Wakuu nimekuta na hii video sehemu, Mchungaji anawasimanga vijana na kuna mahala anaenda mbali zaidi mpaka kusema Vijana hawezi hata kudai haki, wakipewa Elfu 5 tu wavaa T-shirt.
Hii mijadala ya dini na siasa imekuwa yakawaida sana hivi karibuni na mpaka wa Viongozi wa dini kuonekana wanafanya...
Mchungaji amesema kuwa hana neno na wazee, ana shida na vijana. Asema vijana wa nchi hii ni foolish, hawawezi hata kusoma katiba na kudai haki zao, vijana wanahongwa elfu 5, tshirt, nyama na wali, baiskeli, eti ndiyo wakapige kura. Vijana hawa ni foolish. Anasema neno la Mungu linasema vijana...
Mchungaji Amoni Mwashitete Atoa Wito wa Kijasiri kwa Viongozi wa Dini na Wastaafu
Katika hotuba yake ya hivi karibuni kupitia Mwanahabari digital Mchungaji Amoni Mwashitete alitoa wito mzito kwa viongozi wa dini nchini Tanzania, akisisitiza umuhimu wa kusimama kwenye misingi ya haki bila...
Msibani kwa ndugu zetu marehemu ni Msabato hivyo mwili waombe wa na umewekwa mbele kabisa ndani ya jeneza. Mchungaji akadai hizo siyo Ibada bali ni huduma Akadai Ibada ni dhambi na huendeswa na wakatoliki. Akadai kwamba ni kweli mwili wa marehemu uko mbele lakini hawana Ibada bali wanatoa...
JE, WAISLAMU WAMPIGIA KAMPENI SAMIA?
Andiko hili la Emaus Mwamakula ni la hovyo kabisa!!!!!! Why amegenerilize?
Viongozi wa wote wa Dini ya Kiislamu kutoka nchi nzima [Tanzania Bara?] wamekusanyika muda katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es katika 'Kongamano la Amani Kuelekea...
Rekebisha hicho Jaji alichokisema kuwa umekikosea, then refile. Kama imekuwa struck out, hiyo inakuwezesha ku refile your case!
Let history have it that you fought for what you believed to be Unjust/wrong/unconstitutional!
Nakaa naangalia video za vituko vya kushangaza vya mke wa "pastor" Tony Kapola..
Simuoni Mungu ndani yake
Sioni uchaji wa kiroho
Sioni unyenyekevu wa kiimani
Sioni kujishusha, kutubu na kujirudi
Kinachoonekana kwenye kila video ni
Majigambo
Maringo
Majisifu
Kujikweza sana na dharau za kila aina...
Ukifika Dsm pale mbezi wewe km ni usalama wa taifa unaweza kulia, yaani Kuna wachungaji wengi wanaubili injili pale na wanakili wazi kabla ya kuokoka walikuwa majambazi, na waliisha us sana watu enzi hizo kabla ya kuokoka.
Kama ilo halitoshi, unashangazwa zaidi mtu aliteuliwa na Rais akawa...
Eneo rahisi la kuvutia watanzania wenye shida zilizosababishwa na CCM , ni kuanzisha Kanisa.
Huko ndiko watu kama "Kiboko ya wachawi" alikotapeli maelfu ya watanzania na kuachwa na CCM "atorokee" kwao Kongo na kuanza kuwananga wateja zake wa zamani kuwa ni wajinga.
Leo nimeiona hii Clip ya...
Imeshakuwa kawaida sana kuona status za wanawake wa kilokole wakimweka mhungaji wao na kumuandika "DADDY" yani BABA YANGU.
Wachungaji wa kilokole ni hawa wanaosifika kwa miujiza ya Gesi, Keki za Upako, kufufa maiti, n.k. ukishaona mwanamke wako kakamatwa masikio na aina hii ya wachungaji...
Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.”
Hawa wachungaji ni wale wa kilokole wanaosifika kwa miujiza ya kustaajabisha kama kuuza mafuta ya upako, keski za upako, kujaza gesi ya mtungi...
Mahakama ya Wilaya ya Kahama imemhukumu Mchungaji Shaniel Sosoa kulipa faini ya Sh5 milioni au kwenda Jela miaka mitatu kwa kosa la la uonevu mitandaoni (Cyber Bullying).
Akizungumzia hukumu hiyo, Katibu wa Kanda ya Serengeti ya CHADEMA, Jackson Mnyawami, amesema Mchungaji Sosoa alikuwa...
Mchungaji mstaafu wa KKKT Dkt. Steven Kimondo amesema kuwa chama cha mapinduzi hakitaki kufanya mabadiliko/reforms zinazoombwa ni kwa sababu wanajua uchaguzi ukiwa huru na haki hawawezi kushinda.
Mchungaji Kimondo amerejelea maneno aliyowahi kuyasema Balozi Humphrey Polepole kuwa CCM ikifanya...
Akishiriki Ibada ya mazishi ya aliyekuwa katibu wa #CHADEMA wilaya ya Arumeru, Mchungaji Samweli Karao wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amesema Tanzania tunahitaji kuona siasa za vyama vingi practically, watu wawe na nguvu za kusikiliza hoja za kisiasa za pande zote kwa...
Hakika watanzania wameamka, wameona kampeni hiyo ni utapeli wa kisiasa wenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Baada ya kauli hiyo Heche na Golugwa walionekana kutahayari kama wanataka kukimbia
Mchungaji Samweli Karao wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayeongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Arumeru, Albert Elias Mollel, amewaonya viongozi wa kisiasa dhidi ya kutumia msiba huo kwa malengo ya kisiasa. Akihubiri mbele ya viongozi mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.