mchina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Wale waliotoweka na kapu la sadaka pale Ufufuo na uzima, ndio hao wanaochunguza fuko la pesa za mchina?

    Salaam! Walipofunga utepe kanisa la Ufufuo na uzima,palikuwa na sadaka kwenye kapu, palikuwa na mali mbalimbali,walipovamia na kutawanya watu Kisha kuweka utepe, kulikuwa shwari kabisa. Kinachochanganya Hadi sasa,haijulikani kapu la sadaka walipeleka wapi Hadi Leo, Pana upotevu mkubwa wa mali...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania Maigizo: Bilion 6 kwa Mchina, maandamano Wakatoliki feki

    Matukio ya utekaji, ufiraji, utesaji, kuua na mauaji ya Kimbari Oktoba 29 na kuendelea, yameshaanza kuonesha athari zake kwa wstawala ndani na nje ya nchi. Watamzania wameendelea kuikataa serikali iliyoingia madarakani kiharamu. Imebuniwa mikakati ya kuwaondoa Watanzania kwenye focus ya...
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania China ndio Sababu ya Maduro kutekwa na Marekani, Mchina ni tishio kwa Mmarekani

    Namna Marekani alivyocheza karata zake kwa Venezuela ni kama Demu mkali ale vitu vyako alafu kisha hakukatae badae unamuona anajibebisha kwa mwamba mwingine ambaye wewe ni kama mshindani wake wa muda mrefu, unaamua kumteka demu na kuondoka nae kwa nguvu hili awe na wewe kwa lazima. Hakuna...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Polestar 5 EV Sedan imezinduliwa: Mswiden na Mchina wanatuuzia kwa Mil 320 bila TRA!

    Bado tupo IAA Mobility Ujerumani, na sasa tunaona kampuni ya magari Polestar kutoka Sweden, wakizindua flagship sedan yao Polestar 5. Polestar 5 GT zimezinduliwa za trims mbili, Dual Motors Launch Edition na Performance Launch Edition. Acceleration kutoka 0-100 kph inachukua sek 3.8 tu kwa...
  5. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo silaha hatari ambazo Mchina kazionyesha kwenye gwaride lake! Wachambuzi mpo!

    Najua kaamua kumuonyesha Mmarekani kwamba mimi pia nakuja! Hizi za hadharani, za sirini je??? Nuclear triad China for the first time displayed a full array of nuclear weapons that can be deployed from air, land and sea. H-6N Strategic Bomber The H-6N is a closely watched plane, it has...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Huyu mchina anatafuta kufa au vipi?

    Hawa watu Sasa wamefikia levo nyingine😳
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kama ambavyo Mrusi na Mchina wameshindwa kumsaidia Mu-Iran, Vivo hivo hawataisaidia CCM baada ya Marekan na Ulaya Kutoutambua Uchaguzi 2025

    CCM endeleeni kushupaza Shingo !! Mtaelewa tu hapo Baadae !!.
  8. D

    JamiiForums Tanzania connection ya Mchina anayeuza viatu vya kiume kuna 1 milion in sale hapa

    I will be short nataka number ya mchina anayeuza viatu vya kiume, na 1 million ya buy out. sifanyi biashara na mtu mweusi. ni mchina au muhindi tu. nipeni connection. dm ipo open
  9. nbayoungboy never broken

    JamiiForums Tanzania Mchina amewezaje kupenya rada hadi Palestine

    Tukirudi nyuma Israel ilifunga anga hadi marekani akatengeneza bandari ya mda ili kufikisha msaada gaza. Leo hii mchina kapeleka msaada tena kupitia anga na jets za kivita kwa rada na mifumo ya Israel zingemnasa sababu Lote ni eneo la kivita. Amewezaje au kulikuwa na makubaliano yoyote na...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Eti Engineer mchina aliyesimamia ujenzi uwanja wa Mkapa alinyongwa kwao?

