Ukienda kwa shehe akikupa vikaratasi kama hivi uwe unavibeba ama kuviweka chumbani vichane na usirudi tena kwake, ni uchawi mtupu

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Leo wachungaji wa mchongo kina Mwamposa na mafuta yao tuwapumzishe kidogo tuangalie upande mwengine.

336923133_932706677932030_4425398350988145523_n.jpg
343930075_194729550027513_5680366304643186106_n.jpg
1682786079860.png

Nimekuwa katika magroup ya tiba naona kuna hivi vikaratasi watu wanapewa ama kuelekezwa kuvichora na wa kuitwa mashehe wakiwaambia ni tiba, ulinzi, kuongeza, mvuto, n.k. niwarahishie tu kwamba huu ni UCHAWI!!

Kama ni ya matibabu ya kiroho kama kurogwa, hakuna anaeweza kutibu zaidi ya Allah bega jwa bega na dua, vifungu, rukya.

Kama ni kwa kujilinda, maandishi au michoro haiwezi kukulinda, Ni imani yako kwa Allah ndiyo inayokulinda pamoja nawe kupiga dua, kunukuu vifungu vyake.

Maneno ya korani hayapo kwajili ya kuchanganywa na michoro ama maneno mengine kwenye kijikaratasi, huo ni ushirikina wa kumshirikisha Allah na vitu vya ajabu ajabu, Allah hawezi kusaidiai hapa bali hayo maneno ya quran yanazuga tu ili ile michoro mingine au maneno ndio vitumike, hayo maneno hata ukimpa muarabu ni ngumu sana kuyatambua, ni lugha za kishetani.

Ukipewa hivi vitu pindi unapotoka tu njiani chana chana kabisa tupa kule visiiingie nyumbani kwako na kama ulibebea mfukoni hio nguo choma kabisa.
 
Mkuu ndo mana sisi waislamu wa Sunni(Salafi) tunawapiga vita sana masheikh hawa mchongo

Kma ulivosema ni kweli hapo ni uchawi tu huo hamna kitu kingine na Mungu katika kitu ambacho hakipendi ni shirki

( وَلَقَدْ أُوحِيَ إِلَيْكَ وَإِلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكَ لَئِنْ أَشْرَكْتَ لَيَحْبَطَنَّ عَمَلُكَ وَلَتَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ )

الزمر (65) Az-Zumar

Na kwa yakini yamefunuliwa kwako na kwa walio kuwa kabla yako: Bila ya shaka ukimshirikisha Mwenyezi Mungu a'mali zako zitaanguka, na lazima utakuwa miongoni mwa wenye kukhasiri.

Kuna watu wanauchukia Uislamu kisa hawa masheikh wa mchongo humu pia wamo wanajifanya kutafsiri ndoto sijui nn ni uongo mtupu
 
Hao wanaofuata mafuta hawajamkubali Yesu Kristo, bali wamewakubali wachungaji matapeli.
Na ndio wachungaji hawa wana majina makubwa zaidi hapa nchini.

Kina Mwamposa wanaouza mafuta

Geordavie wa maombi ya laki 5 kufungua mlango, milioni kufungua geti na milioni 2 kungua njia

Gwajima wa kufufua watu na kubadili dini kisa ubunge

Lusekelo mzee wa kuwa bwax na kuijaza screen matangazo ya account za benki
 
Leo wachungaji wa mchongo kina Mwamposa na mafuta yao tuwapumzishe kidogo tuangalie upande mwengine

336923133_932706677932030_4425398350988145523_n.jpg

343930075_194729550027513_5680366304643186106_n.jpg

View attachment 2603934

Nimekuwa katika magroup ya tiba naona kuna hivi vikaratasi watu wanapewa ama kuelekezwa kuvichora na wa kuitwa mashehe wakiwaambia ni tiba, ulinzi, kuongeza, mvuto, n.k. niwarahishie tu kwamba huu ni UCHAWI!!

Kama ni ya matibabu ya kiroho kama kurogwa, hakuna anaeweza kutibu zaidi ya Allah bega jwa bega na dua, vifungu, rukya .

Kama ni kwa kujilinda, maandishi au michoro haiwezi kukulinda, Ni imani yako kwa Allah ndiyo inayokulinda pamoja nawe kupiga dua, kunukuu vifungu vyake.

Maneno ya korani hayapo kwajili ya kuchanganywa na michoro ama maneno mengine kwenye kijikaratasi, huo ni ushirikina wa kumshirikisha Allah na vitu vya ajabu ajabu, Allah hawezi kusaidiai hapa bali hayo maneno ya quran yanazuga tu ili ile michoro mingine au maneno ndio vitumike, hayo maneno hata ukimpa muarabu ni ngumu sana kuyatambua, ni lugha za kishetani

Ukipewa hivi vitu pindi unapotoka tu njiani chana chana kabisa tupa kule visiiingie nyumbani kwako na kama ulibebea mfukoni hio nguo choma kabisa
Ungewaacha wenye dini yao ndo wazungumze

Mkuu wewe ni mwislamu!?
 
Na ndio wachungaji hawa wana majina makubwa zaidi hapa nchini.

Kina Mwamposa wanaouza mafuta

Geordavie wa maombi ya laki 5 kufungua mlango, milioni kufungua geti na milioni 2 kungua njia

Gwajima wa kufufua watu na kubadili dini kisa ubunge

Lusekelo mzee wa kuijaza screen matangazo ya account za benki
Hata masheikh wengi wanauza mafuta

Sharif Majin mmoja wapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu sipendi hapa chini ya jua kama Imani za kishirikina. Kuna siku mzazi mwenzangu aliniambia anahisi Nina demu mpya na anamchezea sijui. Kuanzia siku hiyo nilimblock Kila sehemu sitaki kujua chochote kuhusu yeye.
 
Mkuu ndo mana sisi waislamu wa Sunni(Salafi) tunawapiga vita sana masheikh hawa mchongo

Kma ulivosema ni kweli hapo ni uchawi tu huo hamna kitu kingine na Mungu katika kitu ambacho hakipendi ni shirki

( وَلَقَدْ أُوحِيَ إِلَيْكَ وَإِلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكَ لَئِنْ أَشْرَكْتَ لَيَحْبَطَنَّ عَمَلُكَ وَلَتَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ )

الزمر (65) Az-Zumar

Na kwa yakini yamefunuliwa kwako na kwa walio kuwa kabla yako: Bila ya shaka ukimshirikisha Mwenyezi Mungu a'mali zako zitaanguka, na lazima utakuwa miongoni mwa wenye kukhasiri.

Kuna watu wanauchukia Uislamu kisa hawa masheikh wa mchongo humu pia wamo wanajifanya kutafsiri ndoto sijui nn ni uongo mtupu
Yan wewe kweli mpumbavu na hyo sunni yako washamba wa tupu....
Allah anasema magonjwa yote yanatoka kwake na tiba zinatoka kwenye kitabu chake...
Sasa kw taarfa yako,hiyo tarasimu ya kwanza hapo juu..manuizo yake ni kusomea BARAHATIHI 11...Halafu unaleta aya nusu unadhn cc wajnga?
 
Ujinga ukizidi ndo unakua kma ww

Embu twambie wapi tumeambiwa tutumie iyo talasimu ulosema embu niletee hadithi au aya ata moja inoruhusu kutumia matalasimu

Hlf usipende kupinga pinga vitu usivokua na Elimu navyo
 
Back
Top Bottom