mchungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mchungaji afia gesti akiwa anamuombea maombi ya faragha mrembo wa Kanisani kwake

    Mchugaji Michael Kofi Appiah muanzilishi wa kanisa la Light of Faith Ministry, Tokoradi -Ghana amefariki kifo cha kushtusha baada ya kufia gesti alipokuwa akimuombea msichana mrembo katika shughuli za nje ya kanisa. Uchunguzi wa polisi ulionesha kuwa mchungaji Kofi alikuwa amefika hapo na...
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mchungaji wako anakugundisha neno la Mungu kwa kutumia mkabala ipi wa Kithiolojia kati ya "Systematic theology" na "Biblical theology"?

    Tumekuwa tukifundishwa neno la Mungu na watumishi mbalimbali wengine ni wanazuoni na wengine ni wale waliojifunza kutoka kwa wanazuoni lakini wapo pia wale waliozaliwa na uwezo huo. Ukweli ni kuwa ipo mikabala mkubwa miwili ya kiufundishaji kithiolojia na hapa ndipo tunapoona mambo mengi ambayo...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mke kumheshimu zaidi Mchungaji kuliko mume; ni ushindi mwingine wa Kataa Ndoa

    Mambo ya kushangaza kabisa, mbele ya mchungaji mwanamke ni mpole, mnyenyekevu, anafunga mdomo wake, akisikiliza zaidi kuliko kusema. Hata akisema maneno ni machache tu....Ameen...amina... Njoo kwa mbele ya mumewe sasa, ooooh ni kiranga. Hata mkikosana mkapelekana kwa mchungaji, utakuta ushauri...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kuwaelewa wanawake ila mwanaume unaendaje kanisa la mazingaombwe, muziki mnene na kumtolea sadaka mchungaji aishi kifahari ?

    Ni rahisi kuwaeliwa wanawake wanaoenda makanisa haya kwasababu wao wana hitilafu kidogo kwenye imani, ni rahisi kuvutwa na mazingira haya. Kwao haya makanisa ya miujiza, muziki mnene, ni kama sisi wanaume tunavyoangalia mpira zile kelele, shangwe, kutambiana na mpira ukiisha unasema “leo ilikuwa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Ukisema ninasubiri uteuzi unanitukana

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, amesema kuwa thamani yake kama binadamu haijawahi na haitawahi kutegemea vyeo vya kuteuliwa au kuchaguliwa. Akizungumza katika mahojiano na mtangazaji Neema Msafiri wa Msafiri Online, Msigwa amejibu mapigo kwa wale wanaodai kuwa...
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania Polisi: Mchungaji Yanick Mbombo Cele Hajatekwa, Yabainika Ni Mhalifu

  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mchungaji wa EAGT akutwa amefariki dunia chumbani Moshi

    Mchungani wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) Makimbilio, Manispaa ya Moshi, Jane Mwangalimi amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake alikokuwa akiishi na mjukuu wake wa miaka mitano. Tukio hilo ambalo limetokea Januari 20, 2026 limegunduliwa na mjukuu wake huyo aliyekuwa...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Patrick Kigava: Suala la ufungwaji wa kanisa la Ufufuo na uzima halikutenda haki

    Mchungaji wa kanisa la Redeemed Assemblies of God Tanzania RAGT Patrick Seif Kigava, amekosoa hatua za kufungwa hadi kufunguliwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima chini ya Askofu wake mkuu Mchungaji Dr. Josephat Gwajima akisema kufungwa kwa kanisa hilo hakukuwa kwa haki.
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchungaji Hananja: Unadai maiti, maiti itoke wapi? Nenda kadai Congo

    Mchungaji Hananja amesema watanzania wanaodai maiti za ndugu zao waende wakadai Congo maana Tanzania hizo maiti hazipo.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Where is Mchungaji Peter Msigwa

    Hivi aligombea ubunge? CCM walimpa jimbo? I have lost track of him!!! If not so, yuko wapi? Au bado anasubiri reshuffle ya DCs/RCs anaweza kuambulia
  11. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Kwanini wimbo huu wa Mchungaji Abiud umekuwa maarufu sana?

    Je alichoimba Mchungaji Abiiud kwenye wimbo huu ndo kinatimia?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nabii GeorDavie Moses ateuliwa kuwa Mwakilishi na Balozi wa Amani Afrika Mashariki kupitia Shirika la UN-PAF

    Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Jijini Arusha, Nabii Mkuu GeorDavie Moses, ameteuliwa kuwa Mwakilishi na Balozi wa Amani wa Afrika Mashariki kupitia Shirika la Mabalozi wa Amani la Umoja wa Mataifa (UN-PAF) lenye makao yake makuu Jijini New York, Marekani Taarifa kutoka Marekani...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji: Kuna Mwanamke kashinda uchaguzi 98%, kwa hiyo 2% ndio wanaondamana mtaani?

    Tanzania tumekuwa kituko kwakweli, huu ni zaidi ya udikteta. Samia anafanya Mataifa kuishangaa hii nchi, tuweke masuala ya Jinsia pembeni tujadili kwa fikra na matendo ya binadamu anayesimama kwenye majukwaa na kuongelea utu kisha kuua watu kiunyama Ameshinda uchaguzi kwa asilimia 98, hakuna...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Mchungaji Mtaita hakutekwa tunamshikilia kwa chochezi

    Jeshi la Polisi mkoani Manyara, linamshikilia mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Boay wilayani Babati, Eleth Mtaita akidaiwa kufanya uchochezi. Akizungumza kwa njia ya simu na Mwananchi leo Jumamosi Oktoba 25 mwaka 2025, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
  15. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Mchungaji: Hatutaacha kukemea maovu sababu ni suala la mbinguni siyo la kisiasa.

  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Video ya kusikitisha ikimuonesha mchungaji akiwa ndani ya kaburi la wakristu waliouliwa na kusema wamechoka kuzika wenzao kila siku

    Mauaji ya wakristo kutokana na imani zao huko nigeria yamekithiri sana.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Jamani Mchungaji Peter Msigwa yuko wapi?

    Nilitegemea awe kwenye kampeni kuikàndia Chadema, simsikii! Yuko wapi?
  18. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji: Wasanii wa sasa wamekuwa vyoo vya jamii na sio vioo vya jamii

    Mchungaji ashangazwa na kitendo cha wasanii wa bongofleva na bongomovie kulundikana kwenye mikutano ya siasa,adai kwasasa wamekuwa sio vioo vya jamii tena bali ni vyoo vya jamii. Neno moja kwake Soma pia: Kwa nini wasanii na masheikh ndio wamekuwa mstari wa mbele kujibu mashambulizi?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Bro kama hii ndio type ya wachungaji ambao mke wako anawaheshimu, kufuata ushauri wao, anapeleka watoto wenu kwake, Kazi unayo !

    Kamsave kwenye simu au kumuweka kwenye status kama DADDY ananyenyekea na kumpa attention kukuzidi wewe. yupo tayari kujinyima ili apeleke ahadi au sadaka Yupo tayari kuacha kazi muhimu za nyumbani aende kanisani. Mchungaji akimshauri kitu, hawezi kusikiliza ushauri wako u
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Mchungaji Fadhili Juu Ya Humphrey Polepole Watimia

Back
Top Bottom