    Hizi stori ziko mtaani,kuwa injinia aliyepewaga kazi ya kusimamia uwanja wa mkapa alinyongwa, Ni baada yakupiga hela fulani kwa kuchakachua BOQ. Ndumbaro na Mwana FA na katibu mkuu wake wangekuwa China wasingeliona jua la kesho
  11. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Mchina mmoja amemtongoza Mdada kwa iphone 99 lakini Bado alikataliwa

    Hakika mapenzi upofu sijui tusemaje kwa ndugu Yetu huyu baada ya kukataliwa kwa kuzipanga iphone zaidi ya 90 😀😀!!! Wakati ambao iphone 99 haziwezi kununua upendo! Ndipo kilichomkuta Jamaa mmoja toka china baada ya kununua iphone 15 pro max na 16 pro max na kuzipanga kwenye umbo la Kopa ❤️ ...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa Caterpillar, Komatsu, Volvo, JCB na Hitachi umeanguka. Kwenye heavy machines Mchina kapindua tena meza

    Miaka ya karibuni imekuwa the new normal kukutana na Chinese brands kwenye game la heavy duty machines, brands kama SANY, XCMG, LiuGong, Zoomlion, Shantui, SDLG na SINOTRUK. Iwe ni bulldozers, excavators, cranes, graders, loaders, compactors, scrapers, trenchers, roller, cold planers, backhoes...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Mchina aweke sh. Elfu 60 kwenye madubwi na kuvuna mpaka laki 5 kila siku na serikali ipo?

    Sasa mpaka vijijini wamefikiwa, mchina kajaza slots machines. M Machine zake nyingi ni sh. 200 ambapo yeye huweka sh. Elfu 60 tu , sawa na sarafu 300 tu za sh. 200 ya Kitanzania. Akiweka anaondoka baada ya masaa 24 anapitia mawindo yake. Hupata mpaka laki 5 au zaidi wakati mwingine. Hivi ni...
  14. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mchina halali njaa

    Ulikuwa unafahamu kuwa chura ni "chakula bora" China?
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa daraja la Mkuyuni na Mabatini Mwanza: wananchi wamkataa mzawa, wataka apewe mchina: Somo-tujifunze uchapa kazi, tusibebabe kwa uzawa

    Mkoa wa Mwanza unajenga madaraja makubwa mawili hapo mjini kati. Tenda kapewa Nyanza Construction Company. Kampuni ya hovyo kabisa ya kizawa ambayo pia ilijenga sehemu ya barabara ya Mwanza-Shinyanga ambayo tangu inakamilika ilikuwa takataka Madaraja hayo yamewashinda kiasi kwamba yamekuwa kero...
  16. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Tumejipangaje kama nchi kuliteka soko la USA baada ya mchina kuwekewa tariff?

    Wote ni mashahidi jinsi vita vya tariffs baina ya US na China kwa jinsi ilivyo ni kwamba trade will go into stop. huwezi weka tariffs za 50% na ukategemea biashara iende. so tunaenda kwenye completely halt ya trade. Ukiangalia US analia un fair play kutoka kwa china na mchina nae anasema...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Aisee mchina kwa sasa hivi kwa magari hashikiki. BYD is everything that tesla promised and never delivered

    Hawa jamaa walifanya move nzuri kwa kumfanya Wolfang Egger kuwa automative designer wa BYD. Jamaa alikuwa anafanya kazi na Audi, Alfa Romeo, Lamborghini. BYD gari zao zina features ambazo zinastahili kuitwa smart cars. China iko kwenye elvel yake kwa sasa. hizi features angekuwa nazo Tesla...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Heri Mchina anaepunguza ukali wa maisha kuliko mzawa anaetupiga, usumbufu wenu unatufanya tuzidi kujaa kwao, Mchina haendi popote, HERE TO STAY !

    Acheni kujibanza kwenye kisingizio cha uzawa, wateja wanachotaka ni kupunguza ukali wa maisha. Tunachotaka kukiona ni ladha ya ushindani wa kibiashara, haiwezekani kitu ya tsh elf 5 unauziwa mpaka elf 30, mchina anakuja kuuza kwa bei rahisi mnaanza kulia Uzalendo, ni uzalendo gani huo wa...
  19. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi apewe mchina

    Ndiyo naingia nyumbani kwangu mida hii. Wife amenunua, nimemkuta ametoa begi lake la nguo anapiga pasi, anataka kurudi kwao anasema " Mashamba Makubwa Nalima umepata mke wewe, niache mimi nirudi nyumbani, nina kwetu!" Ila mimi sikuwa sehemu yoyote zaidi ya pale Morocco nikisubiri bus tokea saa...
  20. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mchina wa boat za Azam anayejinengua kwa miondoko ya Kike analeta tafsiri gani? Je anaburudisha au anakosea?

    Mchina wa boat za Azam anayejinengua kwa miondoko ya Kike analeta tafsiri gani? Je anaburudisha ama anakosea? Tazama Video👇
Back
Top Bottom