Baada ya Kutupatia Ubuyu wa TB Joshua, BBC Waje Tanzania Kutupatia Ubuyu wa Mitume na Manabii wa Mchongo

5 Nyingi

JF-Expert Member
Nov 15, 2023
247
594
BBC Wahini Tanzania mtupe ubuyu wa wanaojiita mitume na manabii wanao wabebesha watu maji, mafuta, vitambaa, sabuni na vyupi vya upako.

Naamini BBC kama chombo cha udaku cha kimataifa kitalifanyia kazi ombi hili na kutupa ubuyu
 
Mbona wapo kitambo tu? Ni suala la muda wakiamua watatoa docomentary kuwa mtume fulani si wa kweli
 
Hao bbc wanafiki tu, kwani ni wapi ambako hakuna abradabra za dini ambako watashindwa kutoa documentary kama tu rushidie alitoa kitabu cha aya za kishetani? kuna dini kubwa duniani inaonekana wazi ni ya uongo lakini watu wengi wanaiamini na akili zao zimeoshwa wanaona sawa tu kuna mungu huko
 
Dini gani
 
Mbona wapo kitambo tu? Ni suala la muda wakiamua watatoa docomentary kuwa mtume fulani si wa kweli
Tanzania haiwezi kuwa priority kwa BBC kwa sababu hao ma-prophets na mitume nk wametawala only TZ. Kwa Joshua yeye aliuhadaa karibu ulimwengu mzima hivyo BBC walihitaji kuueleza ulimwengu utapeli wake
 
Hawa manabii kina mwamposa,Suguye ,wanatapeli humu humu ,

BBC hawawezi kupoteza mamilioni ya kufanya utafiti na kuandaa documentary Kwa matapeli ambao hawavuki hata EAST AFRICA ,

Yaani wapoteze mamilioni Kwa tapeli kutoka mbeya , hiyo documentary hata wakiiweka mtandaoni haitaenda Viral
 
Tapeli Gwajima anasema kuwa ana makanisa mpaka japan, tapeli Geo Dav nasikia ni jambazi.
 
BBC Wahini Tanzania mtupe ubuyu wa wanaojiita mitume na manabii wanao wabebesha watu maji, mafuta, vitambaa, sabuni na vyupi vya upako.

Naamini BBC kama chombo cha udaku cha kimataifa kitalifanyia kazi ombi hili na kutupa ubuyu
Bbc wamemaliza upande wao hiyo ya hapa kwetu wafanye Star Tv
 
Back
Top Bottom