Wanaume huwa mnafikiria hatari zinazoweza kuletwa na mchepuko?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
Mchepuko si mrithi wa mali zako, hata uk RIP ni nadra kwa mchepuko kupata chochote labda uwe umezaa nae nae napo pia hutegemea umuhimu wa huyo mtoto kwa familia ya mume.

Mnapo kula chakula kwa mchepuko kuna uwezekano maadaui wako kuulipa mchepuko hela ukuondoe duniani. Mfano wewe unampa mchepuko laki mbili kila mkikutana, wanakuja mahasimu wako ki biashara, wanampa milioni tano akuwekee sumu kwenye chakula. Aweke sumu kwenye chakula na sahani na kijiko ulicholia vitupwe mbali kupoteza ushahidi.

1624002837841.png
 
Mchepuko si mrithi wa mali zako, hata uk RIP ni nadra kwa mchepuko kupata chochote labda uwe umezaa nae nae napo pia hutegemea umuhimu wa huyo mtoto kwa familia ya mume.

Mnapo kula chakula kwa mchepuko kuna uwezekano maadaui wako kuulipa mchepuko hela ukuondoe duniani. Mfano wewe unampa mchepuko laki mbili kila mkikutana, wanakufa mahasimu wako ki biashara, wanampa milioni tano akuwekee sumu kwenye chakula. Aweke sumu kwenye chakula na sahani na kijiko ulicholia vitupwe mbali kupoteza ushahidi.

Mchepuko ni hatari ni bora uoe mke wa pili kama dini inaruhusu.
 
Nami naomba niulize hivi KE wanapochepuka huwa wanawaza nini? Hufanya hivyo na kupata mimba huku wakijua mimba siyo ya hubby lakini wanambambikia kwanini lakini wanafanya hivyo? Na wakati mwingine kuokota magonjwa ya zinaa na kuyaleta nyumbani. 😜😜😜
Mchepuko si mrithi wa mali zako, hata uk RIP ni nadra kwa mchepuko kupata chochote labda uwe umezaa nae nae napo pia hutegemea umuhimu wa huyo mtoto kwa familia ya
 
Nami naomba niulize hivi KE wanapochepuka huwa wanawaza nini? Hufanya hivyo na kupata mimba huku wakijua mimba siyo ya hubby lakini wanambambikia kwanini lakini wanafanya hivyo? Na wakati mwingine kuokota magonjwa ya zinaa na kuyaleta nyumbani. 😜😜😜
Mwanamke anapofikia hatua ya kukigawa ujue ndani ni kwa moto.
 
Back
Top Bottom