mchanganyiko

  1. W

    Ni mchanganyiko gani wa vyakula wa ajabu ambao umewahi kuujaribu?

    Daah mimi nashaanga sana watu wanaokula Makande na mtindi au unakuta mtu anakula ndizi za kupika na mayonaisse. Ni mchanganyiko wa chakula gani umewahi kumuona mtu akila ukapigwa na butwaa?
  2. Keynez

    Kwanini Serikali inaendelea kutoa kauli zinazoacha tafsiri mchanganyiko kwa wananchi?

    Mchana wa October 29, Serikali kupitia vyombo vyake vya Ulinzi na Usalama vilitoa kauli kwamba ikifika saa 12 watu wawe ndani. Kauli ile kwanza haikutangazwa kwa juhudi za kutosha ili ziwafikie watu wengi. Pia kwa makusudi iliacha mapengo ya tafsiri yanayokuja baadae kuleta utata wa kisheria...
  3. Munch wa Annabelle

    Kweli watanzania wapo serious jukwaa la mapenzi na sports yamedoda hatari watu wapo jukwaa la siasa na hoja mchanganyiko 24/7

    Kama mtu wa kufanya research ndogondogo hii hali inatisha kwakwel sio kawaida ya watanzania kabsa toka nizaliwe watanzania wao ni mpira na ngono tu lakini hali kwasasa ni tofaut Kwenye mitandao yote sio jamii forum tu Kote hali tete, mada za kiwaki zote hazna wachangiaji kabsa Kweli watu...
  4. JITU BANDIA

    Kwa Mchanganyiko huu! Msimtegemee Kurudiwa na akili/kumbukumbu kwamba ataongea kama mtu wa kawaida(kukumbuka chochote!)Msahau! Kama alivyosahaulishwa!

    gabapentin, lamotrigine, levetiracetam, pregabalin, and topiramate... hii chemistry!...hizi ni baadhi ya medics hatari sana kwa afya ya akili, ambazo mtu mzima na afya yake hapaswi kupewa! Msitegemee mtu huyu kurudiwa na utimamu wake wa akili... kwamba ataweza kukumbuka chochote akilini...
  5. VictoriaGreenHerbal

    Ugonjwa Wowote? Hii Mchanganyiko Asilia Inaweza Kukusaidia

    Ugonjwa Wowote? Hii Mchanganyiko Asilia Inaweza Kukusaidia Asali na mdalasini ni zawadi kutoka kwa Mungu ambazo zimekuwa zikitumika kwa maelfu ya miaka kutibu maradhi mbalimbali. Mchanganyiko huu wa asili una uwezo wa kupambana na bakteria, kuimarisha kinga ya mwili, na hata kuzuia magonjwa...
  6. Sarisasa

    Msaada wa kujua shule nzuri za Sekondari za mchanganyiko ya kutwa au Bweni

    Wakuu habari zenu. Tafadhali naomba kujua shule ambayo ni nzuri naweza kumpeleka kijana wangu anayemaliza std 7 mwaka huu kwa ajili ya kujiunga kidato cha kwanza. Shule natamani kujua zile zenye mchanganyiko yaan wavulana kwa wasichana ambayo ni either Ya Kutwa au ya Bweni hasa hasa zilizopo...
  7. Mshana Jr

    Ubunifu mchanganyiko: unaweza kuona jinsi tulivyoachwa mbali na wenzetu

    Hapa ni plastic free society.. Wanajaribu kupunguza matumizi ya vifungashio vya plastic vyenye madhara
  8. Mshana Jr

    Umuhimu wa Kilimo cha mchanganyiko

    🌽🥦Kilimo mchanganyiko🍅🍏 Ni mazoezi ya kilimo ambapo mkulima hupanda mazao na kufuga mifugo kwa wakati mmoja kwenye kipande kimoja cha ardhi. Mfumo huu unaunganisha kilimo cha mazao na ufugaji ili kuunda mfumo endelevu na bora wa kilimo. 📌FAIDA ZA KILIMO CHA MCHANGANYIKO 1. Mapato Mseto...
  9. Mshana Jr

    Ubunifu vyombo vya jikoni kwa kutumia malighafi mchanganyiko

    Hivi vinafaa zaidi kwa watoto, sehemu za jumuiya ama kwa wapenda ng'areng'are.. Usukumani hivi utauza sana (joke)😂 Kama si mpenzi wa rangirangi hivi havikufai kabisa.. Vipite kama huvioni😂
  10. R

