mchongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa kikristo huchelewa kuoa ama hawaoi ni ushahidi tosha kwamba ndoa za kikristo ni gereza

    Ni kawaida sana kukuta vijana wa kikristo hasa huku mijini na kwenye majiji wanaoa hadi wafike 33. Wengine wanaishi na wanawake majumbani na wana watoto lakini hawana ndoa. Kwa vijana wengi wa kiislam ninkawaida kukuta ashaoa akiwa na 23 hadi 25. Huu ni usbhahidi tosha kwamba ndoa za kikristo...
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Badala ya kutoa magoli ya mchongo sasa marefa wa bahasha za khaki wageukia red kadi za mchongo

    Baada ya mashabiki kulalamika kwamba marefa wanahongwa kuruhusu magoli ya mchongo, sasa wapuliza filimbi hao wa mchongo wamekuja na mbinu nyingine: kudhoofisha timu kiakili na kimwili kwa kuwalima wachezaji red kadi za magumashi. Juzi hapa baada ya kuonekana kuwa wakata miwa wa turiani...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Polisi mnataka kutuaminisha Panya Road wamewazidi kete?

    Habari wakuu, Inasikitisha na kutia hasira kuona tumefikia huku na tunasema kila siku jeshi letu ni kiboko. Kweli Panya Road ndiyo wameshindikana kiasi hiki mpaka kufikia mtu anapoteza uhai na nyie mpo?! Ama huu ni mchongo wa mtu unaoibuliwa kila akitaka kupata maslahi yake anayoyajua...
  4. 44mg44

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bingwa wa mchongo wa NBC Tanzania azalilishwa akiwa nyumban na Tim ndogo sana

    Aibu ya Jana inadhihirisha kuwa lig yetu imeshuka kiwanga na pia inatawaliwa na rushwa,kitendo Cha waamuz wetu kupewa hongo ili waipe Yanga ushindi ndio kimefanya watanzania tuzalilike hapo Jana. Maana haiwezekan bingwa halali apgwe na Tim ndogo namna hyo!!! NDUGu WADAU Wa Soka la Tanzania...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Sayansi za mchongo

    ilikuwa tarehe 25 july 2020 baada ya kuamka asubuhi kwa ajili ya kwenda kwenye mizunguuko yangu ya kila siku nakutana na baridi kali sana. Miaka mingi kidogo wakati nakua kipindi cha baridi kilikuwa ni mwezi wa sita, sasa hii baridi ya mwezi wa saba kwenda wa nane veepe? Utagundua kitu sawa na...
  6. Natafuta Ajira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shuhuda hizi ni za mchongo?

    Nina mashaka na shuhuda za wachakata mbususu humu ndani, sifa za mabinti wanazotoa mara zote zinafanana tako la kwenda, uzuri wa sura, sauti nzuri, shepu nzuri, guu la bia n.k. Kwamba hamjawahi kuchakata za dada zetu wenye sura ngumu? Hamjawahi kuchakata mbususu za wakina dada wenye english...
  7. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi msije hamishia hasira za mshahara mpya wa mchongo kuharibu Sensa 2022

    najua wafanyakaz wengi mtakuwa mmepata nafasi ya kisimamia sensa 2022 chonde chonde sensa ni kwa ajili ya kupanga maendeleo yetu wenyewe ni kama jicho la serikali kujua wapi wapeleke nini najua kumetokea kanjanja kubwa kwenye mishahara mipya ila isiwakatishe moyo mkaharibu hili zoezi! kuna...
  8. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kuonana na nesi wa mchongo dhidi ya tatizo la uume wangu

    Wakuu, Mida hii ndo nafika gheto na uchovu mkali wa mwili ingawa mkuyenge bado unasimama simama tu! Siku ya jana sikuonekana ndani ya jf kuanzia mida ya saa moja jioni kwa kuwa nilimfuata nesi kupata ufumbuzi wa tatizo! Tulikutana kwenye hotel flani, akawa kaagiza msosi sahani mbili na K vant...
  9. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Tumaini Kweka akemewe aache kutumia kodi za Wananchi kumtengenezea Sabaya kesi za mchongo ili apige pesa

    Hapo vip!! Leo natua kwa huyu mtu anaitwa Tumaini kweka ambaye ni naibu DDP wa serikali,kwanza sitaki nimjue sana kwa sasa napata kichefu chefu. Niwazi huyu mtu amemgeuza Sabaya kama project ya kujitengenezea pesa kutoka katika kodi za wananchi pasipo Samia kujua hilo.Wananchi na wanaccm...
  10. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa kutoka Ukraine kanistua tufanye biashara ya Mchongo

