mchepuko

Mtu yeyote (mwanaume au mwanamke) anaekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanandoa!
  1. Zaburi 23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mke wangu anachepuka

    Kama maada inavyojieleza hapo juu, Nahisi wife anamegwa nje coz kuna mambo anayafanya humu ndani nahisi ipo hivyo. Picha linaanza imefika stage kawa na kiburi nikimwambia kitu anaweza kukujibu staki ikiwa ni moja ya majukumu yake humu ndani so nashindwa kuelewa nini kinasababisha hadi awe hivi...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuta vitu kama dawa za kishirikina jikoni kwa mchepuko wangu

    Umeamua kwa hiyari yako kuwa na mtu, unajua na yeye ana mzazi mwenzie na watoto, umekubali kabisaa Ya nini haya sasa jamani? Siamini kama huyu mchepuko misosi yake yoteee anayonipikia, mpaka namwambia hata mama yangu hajawahi kupika namna hii kumbe ni Dawa. Leo nililala kwake, yeye kaamuka...
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

    Habari za mida wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni member wa JF muda ila imenibidi nifungue ID mpya kutokana na kuepusha sintofahamu za hapa na pale..ningependa nisamehewe mimi sio muandishi mzuri sana ila nadhani ntaeleweka. Mimi ni kijana wa mid 30's ni mwenyeji wa mikoa ya...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kumlipia mchepuko wako kodi ya nyumba?

    Kuna mwanamke hapa namfatilia ni almost mwaka sasa , hajawahi kunipa game japo huwa tunatoka outing mara nyingi lkn nikimgusia mambo ya sex tunagombana hata kusikia anasema mpaka ndoa hataki kutoa mzigo ila nimekuwa msaada kwake kwa mambo mengi lkn mishen yangu ya kusex nae haijatimia, Na kila...
  5. EINSTEIN112

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiamua kuwa na mahusiano na mume/mke wa mtu lazima ukubali kuwa mtumwa

    1. Baby samahani dakika moja, wife anapiga simu. 2. Baby muda umeenda Sana mke wangu atanipigia, wacha niwahi kurudi nyumbani, Kesho saa 12 nitakuwa hapa 3. Baby nataka kuja kulala kwako mke Wangu amefiwa kaenda kwao 4. Baby sintaweza kuja Leo, wife kanibana... Pole kwa kuugua 5. Baby...
  6. Kasomi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ammwagia tindikali (acid) kisha akamuua mchepuko wake

    AMWAGIA TINDIKALI (ACID) KISHA AKAMUUA MCHEPUKO WAKE Mume wa mtu nchini Kenya, Evans Karani (38) ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mchepuko wake kwa jina la Catherine Nyokabi (25) huko Juja, Kiambu. Kwa mujibu wa television ya K24 na Standard Media, Mamlaka za serikali nchini humo zimesema...
  7. SEASON 5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukosea meseji ya kwenda kwa mchepuko ikaenda kwa mpenzi wako/mke wako? Ulifanyaje?

    Umeshawahi kujikuta unatamani kuvunja simu au kupotea duniani kwa dk kadhaa ukirudi duniani ukute ilikua n ndoto si kweli? basi mimi ilishawahi nitokea siku 1 nilichepuka nikadakwa na mpenzi wangu tukaongea yakaisha nikamuomba msamaha akaelewa. Baada ya siku 1 tu ugomvi hata haujasahaulika...
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kaninasa kibao, nifanyeje?

    Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge. Ndugu zangu, naombeni ushauri wenu wa mawazo. Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia message kwenye simu yangu, wife akaichukua haraka haraka na kuisoma. Nikashangaa ameniangalia usoni kisha...
  9. M2WAWA2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutoka kuwa mke wa ndoa na kuwa mchepuko

    Asante Mungu!!! Ni miezi 18 tangu Mahakama kutengua ndoa iliyofungwa miaka 8 iliyopita. Na huu ukawa mwanzo wa maisha mpya, maisha ya utulivu wa akili, amani moyoni na huru wa maamuzi.Na ukawa Mwisho wa maisha ya mateso ya Kihisia, kiakili, na kisaikolojia-hapa wanaume wengi wanapitia mateso...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeona tofauti ya mke na mchepuko. Nimesikitika sana

    Watu tumeumbwa tofauti namna ya kupokea habari za huzuni.naandika habari hii pia kwa huzuni. Leo baada ya kuwa tumepata habari za msiba wa Kiongozu wetu mkubwa. Nliamka usiku na kumkuta Wife mnyonge anatokwa tu na machozi na kamasi. Kumuuliza akanambia kuna msiba. Nlishtuka,nikaruka kitandani...
  11. Nduka Original

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata mchepuko mwenye umri wa miaka 21; nafanyaje nisiendelee nao?

