Mchungaji lilian_mwasha alipoulizwa kuhusu umri sahihi wa binti kuolewa ni umri gani. Kwa upande wake amesema kuwa umri sahihi wa mwanamke kuolewa ni miaka 40.
Chanzo Taarifa: officialmkaliwenu
Ninavyojua tu ni kwamba Wanawake wa huu Umri wa 40 Idara zao zote huwa tayari zimeanza Kuchoka na...
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni chini ya Hakimu Rugemalila imemhukumu Daudi Mashimo kifungo cha miaka miwili na miezi sita jela baada ya kumkuta na hatia katika mashtaka mawili kati ya matatu yaliyokuwa yakimkabili.
Mashimo alikuwa akikabiliwa na mashitaka ya kuvamia na kuishi kwenye eneo la...
Mwaka huu tuna mpango wa kufungw ndoa na huyu mpenzi wangu na tulikubaliana nitume mshenga apeleke posa kwao, Sasa naona amekuja na hoja kwamba kabla ya yote anipeleke kwa Mchugaji wake wa miaka mingi na ana muhamini sana huyu mchugaji wake kwa maono ya mambo ya Nyuma ya pazia, je ni sahii...
Mji wote ulizizima! Mchungaji mashuhuri, anayeheshimika kwa mahubiri yake makali ya utakatifu, alijikuta kwenye kashfa nzito baada ya kufumaniwa na mke wa mtu. Tukio hilo la kushtua lilitokea katika mji mmoja huko Mashariki ya Kati, na chanzo chetu cha kuaminika kimedokeza kuwa Mchungaji huyo...
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM ameibua mjadala mkali kuhusu hali ya CHADEMA, akidai kuwa chama hicho kimepoteza imani kwa...
Katika dunia inayojaa changamoto zisizokwisha—mahusiano yaliyovunjika, matatizo ya kiuchumi, ndoto zilizokwama—watu hutafuta suluhisho kwa njia mbalimbali. Wapo wanaotumia akili zao kutafuta njia halisi za kujinasua, na wapo wanaotafuta muujiza wa papo kwa papo. Kundi la pili mara nyingi huishia...
Huyu Mchungaji watu wanamweshimu sana kutokana na uwezo wake wa kuangusha watu kwenye madhabahu Kwa maombi makali, pia alikuwa vizuri katika kunena Kwa lugha. Siku moja alitaka anifanyie toba ili nipate kuokoka nami nikamkubalia Kwa masharti ya kunijibia maswali kadhaa naye alinikubalia na...
MTU KUMSIKILIZA MCHUNGAJI AU SHEIKHE ZAIDI NI DALILI YA KUKOSA BABA AU KUWA NA BABA DHAIFU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hii ndio sababu wewe kijana wa kiume unatakiwa upambane Sana sio kiuchumi tuu Bali Kimwili, Kiroho na kiakili.
Kama Baba unahitajika ujue mambo mengi Sana. Mambo...
Niliuliza swali hapa, Hivi Dola na CCM Ina uhakika kua Wagombea wa mkutano Mkuu , wanauzika? Hawajaingizwa kwenye mtego wa matumizi makubwa ya nguvu?.
Kilichotokea DODOMA ni mshangao , hamna lugha ya kufaa yakutosha kuelezea !! Ni Kikundi cha watu wachache sana ,kilichofanya Siri kubwa sana...
Juzi nilifungua simu yangu ya smart nikakutana na clip ya mchungaji flani sikuweza kujua ni wa kanisa gani ila maneno yake ni ya kweli kwa utafiti wangu hebu tuone alisemaje
Ukiona mtu amekukosea au anakukosea au anakufanyia mabaya mara kwa mara na hataki kukuomba radhi au kujirudi huna haja ya...
Mchungaji William Folorunsho Kumuyi ni Mchungaji Mwafrika, aliyepata heshima ya kualikwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, tarehe 20/1/2025. Mchungaji huyo alipata nafasi ya kushiriki ibada rasmi ya kumuombea Rais Trump. Mchungaji huyo ni nani hasa na kwanini...
Kuhusu Mafuta ya Upako na mavitu ya aina hiyo
https://youtu.be/xx8rWWCIg6c?si=nbltSobDGPsezWPO
https://youtu.be/I4OtZ1AoGcU?si=2XR4Yn3OPD2ZLN8l
Msikilize hapa kuhusu Hawa wahuni wa Sadaka za kuvunja laana ,kukomboa familia
https://youtu.be/FkDv56OFfU4?si=jN_fOWdHzX-6RLlY
Amani iwe nanyi waungwana
Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa?
Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye
Kijana ana nondo ni balaa
Kamchana chana Mbowe kama karatasi
Anadai kama CHADEA wanaenda kumchagua kiongozi kwa sababu ya pesa Kuna umhimu gan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.