    Nauza crate 10 tupu za bia mchanganyiko TBL na Serengeti

    Anaye hitaji niko Tabata Kisukuru kwa Swai. Bei sh 9,000 @ crate mawasiliano 0718219523
  11. Ritchy Breezy

    KAULI NYINGINE HUIBUA FIKRA MCHANGANYIKO

    Habari za wakati huu By nature mimi ni mkimya sana,napenda sana kukaa mwenyewe na huwa nafeel comfortable sana, sipendi kuongea sana ila nikimatch na mtu ni mtu wa kucheka na kuongea sana..Napenda utani. Kimuonekano niko very humbe,i mean sura yangu ni very innocent kiasi kwamba ni rahisi sana...
  12. Yoda

    Vita vya Syria vina mchanganyiko sana, ila dikteta Assad ni uovu wenye afadhali (lesser evil) kuliko waasi Wanajihadi

    Ukiangalia kwa undani makundi ya waasi yanayopigana dhidi ya utawala wa dikteta Bashir Al-Assad nchini Syria hayatoi matumaini mema kwamba endapo yatafanikiwa kumng'oa Assad siku za usoni za Syria zitakuwa njema chini ya utawala wao mpya, makundi yanayompinga Assad ukiondoa Wakurdi nusu yake ni...
  13. T

    Mbowe na Lissu ni mchanganyiko mzuri wa kukijenga chama

    Ukiangalia tabia ya Mbowe kwenye uongozi ni mtu mvumilivu, ana subra, hekima, busara, na hupenda kutumia diplomasia. Ni mjenga hoja zenye mashiko. Wakati Lissu ni mkali, mharakati, havumilii sana, na anayo subra ndogo. Hapendi kutumia diplomasia, yeye ni koleo kwa koleo, lakini ni mjenga hoja...
  14. Jonsonjohn

    Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Miaka mitano iliopita nilifungua website ya kuagiza bidhaa mbalimbali kwanjia ya mtandao bahatimbaya sikupata wateja wakutosha nilikutana na changamoto nyingi sana 1. Watu wengi niwaoga kutapeliwa 2.Baadhi ya watu wanataka vitu vya bei rahisi sana bila kujali ubora. 3.Mtu mwingine anataka...
  15. Zombie S2KIZZY

    Hii irudiwe au vipi wekeni hoja mchanganyiko

  16. GoldDhahabu

    Mchanganyiko wa nyanya, parachichi na vitunguu maji ni sahihi kiafya?

    Nimepanga niwe ninaula huo mchanganyiko mara tatu kwa wiki. Ni kachumbari ya nyanya, parachichi na vitunguu maji. Japo naweza kuitumia bila ya kuiwekea chumvi, ikiwekwa alau kidogo ladha yake inakuwa nzuri sana. Hata hivyo, kwa kuwa lengo langu kuu si shibe wala ladha bali afya, nimekuwa...
  17. Clark cian

    Lugha mchanganyiko

    Ukifika mitaa ya Mbezi mwisho ukiulizia mkalimani Clark huwezi nikosa kabiiiiiisa Ni Mimi mtaalamu wa lugha ninayeweza kuongea Hadi lugha tano 😌 Leo tunaanza na salamu za asubuhi English--Goodmorning Spanish--buen día Chinese--早上好(zaoshang hao) Italiano--Buongiorno Japanese--おはよう(ohayo)...
  18. Huihui2

    Wakili Mwabukusi ni Mchanganyiko wa Mdude + Lissu. Je Alikuwa Wapi Wakati wa Hayati Magufuli?

    Ni wazi hakuna ubishi Man of The Moment (MOTM) kwa sasa ni Wakili Boniface Mwabukusi kutokana na namna alivyolibeba suala la Bandari/DP WORLD kwa mabega mawili. Wanasiasa na Wanaharakati wengi wameongea kama kina Lissu, Mbowe, Slaa, Tibaijuka, Shivji, Binti Sarungi, Madeleka na Nshala. Lakini...
  19. Unique Flower

    Mchanganyiko katika maisha haya ya ndoa

    Katika maisha hasa ya ndoa mambo Mengi hutokea...Kama kupishana maneno , kutofautiana kifamilia Kwa mke na mume ila yote ni maisha Mtu anayapitia . Ili mtu Aishi Kwa Raha lazima aweje?? Kwa maana mtu ambaye amezoea kudekezwa kweli hajazoea visa vya mama mkwe . Na mengineyo kama ndugu wa bwana...
Back
Top Bottom