Nahisi amenicheat au mimi ndio mchepuko

Sijaona sehwmu yoyote ukisema kuwa umemgegeda maana lengo la yeye kuja kwako ni alimic kulala nawe.
alafu wewe unaendelea kuchapa chapa marimba ya mzungu and then unashangaa why demu ana kuwa na wanaume wengine!
Be serious braza demu akija kwako marimba ya mzungu pembeni wee unachapa ile papuchi vizuri.
 
We kwanin ushike simu yake!!! Acha hyo kwa usalama wa penz lenu...

Pengine hanayo Ratiba Ya kuacha makando yote awe na wwe tuu:

Ama umuudum!! Hivo ameweka mitego kwa maboya wengine!!! Ndo wanaudumia afu' wewe' unajipigia tu:

Cha Msingi Usimuache bhana ila jitahid Akupende Wwe Tu!!! Kuanzia kitandan mpka.. Kimatendo!!!

Usiwe mkali kwake lakin!! Ajue kuwa umemjua!! Zen yataisha!!!! Na Mtafurahia Penz lenu!!!!!......(Usimchunge Sanaa ....)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom