mchongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa idadi ya watu waliokamatwa kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali kufikia sitini na mbili Akitoa...
  2. Ushimen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume akikuambia, kuna mchongo naskilizia muwe mnaelewa

    Saizi huyu ni Senegal president na yeye ni first Lady....😊
  3. 5 Nyingi

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kutupatia Ubuyu wa TB Joshua, BBC Waje Tanzania Kutupatia Ubuyu wa Mitume na Manabii wa Mchongo

    BBC Wahini Tanzania mtupe ubuyu wa wanaojiita mitume na manabii wanao wabebesha watu maji, mafuta, vitambaa, sabuni na vyupi vya upako. Naamini BBC kama chombo cha udaku cha kimataifa kitalifanyia kazi ombi hili na kutupa ubuyu
  4. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka?

    Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka? #rushamchongo
  5. CONTRARIAN

    JamiiForums Tanzania Mtengenezee Mwanao kesho yake. Asije kuwa chawa wa hawa chipukizi wa leo

    Mtengnezee Mwanao kesho yenye furaha, mafanikio, malengo n.k. Asitarajie kuishi kwa kuamini Serikali yake itamfanyia Jambo zuri kwa ajiri yake, Mfanye awe wa kujiamini awe wa kujitegemea, ajue furaha yake mtengenezaji ni yeye, ajuae kuna disappointments nyingi sana huletwa na uliowategemea...
  6. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Huu mchongo wa Ukraine ukitiki tushtuane jamani, mjini pangumu

    Ukraine inahitaji vijana kama 450,000 hadi 500,000 toka nje ya nchi kwa ajili ya kupambana na Urusi. Sasa huu mchongo ukitiki wana wenye connection tushituane wajameni. ====== Ukraine could begin recruiting refugees living in Europe in a bid to boost its battle-stricken armed forces. Rustem...
  7. Sharo empress

    JamiiForums Tanzania Misingi 21 Ya Biashara Itakayo fikisha Buashara Yako Hadi Kwa Wajukuu Zako [ MBA YA MCHONGO]

    Hello! Habari za muda huu.... Wazaramo wanasema "Kidire Mwali" Kama hujui kizaramo basi fahamu maana yake ni Mwali yuko uwanjani... Leo ndo ile siku yetu maalumu ya kuanza darasa letu lile la MBA ya MCHONGO Misingi 21 ya Biashara itakayofikisha Biashara yako kwa wajukuu zako...
  8. Objective football

    JamiiForums Tanzania Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

    Hakika dar es salaam ni Mji ulionipa marafiki wengi, network kubwa na hata pesa ya kuishi japo kuna siku mji huu ulinilaza njaa. Asubuhi ya leo wakati natoka mbezi kuja huku mkoani chozi limeni tililika sana(fear of new changes) Doh! nimefika mkoani , nikaenda kuripoti kituo changu cha kazi...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushamba sio dhambi skendo ya Loveness Tarimo jibu jepesi kwa sisi Tuliofika nchi za Asia hasa Thailand huyu ni Ladyboy wa mchongo

    Niwafungue macho wadau wa kukata mbuga angani hasa safari za Asia mahususi nchi maarufu kwa kila aina ya vituko vya shetani. Loveness Tarimo huyu wa kibongo ni ladyboy wa kitanzania na hao wapo wengi sana na wataongezeka sana tu. Usiteseke soma zaidi visit google, and YouTube soma sikiliza...
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aibu: Israel na ushahidi wa mchongo Gaza

    Ni aibu kubwa kwa taifa kama Israel kuwa waongo waongo hivi: 1. Hadi sasa wameshindwa kuthibitisha HAMAS kutumia vituo vya hospitali kwa vita. ==> Hapa wametengeneza hadi clips za manesi fake tokea kwenye ile kambi pendwa ya wale wasiojulikana. 2. Wamejielekeza kuonesha dunia kuwa watoto wao...
  11. William Mshumbusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Timu hajapewa mgunda? Viongozi wa simba wanajiandaa tena kupiga ela ndefu kuchukua kocha wa mchongo.

