Habari za leo wakuu
Kama kichwa cha habari hapo uu kinavyoeleza, inamuhitaji huyu mzee kufanya majukumu yafuatayo:
1. Awe muwakilishi wangu shambani na awe kama ndie mwenye nyumba na mmiliki wa mali zote (mashamba, mifugo na nyumba zingine zilizo karibu na hayo mashamba)
2. Kua msimamizi mkuu wa mashamba yangu na vibarua ninaowaweka kulima au kwa shughuli zingine za muda mfupi
3. Awe anauzoefu wakuchunga mifugo (hili ndilo litakua jukumu lake kuu la kila siku) na awe pia na uzoefu wa kutambua magonjwa mbalimbali ya mifugo (ng’ombe, mbuzi, kondoo na kuku)
4. Awe anauzoefu wa mambo ya kilimo
Majukumu yangu: Chakula, Malazi na Matibabu
Mshahara: Makubaliano
Eneo la kazi: Arusha
Siku ya kuanza kazi: 01/07
Mawasiliano: Njoo DM
UPENDELEO: Akiwa na Mkewe itapendeza Zaidi (ila asije kuishi kwangu na watoto wake)