Kuna kitu humu mbeleni anataka kukifanya USA kwenye usafiri wa anga
Shirika la anga la NASA limezindua ndege aina ya supersonic engine X59 na ni ya, abiria
Hii ndege Ina speed zaidi ya sauti.
Ni maboresho ya ndege aina ya Concorde zilizokuwa zinatumika huko nyuma.
Hii ndege Ina uwezo mkubwa...
Jana kuna mchina nilikutanishwa nae ni CEO wa kiwanda cha uzalishaji wa marine boards, melamain boards, pliewoods na MDF ambacho wamekijenga pale Mafinga.
Nilimuuliza ABCs za maisha yake hapa Tanzania na akanambia yafuatayo.
1. Yeye alikuja Tanzania kipindi cha ujenzi wa uwanja wa mpira wa...
Lazier lipa bana atujazoea kuringishana huku tunadhulumu watu
ARUSHA: Mfanyabiashara Maarufu wa Madini ya Tanzanite katika Mji wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Saninu Laizer maarufu kwa jina la Bilionea wa Tanzanite amemwangukia Mwekezaji raia wa China, Jun Fang akiomba wakae...
Kiwango cha malipo chenye afadhali kulingana na mzigo unaopiga
Muda wa kupumzika
Uvumilivu/ Tolerance wa kufanya makosa
Uhuru wa kufanya mambo yako kwa kiasi uwapo kazini
Job Security
HUTAJIFUNZA HILI KATIKA SHULE YOYOTE.
° Eneo la Afrika = 30,37 milioni km2
° Eneo la China = 9,6 milioni km2
° Eneo la Marekani = milioni 9,8 km2
° Eneo la Europa = milioni 10,18 km2
● Afrika ni kubwa kuliko Ulaya yote, Uchina na Marekani kwa pamoja.
● Lakini kwenye ramani nyingi za dunia...
Kama Title inavyosomeka. Ninatafuta Lilipo chimbo la Mabati, Misumali, PVC na Chuma(square Pipe, metal sheets na round pipe) bei ya jumla(kiwandani).
Mwenye Chimbo atakula 50k( kunipeleka/ kunielekeza na kudhibitika ni valid).
Nitashukuru sana kama ombi langu litafanyiwa kazi, asanteni na...
Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk.
Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za...
Ni kama vile kuna vita baridi ya kugombea Afrika kati ya Marekani (pamoja na mataifa mengine ya magharibi) dhidi ya China. Kila mmoja anajitahidi kuongeza ushawishi wake barani Afrika kupitia vitu kama uwekezaji, misaada N.K
Kwenye hili la mkataba wetu na DP World ni wazi kuwa mchina amepigwa...
Raia wa Uchina anayefanya kazi katika mradi wa umeme wa maji amekanusha madai yaliyotolewa na wafanyikazi wenzake wakidai alikufuru kwa kutoa maneno ya kashfa kwa Mungu na Mtume Mohammed hali iliyopelekea maandamano huku watu wakidai auwawe.
Nchini Pakistan Madai ya kukufuru yamesababisha...
Raia wa China Li Naiyong amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu , akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka sita likiwemo kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh221 milioni.
Naiyong amesomewa mashtaka yake leo, Februari 15, 2023 na...
Wasalaam JF
Tuwe wakweli mbele za Mungu, mimi kiukweli napenda sana kubet 1X na 2X kwa mzungu yaani meridianbet online, kwa wiki mara 3 kila nikiwaza kuacha nashindwa.
Kama ni kula nakula kweli ila sasa natamani kuacha kabisa nashindwa kwa sababu winners za betting ndio zinanifanya niwe na...
Kwenye piki piki, honda na yamaha na suzuki wametolewa sokoni huku Afrika.
Mabasi na malori mchina kashika soko, Yutong tatu sawa na scania moja, Kwenye malori ni hivyo hivyo.
Sasa siku akiamua kutengeneza gari ndogo za kutembelea, mjapani atapata shida
Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu.
Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni...
Kilichoandikwa hapa ni mawazo binafsi haina uhusiano na siasa wala haiwakilishi upande wowote/kundi la watu!
Tanzania tunaelekea milioni 60 kwa makadilio (sensa itajibu ufasaha). Lakini katika miaka yote zaidi ya 50 na kenda ni kama serikali au nchi haikujipanga na ongezeko hili la watu.
Mwaka...
Pelosi receives medal of honor
Taiwanese leader praised the US House Speaker for her stalwart support of the island.
“The speaker’s courage and actions are deeply inspiring and touching,” Tsai said, according to the South China Morning Post, as she presented Pelosi with one of the highest-rank...
Familia ya Fu Nannan ambaye ni raia wa China aliyeuawa Juni 11, 2022, kwa kupigwa risasi nyumbani kwake Ilala Jijini Dar es Salaam na Mchina mwenzie aitwaye Zheng Lingyao, imeahidi dau la Shilingi Milioni 700 kwa atakayefanikisha kupatikana kwa mtuhiwa huyo.
Fu Nannan, aliuawa kwa risasi wakati...
Mzuka wanajamvi!
Ukiitwa kwenye fursa juwa wee mwenyewe ndio fursa.
"Bado naendesha Ferrari yangu na baadhi yenu hamuwezi hata kununua chakula." Iyo ndio ilikuwa ujumbe wa mwisho wa mwanzilishi wa Crypto currency alivyoandika kwenye group la telegram baada ya kuwatapeli shilingi billion moja...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta mtuhumiwa ZHENG s/o LINGYAO, 42, raia wa China Mkazi wa Dar es Salaam kwa tuhuma za kumuua FU s/o NANNAN, 26, Raia wa China, mfanyabiashara na mkazi wa Kalenga Ilala Dar es salaam.
Tukio hilo limetokea tarehe 11/06/2022, Mtaa wa Kalenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.