu home Ana tabia yakupenda sana kuandika (vitu mbalimbali kwenye notebook zake) na kusoma vitabu na articles mbalimbali pia anaangalia sana movies, kinacho nifanya niulize ni kwasababu amezidi...
  16. Raymanu KE

    Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

    Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu. Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu ninayempenda kwa dhati Sana.Kwa hyo Naomba mnishauri vizuri baada ya kusoma...
  17. my name is my name

    Huyu mdogo wangu ananitia mashaka

    Nna mdogo wngu wa kiume ana miaka 19. Handsome ana akili. Watoto wa kike hawaishi kujigonga wanamfata hadi nyumbani kisingizio wanakuja kusoma. Watoto wazurii wanamfata lakin hakuna ata goli kutoka kwa mdogo wngu :( Kuna kipndi nilikua nikimkuta na msichana nawaambia wote kwa pamoja "mnapendeza...
  18. M

    Rais Samia: Tundu Lissu ni mdogo wangu tu, mimi ni Rais na ni dada yake

    Binafsi na kwa Umri wangu huu sijawahi kuona Rais mnyenyekevu na mpole kama huyu (She is so simple ever). Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba na kuwasihi watanzania wote wanaopenda amani, utulivu na ustawi wa mtu mmoja mmoja tumuungeni mkono Rais wetu kwani ni hakika anatupenda sana kama Taifa...
  19. U

    Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

    Huyu mdogo wangu yupo kidato cha nne, ninampenda sana na nimekuwa kama mshauri wake hususani kwenye issues za kujikinga na mahusiano kwa ujumla. Humfundisha mbinu za kuepuka vishawishi vya wanaume, kumpa madhara ya mimba na kumsisitiza asome kwa bidii. Kifupi tunapendana. Sasa leo nimekuja hapa...
Back
Top Bottom