Nimekuta vitu kama dawa za kishirikina jikoni kwa mchepuko wangu

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,030
71,248
Umeamua kwa hiyari yako kuwa na mtu, unajua na yeye ana mzazi mwenzie na watoto, umekubali kabisaa

Ya nini haya sasa jamani?

Siamini kama huyu mchepuko misosi yake yoteee anayonipikia, mpaka namwambia hata mama yangu hajawahi kupika namna hii kumbe ni Dawa. Leo nililala kwake, yeye kaamuka kwenda zake Kanisani, kaniachaa, ndo nikasema niingie Jikoni nichemshe Chai, sasa kutafuta majani

Asalaleeeeeeeee nakutana na haya majitu. Mdada mzuuuurii, mwenye elimu na kazi yake daaaaaaahhhhh. Au ni Viungo? Kumbe ndo maana siku nikiwepo, yeye anakula Chips tena anakuambiaa, Niletee Chips yai na kuku robo
Mie nakuta misosi misosi


IMG_20210523_101237_502.jpg
IMG_20210523_101224_409.jpg
IMG_20210523_100427.jpg
 
Gaddamit! umenikumbusha demu wangu wa zamani kila nikienda kwake lazima afanye uhakika nile ndio niondoke nikajikuta naendeshwa kama mbuzi mwisho wa siku, haya maisha ni hatari yani tunaishi kwa timing sana.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Hawa watu balaa, hapo nadhan mpango wake ni kukamata jumla

Kitendo chamm kuziona, tayari masharit yameharibika
 
Umeamua kwa Hiyari yako kua na mtu, unajua nayeye ana mzazi mwenzie na watoto, umekubali kabisaaa


Yanini haya sasa jamaan?

Siamini kama huyu mchepuko misosi yake yoteee anayonipikia, mpaka namwambia Hata mama yangu hajawah pika namna hii kumbe ni Dawa


Leo nililala kwake, yeye kaamuka kwenda zake Kanisan, kaniachaa, ndo nikasema niingie Jikon nichemshe Chai, sasa kutafuta majani

Asalaleeeeeeeee nakutana nahaya majitu

Mdada mzuuuurii, mwenye elimu na kazi yake daaaaaaahhhhh



Au ni Viungo??? Kumbe ndo maana siku nikiwepo, yeye anakula Chips tena anakuambiaa, Niletee Chips yai na kuku robo

Mie nakuta misosi misosiView attachment 1794828View attachment 1794829View attachment 1794830
Kwisha habari yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom