mchungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke wako anamwita mchungaji wa kilokole "Daddy" kaa nae mbali, huwezi kumshauri wala kueleweka, ameshaamua nani anamwongoza

    Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.” Hawa wachungaji ni wale wa kilokole wanaosifika kwa miujiza ya kustaajabisha kama kuuza mafuta ya upako, keski za upako, kujaza gesi ya mtungi...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mchungaji apigwa faini ya Sh5 milioni kwa cyber bullying

    Mahakama ya Wilaya ya Kahama imemhukumu Mchungaji Shaniel Sosoa kulipa faini ya Sh5 milioni au kwenda Jela miaka mitatu kwa kosa la la uonevu mitandaoni (Cyber Bullying). Akizungumzia hukumu hiyo, Katibu wa Kanda ya Serengeti ya CHADEMA, Jackson Mnyawami, amesema Mchungaji Sosoa alikuwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimondo: Wanajua uchaguzi ukiwa huru, wa kifuata utaratibu na haki CCM hawawezi kupita

    Mchungaji mstaafu wa KKKT Dkt. Steven Kimondo amesema kuwa chama cha mapinduzi hakitaki kufanya mabadiliko/reforms zinazoombwa ni kwa sababu wanajua uchaguzi ukiwa huru na haki hawawezi kushinda. Mchungaji Kimondo amerejelea maneno aliyowahi kuyasema Balozi Humphrey Polepole kuwa CCM ikifanya...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Jackson Karao: CHADEMA mnayoyapitia tunayaona. Tanzania tunahitaji siasa za vyama vingi kwa vitendo

    Akishiriki Ibada ya mazishi ya aliyekuwa katibu wa #CHADEMA wilaya ya Arumeru, Mchungaji Samweli Karao wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amesema Tanzania tunahitaji kuona siasa za vyama vingi practically, watu wawe na nguvu za kusikiliza hoja za kisiasa za pande zote kwa...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania GE2025 No Reform, No Election yapingwa kila kona, mchungaji ampiga marufuku Heche kuongelea mada hiyo msibani Arusha, Heche aufyata

    Hakika watanzania wameamka, wameona kampeni hiyo ni utapeli wa kisiasa wenye nia ya kuvuruga amani ya nchi. Baada ya kauli hiyo Heche na Golugwa walionekana kutahayari kama wanataka kukimbia
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Samweli Karao apiga Marufuku Kampeni za Siasa Msiba wa aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Arumeru

    Mchungaji Samweli Karao wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayeongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Arumeru, Albert Elias Mollel, amewaonya viongozi wa kisiasa dhidi ya kutumia msiba huo kwa malengo ya kisiasa. Akihubiri mbele ya viongozi mbalimbali...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji: Napata shida kuona wasomi na wabunge wakisema Rais Samia Mitano tena, msidanganye, mwenye kibali ni Mungu

    Mchungaji ameongea kwa hisia kali, lakini ni muhimu tukumbuke kuwa tayari Rais Samia alishatoa katazo mahsusi tusichanganye siasa na dini Katika mahubiri yake akiwa kanisani, mchungaji huyo alizungumzia uchaguzi ujao, akieleza kushangazwa na wasomi na baadhi ya wabunge wanaoanza kampeni za...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimaro KKKT Kijitonyama: Polisi hawajatoka ardhini kuzimu. Ni ndugu zetu

    Wakuu, Akizungumza Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa Jeshi La Polisi sio mazimwi yaliyotoka ardhini na kwamba ni watu wazuri ambazo ni ndugu zetu Jeshi la Polisi sio...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama: Hakikisha Uchaguzi wa mwaka huu unakuacha bila ngeu. Usibaki na ulemavu au kesi mahakamani kisa Uchaguzi

    Wakuu, Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa vijana wahakikishe kwamba Uchaguzi wa mwaka huu hauwaachi wakiwa walemavu au wakiwa na kesi mahakamani Hakikisha Uchaguzi wa...
  10. Donatila

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me, mama Mchungaji wa JF

    Happy birthday 🎉 to me.. Happy birthday to me mama mchungaji wa JF... Asante Mungu kwa kuniongezea zawadi ya mwaka mwingine... NB: Ujana wangu umeurejesha kama Tai Swali: Je, wewe Ujana wako umerejeshewa kama Tai...?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ni sawa Muumini kuungama dhambi kwa mchungaji/padri, Je padri/mchungaji anaungama kwa nani?

    Nashangazwa Sana yaani utakuta jitu kubwa au au mtu mtu mzima kabisa na ndevu sake anaenda kwa mchungaji au padri eti kuungama dhambi zake yaani unaenda kuconfess dhambi zako kwa mwanadamu mwenzio sasa sio kama vituko ni nini? Je huyo padri au mchungaji anaenda kuungama dhambi zake kwa Nani...
  12. kyagata

    JamiiForums Tanzania Huyu mchungaji nae soon atalia kama MC Pilipili

    Huyo mchungaji anaitwa Leonard Nombo Kaamua kujilipua kwa kuoa pisi kali. Eti kinajimwambafai kabisa kuwa kimewazidi kete wanaume wengine. Mimi yangu macho na masikio tu.
  13. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mchungaji mwema. Asema bwana Yesu

    Mimi siyo mtu wa mshahara ,mimi ni mchungaji mwema.Mtu wa mshahara aonapo mbwa mwitu huwakimbia na kuwaacha kondoo wakiliwa na mbwa mwitu. Mimi hata aje hayawani wa namna gani siwrzi kumkimbia bali nitapambana naye ili kuwalinda kondoo wangu. Ni mchungaji gani anawakimbia mbwa mwitu kujificha...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nimefarijika sana kusikia kwa Mchungaji kuwa kumbe makahaba na watoza ushuru wataurithi Ufalme wa Mungu

    Ni kwenye mahubiri ya wiki iloisha nimefarijika sana
  15. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Mchungaji IPm: uislamu umebarikiwa

    Mchungaji IPm amesema;
  16. U

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumaliza mahubiri Mchungaji kuagfiza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ?

    Mchungaji kuuliza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ? Wadau hili ni kwenye Ibada ya. Sabato Kanisa la Wasabato Salasala SDA wiki mbili zimeisha Kwenye Ibada hiyo somo Mkuu ni kuwa Yesu ni Mungu Mkuu bila kujali kama...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mbowe aonekana kanisani kwa mchungaji Kimaro Kijitonyama

    Mara baada ya ukimya wa muda mrefu, Freeman Mbowe — aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) — ameibukia kanisani kwa Mchungaji Kimaro katika Kanisa la KKKT Kijitonyama, jijini Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea Jumapili, Julai 6, 2025, ambapo Mbowe alionekana akiwa...
  18. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Emmanuel Rajabu wa Kanisa la Waadventista wa Sabato atupa jiwe gizani

    Jiwe hili zito limenipata mimi Ponjoro wa Kinondoni nasikilizia maumivu.
  19. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Wale ni Wayahudi wa kutengeneza, msikilizeni huyu mchungaji

    Wale ni Mayahudi wa Kutengeneza👆🏻 Ukweli wa Vita ya Iran na Taifa haram👆🏻 Wayahudi weusi kutoka 🇹🇿 nawasubiri
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa hujui kwa nini mchungaji wako ana bonge la leso, muda wote anajifuta futa madhabahuni? Ni leso za kishirikina, sikiliza ushuhuda huu!

    Mchungaji huyu anasema lesso hizo huwa zimetengenezwa kishirikina ili kuwachezea waumini akili, ili wajae kwenye mfumo wa kuwa misukule kama wale jamaa wa ubungo maji.
Back
Top Bottom