Man City Vs Arsenal | Mchezo utakaotoa taswira ya ubingwa

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Mabingwa watetezi wa EPL, Man City watakuwa nyumbani Etihad kuwakaribisha vinara wa ligi hiyo Arsenal.

Arsenal amemuacha Man City kwa alama 5 huku akiwa amecheza mechi mbili zaidi ya City.

Mara ya mwisho Arsenal kumfunga City katika ligi ni mwaka 2015. Utaona ni namna gani mchezo wa leo ulivyo mgumu.

Tupia utabiri wako kuelekea game ya leo itakayoamua hatima ya Ubingwa wa EPL
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom