Katika kufundisha umuhimu wakua na busara na hekima kama kijana, akasema “ hata uwe mtanashati au handsome kama kaka yangu pale, kama huna hekima na busara, bas ni kazi bure”
Basi kabisa zima wakawa wananiangalia.
Kisha mo nikajifanya kama sijui kinachoendelea vile. Yani hadi baba mchungaji...
Habari za leo wakuu
Kama kichwa cha habari hapo uu kinavyoeleza, inamuhitaji huyu mzee kufanya majukumu yafuatayo:
1. Awe muwakilishi wangu shambani na awe kama ndie mwenye nyumba na mmiliki wa mali zote (mashamba, mifugo na nyumba zingine zilizo karibu na hayo mashamba)
2. Kua msimamizi mkuu...
Akizungumza na Mwananchi leo, Jumanne Juni 17, 2025, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, amesema uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea ili kubaini ukweli wake.
“Bado uchunguzi unaendelea kufanyika ili tujue uhalisia na ukweli wenyewe na tutaangalia kama alitekwa au kuna...
"Mali mnazoziiba leo mtazifaidia kwa muda mchache, enyi watawala hamtakufa nazo, utakufa na nguo zako, huna adabu utahukumiwa. Mnatesa mayatima, mnatesa wajane, mtaibia wanyonge, Mungu anataka heshima, Mungu anataka haki. Naongea na viongozi mnisikilize viongozi wa nchi, mlio wezi mnisikilize...
"Mtu mmoja akasema kiongozi fulani ni Mungu, nikashika mkono Tanzania hapa? Kiongozi anayesikia anasifiwa Mungu akatae anatafutiwa laana"
"Yoyote anayejua kwamba kuua ni dhambi na akaaua akachukua roho ya mtu, amegeuka kuwa sinagogi la shetani, yeyote anayedhani kufunga mtu bila kosa ni dhambi...
Japo wengi wenu hamuamini juu ya Unabii, lakini Unabii ni really na Manabii wa kweli wapo.
Sasa kama wewe ni Mchungaji, Padre ama Mwijilisti na huamini kwenye Unabii sio tatizo letu.
Mungu huwafunulia Watumishi wake juu ya mambo mbalimbali yatayotokea, na Mungu anapomfunulia Mtumishi wake, sio...
Watu wanauliza na ku - speculate Askofu Gwajima alipo na anafanya nini...
Wengine kina DC wa Ubungo mhuni Albert Msando wanadhani na kudai labda Mchungaji wetu kajificha eti kwa kuwaogopa polisi..
Anadai kama ana haki na yuko sahihi, basi ajitokeze na kueleza nini kimetokea hadi ikawa vile...
Mchungaji huko Nyeri anayeshutumiwa kumbaka mvulana wa miaka tisa ameuliwa na wanakijiji wenye hasira.
Simon Ndegwa, ambaye alikuwa mchungaji katika kanisa la True Disciple Ministry na anayefahamika vizuri na familia ya mvulana huyo, anashukiwa kufanya kitendo hicho cha kinyama kwa wavulana...
Maneno ya Gwajima leo! ⏬
=======
"Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima
"Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa...
Huyu aliyekuwa kada maarufu wa Chadema, baada ya kushindwa uchaguzi na kutokomea ccm, mchungaji msigwa yupo wapi?
Mshitueni wenzake wameanza kuopoa vyeo huku, je! Yeye alitoka kindezi? 😀😀
Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti, Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na ‘Watu Wasiojulikana’ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabri na kueleza kuwa Watu waliomchukua walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi na wanamhitaji kwa ajili ya...
Mchungaji wa kanisa Huduma ya Kristo lililopo mtaa wa FFU kata ya Murieti Jiji Arusha Steven Jacob mwenye umri wa mika 35 ametekwa na watu wasiojulikana asubuhi ya leo Tarehe 16 May 2025 wakati akitoka nyumbani kwake
Wakizungumza mashuhuda na majirani wa eneo hiyo akiwemo baba yake mzazi ambaye...
Nimeingiwa na Roho ya Tamaa sana baada ya kuona video jongeo ya mtoto wa pastor
Yule si mtoto wa 2009 kabisa?
Shetani pita kaa mbali nisije kwenda Jela😅😅😅
Kuna stori inatrend ya mchungaji kumuua mke wake baada ya ndoa na kugundua ni transgender mwamba akuchelewesha kufanya maamuzi magumu je kiimani mchungaji atapata baraka ama dhambi kwa kitendo Cha kuua mwanaume aliyejibadili kuwa Mwanamke
Twende Mbele turudi nyuma, Elimu DUNIA ni kitu muhimu sana.
Inakutoa kwenye Utumwa wa Akili na kukupeleka kwenye SELF -REALIZATION.
kwa Maoni yangu mimi Dr. Megalodon Ndesaruo Mushi; Hotuba ya Rais ya jana imesisitiza sana Amani: huku ikisahau haki na Usawa. Hii ni sawa na kukimbia KIVULI...
Nazani kuna watalamu humu ndani wanaojua elimu za hawa watu mpaka kufikia kupewa jukumu la kuwasemea watu
Ili tuepukana na kukubali kusemewa na watu ambao hawana elimu kumbe uwezo wao wa kuchambua mambo ukawa mdogo,
Ingawa bado kuna wengine na elimu zao bado wanabaki kuwa machawa wa watu fulani
* tuliambiwa tu some SAYANSI tukakataa.
Jamaa amekaa siti ya mbele kabisa na mchumba ake pale ibadani.... pastor anaendelea na mahubiri. .
Ghafla pastor kamnyoshea kidole Shemeji angu (yule Binti)... AKasema "BINTI... MUNGU AMEKUBARIKI ... UTAOLEWA NA ENGINEER"
Watu wanashangilia ... Ali...
Sababu za Kumheshimu Mchungaji Wako
Mchungaji ni Nani
Wachungaji ni watu maalum walioteuliwa na kuchaguliwa na MUNGU kulichunga na kulilisha kundi lake kupitia mafundisho ya Neno la Mungu, maonyo na Maombi (Yohana 21:15-17). Na hawa wanafanya kazi mfano wa zile za kikuhani katika nyumba ya...
Mheshimiwa Mchungaji,
Najaribu kufikiri tu mifumo yetu ya kiutawala.
Chama kinachoshinda ndicho huunda Serikali na kuisimamia.
Zamani hatukuwa na wasomi, kwa sasa wasomi wapo — tatizo ni kubebana katika kupeana position kunafanya wenye kustahili kuachwa na wasiostahili kupenya.
Tiba ya haya ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.