Habari wadau!
Wakati nasoma niliwaza sana kuwa mtu wa system au Takukuru coz kipindi hicho nafasi zilikuwa zinatolewa wazi za kuwa Takukuru.
Nakumbuka jamaa yangu mmoja nilimpigania akaingia polisi, mwengine akaingia magereza ila mimi niliwaambia nyie nendeni mimi nangoja za Takukuru au...
Wanachama wa CHADEMA mkoani Iringa wamependekeza mchungaji Msigwa agombee uenyekiti wa CHADEMA 2023.
Joseph Kibiki anasema CHADEMA Iringa na kanda ya Nyasa kwa ujumla watafanya kila linalowezekana kuhakikisha mchungaji Msigwa anakuwa nahodha wa CHADEMA baada ya mh Mbowe kustaafu kwa mafanikio...
Wamesema kwamba wanafungua kesi hiyo ili kulinda heshima ya Wafungwa wawapo Jela, ambako haki na utu wao unapuuzwa.
Walalamikaji hao ambao pia ni wabunge wa Zamani na WAFUNGWA WASTAAFU wanadai kwamba Wafungwa wa Tanzania wawapo gerezani wanalazimishwa Kupima Ukimwi huku Majibu ya vipimo hivyo...
Wakuu naona Siku Hizi MC Pilipili naye Amekuwa Mchungaji Kama Alivyo Masanja Mkandamizaji, Ministry Yake Inaitwa Wonders Sunday Service, lipo Mbezi Beach Africana [emoji3][emoji3][emoji3]
Kweli duniani kuna mengi. Ni ajabu mwanadamu anamuwinda mwanadamu mwenzake utafikiri tunaishi katika mbuga za wanyama.
Siku kadhaa zilizopita, mimi na Mchungaji wangu pamoja na mke wake, tulinusurika kuuawa. Ilikuwa alasiri, mimi na Watumishi hao wa Mungu, tulienda kufanya huduma katika mji...
Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana.
Yafuatayo ni maelezo kwenye mkutano huo kuanzia mwanzo...
Mchungaji Kibona ni rafiki yangu. Alikuwa mchangiaji sana humu na nafahamiana naye. Namtafuta sana sijamuona siku nyingi, miaka zaidi ya mitatu. kama yupo anitafute anajua namba zangu.
Si unajua bna binadamu tumeumbiwa mitihani? Nilikuwa na stress yangu moja hivi shost wangu mmoja akaniambia ana mchungaji wake flani twende tukaombewe
Kufika kwa mchungaji lazima utoe historia yako yote anzia familia, wapenzi au mume,eneo unaloishi,kazi,mshahara kila kitu.tukafunguka wee yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.