mchepuko

Mtu yeyote (mwanaume au mwanamke) anaekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanandoa!
  1. REJESHO HURU

    Mama mwenye nyumba elewa kwanini mchepuko hashuki thamani

    Naongelea sehemu ya falagha tu Mchepuko anajiandaa kwa show Mchepuko unajua mapenzi ni uchafu haoni ajabu kunyonya diki hauoni ajabu kuipaka mate diki ya mzee ipenye vizuri, haoni ajabu kutoa denda, mchepuko anajituma kwenye kitanda utasema leo ndio mwisho wa dunia hakuna kiburi chochote...
  2. Equation x

    Kumuacha mkeo/mmeo na kuoa mchepuko, hiyo ni akili ya kawaida?

    Inakuwaje pale uko kwenye ndoa yako ya miaka kadhaa huku mkiwa na watoto, baadaye inatokea ugomvi mnaamua kuachana na mke/mme wako mliyepambana naye kwenye shida mpaka hapo ulipofikia kwenye hatua fulani ya kiuchumi, na kuamua kuishi na mwanamke/mwanaume mwingine aliyekuwa mchepuko wako huko...
  3. M

    Kununua ngono vs kumiliki mchepuko

    Habari ndugu zangu leo naomba nifahamu kulingana na hali ya hewa hasa uhaminifu katika ndoa umepungua siku hizi. Sasa kivi ni salama kiuchumi na kiafya kwa mwanaume kati ya kununua ngono yaani ukiwa na hamu unamtafuta mdada mkali unamlipa ambapo bei zao ni kati ya elfu 5 hadi 20 baada ya hapo...
  4. genau

    Mke wangu kukuta meseji ya mchepuko nifanye nini kumtuliza?

    Mke wangu kakuta sms za mgegedo na mchepuko kwenye simu yangu. Hapa naona vita ya tatu ya dunia inaanza. Nipeni tips huwa mnafanyaje kusolve case kama hizi? pia soma: Kwanini mke wako akikuta meseji ya mchepuko ukiomba msamaha na kufanya nae mapenzi anakusamehe...
  5. T

    Mchepuko wangu anataka nimgegede bila kinga

    Habarini wakuu Kuna mchepuko wangu anataka nimgegede bila kinga. Anasema condom ya nini sasa, yeye anataka nyama to nyama. Nimemwambia lazima tupime zaidi ya mara moja amekubali na anadai yeye amewahi kuwa na mahusiano na mwanaume mmoja tu , tena ndiye aliyemzalisha. Ushauri wenu wadau...
  6. Equation x

    Mchepuko umenizalia ka 'beautifu girl'

    Mchepuko umenizalia ka 'beautifu girl' Kutokana na uzuri wa mtoto, najikuta nahudumia tu bila kuchoka ila nilichojifunza, wengine wanatelekeza uzao wao kutokana na changamoto za kutoa 'product' isiyoeleweka. Kazi kwenu wakuu.
  7. Miss Zomboko

    Mume aua hausigeli kwa kipigo akimlazimisha amwambie mchepuko wa mke wake ni nani

    JESHI la Polisi wilaya ya Igunga mkoani Tabora linamshikilia Ezekiel Jonas (37), mkazi wa mtaa wa stoo Kata ya Igunga mjini, kwa tuhuma ya mauaji ya binti wa miaka 16, Ester Mahona. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Barnabas Mwakalukwa alithibitisha mauaji hayo na kusema kuwa tukio hilo ni la...
  8. Sky Eclat

    Mchepuko atendae visa vya kutikisa ndoa

    Huyu kaka mstaarabu flani umri 39. Amepata uhamisho kwenda Dodoma. Huku Dar alijiweka vizuri, mke wake ana pika mama ntilie lakini ni wale mama ntilie wa kishua ana pick up yake ya kuendea machinjioni na kwenye soko la ndizi. Jamaa amafika Dodoma alikaa guest house wiki moja, wiki ya pili...
  9. T

    Ungemwambia nini mke wako kama ungekuwa umeenda kuchepuka kwenye hotel ya Themihill halafu ikafungwa

    Nimewaza tuu, hivi ndio ukute umeenda kuchepuka na manzi kwenye hoteli kama hiyo ya themi hill alafu ndio yanatokea hayo ya mgonjwa wa corona then inafungwa. Utaambia nn mke wako au mke utaambia nn mume wako?? Tuendelee kuchukua tahadhari
  10. Equation x

    Nini hatma ya kuwa na mchepuko?

