Habari za jumapili wakuu?
Nipo hapa na wazee wangu ambao walikuwa mabaharia hapo zamani (walistaafu ubaharia kutokana na umri pamoja na kipato kuwa limited), tukipata moja moto moja baridi huku tukibadilishana mawazo hasa kuhusu wanaume kuhonga michepuko, huku familia zao zikiwa hazina ramani...
Miaka mitatu nyuma nilipata semina ya kikazi Morogoro nikakutana na Mama mmoja mjane ambae ki ranki kazini ni senior kwangu yupo vizuri kiuchumi ana nyumba zake mbili na usafiri na ana mtoto mmoja wa kike ambae nae kaolewa.
Nikajikuta tumeingia kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa vile huku...
Wanajukwaa heri ya kumaliza mwaka 2021 na Mungu awajalie tuweze kuona mwaka 2022.
Wakuu nisiwachoshe mimi nina mchepuko wangu ambao umenipenda kupindukia hata sijui nieleze vipi na huu ni mwaka wa sita tuko kwenye mahusiano. Huyu mchepuko wangu wako mapacha tena wa kufanana na wamefanana kweli...
Habari yako wapendwa poleni na changamoto za usafiri kwa wale wanaowahi sensa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naomba moja kwa moja niende kwenye uzi husika bila kupoteza muda. Imekuwa ni tabia ya kawaida kwa baadhi ya wanaume kutafuta nyumba ndogo (mchepuko) kwa ajili ya starehe binafsi...
Wakuu salama? Leo naona hali ya hewa kama imechafuka ghafla baada ya huyu dada kunambia habari za pisi yangu aka mchepuko.
Leo tulikua wote akaniuliza kwa utani “sarah” ni nan kwako nikamwambia simjui nilishtuka kidgo akanionesha na picha zake alizopost jana status akanambia sindo hyu ...
Maisha yana mambo mengi sana, nimeoa miaka kadhaa iliyopita.
Nina mtoto mmoja natarajia kupata mwingine soon.
Mwaka huu kuna dada nilimpata yeye ni single mother lakini bonge la demu yaani aliwahi kuzalishwa ni mtoto wa kimarangu mweupee tako kubwa yani amekamilika kila idara.
Huyo dada...
Daah! Hii dunia ngumu sana ukiifikiria sana unaweza kulia kila siku. Maana kuna mambo mengine yanachekesha.
Hivi mtu yuko serious kabisa anacheza upatu na mchepuko halafu anapanga malengo na bajeti kabisa akipokea mchezo afanye jambo fulani.
Huku kuna jirani yetu kashapigwa za uso, mchezo wako...
Buheri mazee
Ebhana majuzi kati hapa nilikua napita zangu kandokando ya barabara kwambali nikaona gari imesimama nilivyoikaribia na kuanza kuipita ghafla ilitoka pisi kali Sana ikaniita"samahani kaka" nikasema bila samahani, Gari yangu imeisha mafuta na cjatembea na akiba hivi shell Iko wapi...
Nahitaji mwanamke ambae atakuwa mchepuko niko tayari kuwa nampa hela ya mtumizi 500k kila mwezi awe na vifutavyo
*mweupe mwenye tako
*awe anajua mapenzi
*awe mrefu na pia ajue kuendesha gari
JOHN :-Habari yako bwana?
HASSAN :-Nzuri we Nani?
JOHN :-Natumaini hatufahamiani.
HASSAN :-Yes, sikufaham wewe nani nikumbushe..
JOHN :-mimi naitwa mr JOHN au baba Hellen.
HASSAN :-ndio..
JOHN :-Mke wangu ni ANNA ambae kwa sasa ndio mpenzi wako kipenziiii kwa maelezo niliyoyakuta kwenye...
Jamaa huyo maarufu kwa jina la Zungu ameuliwa kwa kuchomwa moto na mpenzi wake huyo kwa jina la Neema. Tukio limetajwa kutokea huko Mbezi Makabe, Dar jana usiku.
Sababu inadaiwa ni jamaa kutokuwa mwaminifu katika mapenzi yao ndipo mdada anadaiwa kumfungia ndani jamaa kisha kumwaga petrol na...
Wakuu mpaka nacheka yaani, nilipata ka mchepuko siku sio nyingi sasa katika harakati za kunipa tunda tukakubaliana leo.
Sasa bwana tukaenda zetu lodge maajabu mashine imegoma kabisa kusimama [emoji3][emoji3] daah hata sielewi mpaka najicheka yani najiuliza naumwa au maombi ya wife maana wife...
Katika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? Jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama".
Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana...
Mchepuko si mrithi wa mali zako, hata uk RIP ni nadra kwa mchepuko kupata chochote labda uwe umezaa nae nae napo pia hutegemea umuhimu wa huyo mtoto kwa familia ya mume.
Mnapo kula chakula kwa mchepuko kuna uwezekano maadaui wako kuulipa mchepuko hela ukuondoe duniani. Mfano wewe unampa...
Niwasalimu ndugu zangu kila mmoja kwa nafasi yake, leo niwape kwa ufupi mambo yanayofanyika pale swimming club-Rskazone Tanga
Siku za wikiendi, hasa jumamosi na jumapili utakuta nyomi la watu wamekuja kuogelea, kiingilio sio kikubwa nadhani ndio sababu ya watu kuvutika kiasi hicho, ni shilingi...
Nnawasalim sana wakuu, nnaomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Ni hivi mimi ni mwajiriwa na niko mkoa fulani, familia yangu iko Mkoa Mwingine. Sasa baada ya kuja hapa ktk pitapita zangu nikakutana na binti mmoja mzuri tu na mwenye sura ya upole na mtulivu, yeye anafanya kazi sector binafsi...
Kama maada inavyojieleza hapo juu, Nahisi wife anamegwa nje coz kuna mambo anayafanya humu ndani nahisi ipo hivyo.
Picha linaanza imefika stage kawa na kiburi nikimwambia kitu anaweza kukujibu staki ikiwa ni moja ya majukumu yake humu ndani so nashindwa kuelewa nini kinasababisha hadi awe hivi...
Umeamua kwa hiyari yako kuwa na mtu, unajua na yeye ana mzazi mwenzie na watoto, umekubali kabisaa
Ya nini haya sasa jamani?
Siamini kama huyu mchepuko misosi yake yoteee anayonipikia, mpaka namwambia hata mama yangu hajawahi kupika namna hii kumbe ni Dawa. Leo nililala kwake, yeye kaamuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.