    Nina umri wa miaka 48 nimeoa na nina watoto wanne. Kuna kabinti nilikakuta mahali nikakatania kama nakataka ila ni kazuri. Cha jabu last weekend kakanitafuta tukakaa sehemu na kupiga story. Baada ya hapo kenyewe ndio kanakuja speed kako tayari kuhama kwao eti mimi nikapangishie. Kwa kweli mimi...
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi amenicheat au mimi ndio mchepuko

    .
  13. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko umenizalia 'Twins' kwa surprise

    Kama mjuavyo makazi ni Kerege Sasa kutokana na umbali kwenda kazini (Posta mpya CBD) nikaja kupanga chumba tena kimoja maeneo ya Kinondoni Studio. Basi, nikapata mchepuko wa kupunguza ashki katikati ya wiki (huku na kule) akanasa mimba. Sasa kajifungua Jana (Jumapili) nikawa nipo na wife Kerege...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kuumia kwa ajili ya penzi la mchepuko?

    Wakuu mimi nina mke na nina watoto na mke wangu. Pia nina mwanamke mwingine nilizaa naye. Mkipitia nyuzi zangu za nyuma nilishalileta kwenu hili swala, na mlinishauri vizuri tu. Kwa kukumbushia kwa wale ambao hawakusoma uzi wangu, ni kwamba huyu sijui nimuite mchepuko, japo huwa sijisikii...
  15. Nafaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke aweka rehani nyumba ya mumewe benki achukue pesa na kumpa mchepuko

    Kuna watu ukisikia wameua unaweza kudhani wana roho mbaya sana kumbe ni situation imetokea tu. Leo nilikuwa nachat na jamaa yangu, katika mazungumzo nikamuuliza hivi flani yuko wapi nina muda mrefu sijawasiliana naye kama miaka mitatu hivi. Jamaa akanijibu hata hajulikani alipo kakimbia mwezi...
  16. Nafaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chris Watts - Mwanaume aliyeua watoto wake wawili na mke wake mjamzito kisa penzi la mchepuko

    "Behind every murder, there is a motive" Wanawake wengi wa Kitanzania kama siyo wa Afrika utasikia, mimi ningetamani kuolewa na mzungu. Kwanza ni waaminifu na wana mapenzi ya kweli! Muda mwingine nawatazama nacheka kicheko cha mwenyekiti cha Hiiii! Wanaume wa kizungu wakichepuka wakata kuoa...
  17. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aisee! Mkeo anatosha. Anaweza kukupa kila kitu kuliko mchepuko yeyote

    Nilichogundua wanaume wengi tunadanganyika saana kuliko uhalisia. Kuna watu hatuthamini wake zetu,tunathamini michepuko zaidi. Kuna watu tunawatendea Kwa ukatili wake zetu saana na kuwalea michepuko kama mayai! Kuna watu tunawafanya wake zetu kuona maisha hayana maana kiasi cha kuona ndoa ni...
  18. BILGERT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko unakaribia kuvunja ndoa yangu

    Michepuko mna nini lakin? Wakuu ninaandika kwa masikitiko na majonzi makubwa saana. Nimeoa takribani miezi Tisa sasa. Kama mjuavyo kwetu sisi wanaume hatuachi kuchepuka ikiwa ndo asili na hulka yetu. Namshukuru Mungu,nimebahatika kupata mwanamke mzuri, mwenye upendo na pia Ni mcha Mungu...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mke wako akikuta meseji ya mchepuko ukiomba msamaha na kufanya nae mapenzi anakusamehe?

    Hii nimeishuhudia mara kwa mara maeneo mbalimbali ila Jioni hii ndiyo 'nimeithibitisha' kabisa. Kuna Mke wa Watu 'Kafumania' Meseji ya 'Hawara' ya Mumewe katika Simu yake na kwa jinsi Mwanamke ( Mke ) huyu alivyokuwa akifoka, akipiga kelele, akitishia Kuondoka kurejea Kwao huku akimtukana huyo...
  20. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Yaani hadi hapa unatafuta mchepuko?

    Basi wewe ni bonge la mshamba
Back
Top Bottom