    Nini hatma ya kuwa na mchepuko? Kila kitu huwa kina mwanzo na kina mwisho pia. Mfano mlikuwa wapenzi...baadaye mkaishia kuoana. Je, unavyokuwa na mchepuko mwisho wake ni nini hasa? Ni kumuoa awe mke wa pili, au kupindua ndoa iliyopo, au ni kuchapana na kuondoka, au ipi wakuu?
  11. sabuwanka

    Mchepuko namba D

    Habarini za leo wana MMU, katika utafiti wangu nimegundua kuwa kuwa michepuko namba D ( mabinti waliozaliwa 1998-2002)wanachangamoto zifuatazo 1. Wana tamaa ya pesa , Kuna tofauti ya kupenda pesa na kuwa na tamaa ya pesa 2. Wana tamaa ya maisha mazuri bila kujua maisha mazuri ni process ya muda...
  12. Sky Eclat

    Unamnunulia mchepuko kitenge sare na mke wako, wanaume kuna mnalolitafuta

    Mke uliyemtolea mahari na kukabidhiwa na wazazi wake. Amekuzalia watoto, anafua na kupiga pasi nguo zako, anapika chakula watoto wako na wewe hamlali na njaa leo unampa mateso haya. Leo amekwenda saloon kusuka yeboyebo ingawa hupendi ajichanganye ili asisikie ufuska wako. Amekutana na ule...
  13. Equation x

    Mchepuko umepagawa na huduma

    Mchepuko umepagawa na huduma. Kutokana na ninavyomjali; , chuo, matibabu n.k sasa hivi amechanganyikiwa kabisa. Ananiuliza 'nilikuwa wapi siku zote hadi nikaolewa na yule mbulula'. Mbaya zaidi sasa ananiita mume na ananisihi kama ikiwezekana awe mke wa pili. Mi nabaki kumuitikia tu sawa,muda...
  14. DLRider

    Ushuhuda wa nilivyoumizwa na mpenzi wangu - NAWE ANDIKA WA KWAKO TAFADHALI

    Wote tumekuwa katika mapenzi. Kwa bahati mbaya mapenzi huwa yanaumiza na watu tunaumia sana hadi baadaye ndio hayo maumive yanatupa mafundisho. Tusaidiane kwa kuandika visa mbalimbali vya tulivyoumizwa na wapenzi wetu. Mimi Nitaanza: Mwaka juzi nilimpenda sana mdada mmoja Arusha. Tukawa na...
  15. neophyte

    Unataka kufufua uzuri wa ngozi yako bila kuathiri ngozi yako?

    imarisha mwonekano wako na fufua uzuri wako kila mtu anangozi nzuri na yenye kuvutia kwa namna yake lakini kuna mambo yanayo fanya tufubae ngozi zetu zisiwe nzuri kama inavyo takiwa na haya husababishwa na mazingira. tsh9000tu. kama vile kutokwa na chunusi kutokwa na utangotango kuwashwa...
  16. famicho

    Mchepuko umekuja kupanga nyumba ninayoishi na familia yangu

    Habari za jioni wanajf, Waungwana naandika Uzi huu nikiwa na uchungu mwingi sana, na nisijue chakufanya. Iko hivi; Nina mchepuko ambao tuna miezi kadhaa sasa ila sijawahi kumuonesha kwangu, kwa upande wangu Nina mke na watoto wawili. Kwa wiki kadhaa nipo mkoa tofauti na familia yangu, na Leo...
Back
Top Bottom