Ushawahi kumlipia mchepuko wako kodi ya nyumba?

kabunda88

JF-Expert Member
Nov 8, 2015
3,095
2,680
Kuna mwanamke hapa namfatilia ni almost mwaka sasa , hajawahi kunipa game japo huwa tunatoka outing mara nyingi lkn nikimgusia mambo ya sex tunagombana hata kusikia anasema mpaka ndoa hataki kutoa mzigo ila nimekuwa msaada kwake kwa mambo mengi lkn mishen yangu ya kusex nae haijatimia,

Na kila nikitaka kuachana nae naona ananipotezea mda najikuta nimemchek na kumsaidia kitu fulan yeye hana zile papara sna na mimi but akiwa na shida atanichek, uzur nishajua ana mshikaji wake yupo nae kitambo na hilo alisema mwenyewe but Yaan tupo tu Yaan sametimes nakuwa sielew kwann tunakuwa pamoja

Now nilimwambia huko unapokaa itabid uhame maana yupo Arusha ni mbali kidogo na mjin nataka nimpagie nyumba mjin na yy kakubali na kasema ukifanya hivo atafurah na ntakuwa naenda kwake pia ..

Sasa just najiuliza hili wazo limekujaje kichwan ivi inawezekana kweli mtu ukatoa almost 2mil kumpangia mwanamke ambaye sio future yako nyumba kwa lengo tu la kutaka kufanya nae sex?

Huko napo elekea nahis ntafanya hivo nafsi ya kizinifu inaniforce hivo

Hebu tushare experiences km ushawahi kujitoa katika hilo na huku ukirefer una familia ndani inakutegea,

Huwa picha ya huyu mwanamke inaniijia kichwan jins alivyo mzur na alivyo umbika juz tu hapa nmeenda bank nikarudia njian nilitaka kwenda kutoa hizo pesa za kodi but nikamwaza mama watoto wangu na kids wangu nikasema sibora tu nikawanunulia wao vitu nikaongeza upendo kwao

But kuna nguvu kubwa sana ya mvutano baina ya nafsi yangu na napoelekea Mchepuko utashinda kodi naenda kutoa jmn daaa.

Nina akili zangu timamu tu na nahis Man wengi inawatoea hii kitu kutoa pesa na huduma kwajil ya papunch tu na ubaya ni pale unapoifukuzia na ushatoa garama zako nyingi na hujapata kuacha inakuwa ngum maana utakuwa umekula hasara.
 
Mkuu tumia akili kidogo. Umeoa na yeye ana mtu wake japo yuko mbali. Acha. Focus kwenye furure na familia yako. Kama hayuko tayari umle mpaka ndoa na umesema una mke huoni unatudanganya?

Ni ndoa gani hiyo wakati nyote mna wapenzi wenu na hamjaachana tena na wewe una mtoto? Usidanganyike na uzuri wa mtu wa pembeni wakati una wako acha baki njia kuu jenga mji wako ukiwa bado kijana. Wazuri hawaishi
 
Mkuu hapo inaonesha huna upendo nae ,ni kwa ajili ya ngono ..

Tenga hata laki NNE mpeleke Magoroto huko mtoke out ,huko mtalala na utampelekea moto mpaka mbunye utabaki unaishika bila hamu yeyote ...

Usijidanganye kupangisha na kufunga ndoa na mchepuko wakati unafamilia ,utajuta ,..

Unaenda kupoteza vyote ,familia yako na huyo huyo mchepuko .!
 
Kuna mwanamke hapa namfatilia ni almost mwaka sasa , hajawahi kunipa game japo huwa tunatoka outing mara nyingi lkn nikimgusia mambo ya sex tunagombana hata kusikia anasema mpaka ndoa hataki kutoa mzigo ila nimekuwa msaada kwake kwa mambo mengi lkn mishen yangu ya kusex nae haijatimia,

Na kil
Aliyekwambia wanaume wote inatokea hivyo sio kweli
Wewe pambana na Familia yako hayo mengine yatakukokost tu
 
Kuna mwanamke hapa namfatilia ni almost mwaka sasa , hajawahi kunipa game japo huwa tunatoka outing mara nyingi lkn nikimgusia mambo ya sex tunagombana hata kusikia anasema mpaka ndoa hataki kutoa mzigo ila nimekuwa msaada kwake kwa mambo mengi lkn mishen yangu ya kusex nae haijatimia,
Una madhaifu, huwez zunguka na mwanamke two years hujamla na still unamuwaza na kumgharamia! Huyo ashajua madahaifu yako, ukimlipia nyumba anaweza akakuonjesha kwa mashart sana ila kisha atakuchukia sana na pia na ww itakuuma sana sana hiyo fedha na utakuwa huna la kufanya.

Iko hivi:

Wanawake hawahutaji kugharamiwa fedha nyiingi No watalaam wanasema tunakosea hapo, japo nadhan hutanielewa, hebu nikuulize wale wanaoitwa play boy hana kazi wala hana hela hela zake ni kununua nguo kali, raba kali, basi! Wale jamaa wanakula demu yoyote na demu anaweza lipia penzi hilo, na demu anamgamda hatak amuache.

