Tupe nyamaFid Q na mke wake.
adikooMbn fid sio Adikoo since 2013 Ć napaka poda kwny bongo hip hope.
BBQ au ya mchuzi?Tupe nyama
BBQ ndio tamu zaidi huku vyupa vya pombe vikikusanywa tu pembenišBBQ au ya mchuzi?
tuweke na verse ya Nick Mbishi.me nayo kumbuka ni.MAPENzi yangu napenda tuwe private place, upepo mzuri pasafi tupo high and fresh.../
Siwezi kukuonga private jet, maisha magumu na unajua tunahitaji success.../
Si unajua niko simple boo, huwa naskiza RYTHM SLOW na sio HIP HOP tu.../
Acha walete tetesi kila wakati, mimi na wewe kama sentensi bila nafasi.../
Sijielezi nafanya, sitelezi na kama mapenzi ni mlima niko lazi nifike kileleni salama.../
Mapenzi yangu siyafichi kitaa, na kama wewe jalala basi nimesizi kichaa.../
We ni binti kifaa, ah fck mapenzi yako hayatoshi kuyaeleza kwenye sixteen bars.../
S.O.N.G.A
Hv hii ngoma inaitwaje mnigah....?tuweke na verse ya Nick Mbishi.me nayo kumbuka ni.
"Kupenda mapedeshee hiyo ni hulka kwetu sisi wenye mapene te joh ruksa....
Kwani vipi mbn machick ckuiz wananitupa au dhiki ndo marafiki wananizunguka.
Napenda njia safi no sipendi miba unamtaka demu wangu stop pretend nigger hapendi bata zako anani feel hivi she more notorious she's kill big
Namoka ganja nae natoka kwanja nae cjaona manzi mwingine atae nitosha kwa badae...
Sina Lamborghini wala Masseratti wengine wanazini wengine washerati
Mapenzi yangu nikuishi nawe free ki beach boy tukale upepo kawe Beach
Wanamendea nawachek nimehifadhi charge zao kama power benki.
Nick Mbishi
Hili ngoma lilinipa demu kisu hatare noma sana.
Kwasababu umemaliza verse yote ya nikki mbishi acha nami nikumbushie moja ya nyimbo yake yenye maudhui kama hayotuweke na verse ya Nick Mbishi.me nayo kumbuka ni.
"Kupenda mapedeshee hiyo ni hulka kwetu sisi wenye mapene te joh ruksa....
Kwani vipi mbn machick ckuiz wananitupa au dhiki ndo marafiki wananizunguka.
Napenda njia safi no sipendi miba unamtaka demu wangu stop pretend nigger hapendi bata zako anani feel hivi she more notorious she's kill big
Namoka ganja nae natoka kwanja nae cjaona manzi mwingine atae nitosha kwa badae...
Sina Lamborghini wala Masseratti wengine wanazini wengine washerati
Mapenzi yangu nikuishi nawe free ki beach boy tukale upepo kawe Beach
Wanamendea nawachek nimehifadhi charge zao kama power benki.
Nick Mbishi
Hili ngoma lilinipa demu kisu hatare noma sana.
Hv hii ngoma inaitwaje mnigah....?
Unju namkubali sanaKwasababu umemaliza verse yote ya nikki mbishi acha nami nikumbushie moja ya nyimbo yake yenye maudhui kama hayo
Upo kwenye future plan ya super man, shika mkono usiondoke.../
Fungua mlango vuta ndani shtuka mjani, skiza somo usidondoke.../
Wanajidai wao mabosi fao hawakosi, kutwa promo ili ushoboke.../
Hata kupiga bao wanafosi mgao wa manoti, hawakufikishi popote.../
Unju kafa kweli i do for love makavel, achana nao wazungu wapumabavu matapeli.../
Wanaotupiga juju wote kavu wamefeli, umenishika zuzu mbuzi wameramba reli.../
Nimekumiss by inches, I wish ka nije
Smart kimavazi smart kwenye brain, pale kati kuna nazi huzipati magengeni.../
Staki uende uswazi kwa wanafki macho mengi, baki kwenye kazi linda chako wako wezi.../
Ah mapenzi sio pesa tu pesa kinogesho tu, aisee utanitesa ukiniambia mwisho kesho tu.../
Mvuto wako sexually you fck like proffessional, kiufupi umesimama kwenye point kama decimal.../
Credits: Uju bau hau
Song: nimekumiss