    Kumpa simba Matola na Cadema ata kwa siku 3 ni ujanja ujanja tu. Kama mgunda akipewa timu mechi ya kwanza tu atafanya wonderful na na Mo atamuelewa hivyo viongozi kukosa upigaji mwingine ws kutosha kupitia. 1. Kugawana posho na marupurupu na kocha huyo. 2. Kupiga dili kupata sehemu ya...
  12. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu mchongo wa viazi vitamu kuuza ramadhani

    Mfano; unalima VIAZI VITAMU sasa hivi target ni mauzo muda wa ramadhani na ndiyo mda wa kuvuna huo. Bei zinakuwaje? Gunia shiling ngapi? Nahitaji ya kulima yapoje?
  13. William Mshumbusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matatizo ya Simba yameanzishwa na Mo na kipa wake wa mchongo. (Wa billion 3). Wachezaji hawana morali kuanzia kambini

    Wachezaji hawana morali kabisa. Hii Ni kutokana na timu kutumia fadha nyingi Sana kukamilisha sajili za kimadili dili. Wakati Caf wakitoa billion 5 za usajili Simba. Viongozi walitumia pesa hizo zote kusajili wachezaji wazuri na kuweka timu kambi uturuki. Baada ya Mo kuona kilakitu kimeenda sawa...
  14. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna hadi Mwanya wa mchongo? Wadada sasa wamezidi

    Nilishangaa nilipokutana na mdada ambae tunajuana miaka na miaka, leo nashangaa ana mwanya, khaa, haya kautoa wapi? Wanachonga meno au wanatanua? Lakini pia wanatafuta nini?
  15. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sold out ya mchongo imebumbuluka Simba Day

    Waliojinunulia tiketi kwa hela Yao walibaki nje ya uwanja na wenye tiketi za boss walikuwa ndani ya uwanja. Kuna swali tena hapo?
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Clouds FM imeshakuwa Radio ya Kubet, vipindi vyote ni "Tuma Buku, Cheza na Buku, Buku Mchongo,"

    Ni aibu kwa level ya Radio kama Clouds kuwa na matangazo yanayohamasisha watu kubet kila dakika. Ubunifu wa kupata mapato umeisha wamebaki kutegemea Buku Buku za wasikilizaji. Clouds imekua radio ya ajabu sana kwasasa. Kama hali imekuwa ngumu wauze hisa tu ili wapate mwekezaji mwingine. Mbona...
  17. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachambuzi bongo hakuna tena, wanatumia artificial intelligence kuandaa makala za mchongo

    GOLI KIPA ILI AWEZE KUWA BORA ANAHITAJI KUWA NA VITU VIFUATAVYO⚽ . 1. Uokoaji: Hii inahusu jinsi golikipa anavyoweza kuokoa michomo inayoelekezwa kwenye lango lake. Uokoaji mzuri unahitaji muda wa mwitikio, uamuzi sahihi, na ufundi katika kukabiliana na mipira inayoingia. 2. Mawasiliano...
  18. Librarian 105

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msimu mpya wa ligi za mchongo! Tunaache kuwa kichwa cha mwendawazimu kitaifa?!

    Ligi ya diwani! Ligi ya mbunge! Uzinduzi unaendelea.... Yaani badala ya kutunga sera ktk halmashauri na wabunge waishauri serikali na washirikiane kuwekeza katika michezo ili kuzalisha ajira mbadala nchini. Wanazindua ligi za kusakia "kura"?! Hii ndo bongo, kila kitu mchongo, kwa mipango...
  19. Boss la DP World

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume Tusijiaibishe: Eti kuna mchongo unausikilizia hebu toa Pesa

    Hivi unajisikiaje kumtumia mtoto wa watu siku nzima halafu unashindwa hata kumpa hela kidogo hata laki 2 tu ya nauli inakushinda? Akikuomba masikini unamjibu eti kuna mchongo unasikilizia. Hii inatuaibisha jamani. Kwanza inakuwaje mpaka inafikia unaombwa pesa? Hujui kuwa wewe ni mwanaume na...
  20. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Mchongo wa Urubani: Je unatapenda kuwa rubani? Vijue vigezo unavyotakiwa kuwa navyo

    JE, NI VIPI VIGEZO VYA KUSOMEA URUBANI? Unataka kuwa rubani? Je, umekosa ndoto nyengine ambayo haitafirisi mzazi, mlezi au mdhamini? Usijali, huu ni utani wenye ukweli ndani yake. Kabla ya kupata dokezo la huko tuendapo, Kwanza tuanze na matumizi matatu ya msingi ya Usafiri wa Anga...
Back
Top Bottom