Kwa nn hawa play boy wasio na hela wanakula mtu yoyote wanaemtaka

1. Wanachukua hatua na huwa wanamuongoza mwanamke sio mwanamke kuwaongoza

2. Confidence (wanajiamin)

3. Wana lugha na miondoko wanayotaka mwanamke (little swaga)

4. They dont invest in women, they invest in themselves (less is more)

5. Wanavaa vizuri (dress up)

6. Wanawake wanataka mwanamme anaetakwa na wanawake (playboy anagonga kila demu, hao hao wanamponda ila ndio hao hao anawala sana). Ukijifanya huna mademu mwanamke anaona kama kaokota mtu ambae wengine hawamtaki.

Nitarudi ukinihitaji
 
Sent using Jamii Forums mobile app

Mzee Baba nimekuelewa sana
Lakin imenitokea kwa huyu manzi tu ana anamisimamo yake binafsi ambayo kila mbinu nashindwa kumnasa kirahis but anapenda vitu vya garama sana hata outing ya kwenda kulala anataka hotel ya laki tano kwa siku huwa anatafuta location mwenyewe huwa unanin is kuahirisha tu.

But madem wengine kawaida tu sana,,huo msimamo wake ndio huwa unanifanya nimtafute marakwamara na ukizingatia nishamsaidia sana
 
Mkuu hapo inaonesha huna upendo nae ,ni kwa ajili ya ngono ..

Tenga hata laki NNE mpeleke magoroto huko mtoke out ,huko mtalala na utampelekea moto mpaka mbunye utabaki unaishika bila hamu yeyote ...

Usijidanganye kupangisha na kufunga ndoa na mchepuko wakati unafamilia ,utajuta ,..

Unaenda kupoteza vyote ,familia yako na huyo huyo mchepuko .!

Asante hii ni Idea Nzur kumpeleka mbali na kulala huko
 
Mzee Baba nimekuelewa sana
Lakin imenitokea kwa huyu manzi tu ana anamisimamo yake binafsi ambayo kila mbinu nashindwa kumnasa kirahis but anapenda vitu vya garama sana hata outing ya kwenda kulala anataka hotel ya laki tano kwa siku huwa anatafuta location mwenyewe huwa unanin is kuahirisha tu.

But madem wengine kawaida tu sana,,huo msimamo wake ndio huwa unanifanya nimtafute marakwamara na ukizingatia nishamsaidia sana
Anatafuta location mwenyewe,ya kulala....HOTEL YA LAKI TANO...KWA HIYO MKUU,ANAENDA KULALA MWENYEWE?AU UNALALA NAE,KAMA DADA YAKO?AU SIJAKUELEWA?
 
Kuna mwanamke hapa namfatilia ni almost mwaka sasa , hajawahi kunipa game japo huwa tunatoka outing mara nyingi lkn nikimgusia mambo ya sex tunagombana hata kusikia anasema mpaka ndoa hataki kutoa mzigo ila nimekuwa msaada kwake kwa mambo mengi lkn mishen yangu ya kusex nae haijatimia,

Na kila nikitaka kuachana nae naona ananipotezea mda najikuta nimemchek na kumsaidia kitu fulan yeye hana zile papara sna na mimi but akiwa na shida atanichek, uzur nishajua ana mshikaji wake yupo nae kitambo na hilo alisema mwenyewe but Yaan tupo tu Yaan sametimes nakuwa sielew kwann tunakuwa pamoja

Now nilimwambia huko unapokaa itabid uhame maana yupo Arusha ni mbali kidogo na mjin nataka nimpagie nyumba mjin na yy kakubali na kasema ukifanya hivo atafurah na ntakuwa naenda kwake pia ..

Sasa just najiuliza hili wazo limekujaje kichwan ivi inawezekana kweli mtu ukatoa almost 2mil kumpangia mwanamke ambaye sio future yako nyumba kwa lengo tu la kutaka kufanya nae sex?

Huko napo elekea nahis ntafanya hivo nafsi ya kizinifu inaniforce hivo

Hebu tushare experiences km ushawahi kujitoa katika hilo na huku ukirefer una familia ndani inakutegea,

Huwa picha ya huyu mwanamke inaniijia kichwan jins alivyo mzur na alivyo umbika juz tu hapa nmeenda bank nikarudia njian nilitaka kwenda kutoa hizo pesa za kodi but nikamwaza mama watoto wangu na kids wangu nikasema sibora tu nikawanunulia wao vitu nikaongeza upendo kwao

But kuna nguvu kubwa sana ya mvutano baina ya nafsi yangu na napoelekea Mchepuko utashinda kodi naenda kutoa jmn daaa.

Nina akili zangu timamu tu na nahis Man wengi inawatoea hii kitu kutoa pesa na huduma kwajil ya papunch tu na ubaya ni pale unapoifukuzia na ushatoa garama zako nyingi na hujapata kuacha inakuwa ngum maana utakuwa umekula hasara.

Sisi wengine ambao hata kodi zetu wenyewe kuzilipa inabidi mwenye nyuma akuwinde kweli kweli hadi akate tamaa sijui tu coment wapi
 
Back
Top Bottom