    Maisha haya yana risk nyingi sana. Jamaa kanipa dili zito sana. Eti huko Ukraine kuna Bunduki kibao zikizotelekezwa, anaziuza kimagendo kuja huku Africa. Kanishirikisha kwamba nikiweza nimcheki tufanye biashara. Gharama za kusafirisha mpaka mzigo kunifikia ni juu yake. Yani nawaza sana hii...
  11. aise

    JamiiForums Tanzania Huu hapa mchongo wa kufanya kwa kijana apate hela ya kula

    Huu mchongo ni kwayule kijana ambaye amepinda na maisha ya mtaani. Kuna michongo mingi ya kufanya ili "kusogeza siku" huku ukisubiri inshu ya maana. Huu ni mmoja wapo. KUGONGA KOKOTO. KUGONGA KOKOTO ndoo moja ni 200, kwahiyo ukikomaa kwa siku wastani unaweza kugonga ndoo 30. 200 ×...
  12. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Nabii gani huyu wa Mchongo?

    Dah! Kumbe kuna Na Hili,Kama Huna Bora ubaki Home...Jesus where are U?
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Refaa wa Mchongo

    Hakika huyu Mwamuzii wa hii mechi ya leo baina ya Simba na Azam ni refaa wa Mchongo. Unawezaje kukaa penati ya wazi kama ile baada ya mtu kuunawa mpira ndani ya boksi? Soka la Bongo kama siasa za Bongo. Azam wamepigwa!
  14. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Changamkieni huu mchongo wadau unaweza kuwainua kiuchumi

    Habari wana economics? Kuna ishu moja nataka ku share na nyie kwa mtakaoona inafaa mnaweza fanyia kazi. Nimetonywa na mdau wangu alieko kitengo flani cha Polisi huku DSM, kwamba wanakaribia kuuza pikipiki zilizotelekezwa na watu vituoni (Bila shaka huwa mnaziona zilivyo jazana kwenye yadi zao...
  15. koba lee

    JamiiForums Tanzania Washindi wa Mchongo Pesa ni halali au uhuni unafanyika?

    Wakuu habari za majukumu, Nisiwachoshe nidumbukie kwenye mada. Najua wengi hamko tayari kukiri ila ni ukweli kua wengi huwa tunacheza hii michezo ya kubahatisha ukiwemo huu wa mchongo pesa. Sasa tatizo ni kua mbona wanashinda wengine? Mimi nina entries zaidi ya 120 lakini kushinda sishindi...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mchongo wa Kompyuta za Sh milioni 132 huu hapa, Jokate Mwegelo ametumika

    Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa kushirikiana na asasi ya BRAC-Maendeleo, imetoa kompyuta 120 zenye thamani ya Sh milioni 132 kwa shule tatu za Wilaya ya Temeke kwenye mradi wa “Skills for Their Future”. Kompyuta hizo zilikabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo, kwenye hafla...
  17. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

    IGP Simon Sirro leo Agosti 2, 2021 akizungumza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe IGP Simon Sirro leo Agost 2,2021 amefanya mkutano na Waandishi wa Habari ambapo amezungumza mbalimbali kuhusu kukamatwa na Mwenyekiti wa Chadema pamoja na vuguvugu la kutaka kufanya maandamano...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania Chadema, ya sasa ni chama cha siasa au kikundi cha Wanaharakati wa mchongo

    Wanaukumbi. CHADEMA hakina Sera ya chama madhubuti, kila mtu ni msemaji. Vijana wa CHADEMA kumtukana kila mtu anaejaribu kutoa maoni tofauti na chama chao, bila kujua mpiga kura huwa anabadilika kulingana na Sera za wakati uliopo. CHADEMA wameshindwa kuendesha chama kama taasisi ya umma, kwa...
  19. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Namna Rais wa mchongo anavyopatikana

    Leo nawaletea stori fupi kwa njia ya video fupifupi jinsi ambavyo Rais wa mchongo huwa anapatikana. Rais wa mchongo ni Rais ambae amechongwa au kulazimishwa kuwa Rais na mamlaka ambazo zimepewa jukumu la kulinda demokrasia pamoja na haki za wananchi. Rais wa mchongo ni Rais ambae hana kibali...
  20. hiram

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MECHI 3 GOLI 5 TANZANIA ONE WA MCHONGO

    Mechi tatu za kimataifa. Tuanze na SSC vs galax kwa mkapa kala tatu kisha kwa red arrow kala mbili na isingekuwa ile mimaji pale taifa idadi ingezidi
Back
Top Bottom